Watanzania wamechoka, usisubiri mambo yaharibike sana

Mtu yoyote anayepost kitu mtandaon lazima atarajie feedback(nzuri au mbaya). So ni lazima akapitie comment na kuona mrejesho..
Itoshe kusema huyo miss world ameyapata yaliyosemwa kazi itabaki kwake kuamini au kupuuza..

Lakini kumbuka anawatu wengne wanaomfuatilia kwenye page yake, watakutana na comment kama hzo kwahyo ujumbe unafika mbali zaidi..
 
Maskini wa akili buana 😂😂😂 kila sehemu wanaleta uadui. Akili ya muafrika hata ukimbeba mgongoni atasema ulikuwa unamtembeza haraka, ulikuwa unanuka kwapa, atakutukana kila aina ya tusi. 😈😈😈
Basi niambie ni rais gani wa Tz ashawahi kufanyiwa hivi na mass ya waTz kwa huyu shoga ako??
 
Nchi zingine?
Tafuta clip ya mkutano wa maccm Dodoma juzi uone wanavyomwambia live huyo ⌚️100
Umeisoma lakini mada na kuielewa vizuri?

Karudie tena kusoma huu uzi,soma first paragraph kwa utulivu zaidi,

Kinachojadiliwa hapa ni comments za Insta kwenye page ya huyo miss World,
Hapa mimi sijadili kelele za kwenye mkutano,najadili kilicholetwa hapa,

Halafu usifikiri mimi najadili kwa ushabiki wa kisiasa,sijawahi kubishana kuhusu siasa humu.
 
Comments za mitandaoni haziwezi watoa ccm madarakani.

Ni kama vile watu wa mtaani wanavyoqachukia Watumishi wa Umma ila hawana uwezo wa kuwatoa.
 
Comments za mitandaoni haziwezi watoa ccm madarakani.

Ni kama vile watu wa mtaani wanavyoqachukia Watumishi wa Umma ila hawana uwezo wa kuwatoa.
Hawa tunawaita keyboard warriors lakini ipo siku tutawaita majina ya kishujaa... CCM itaondolewa madarakani Kwa njia yoyote Ile
 
Sahihi kabisa 🌹
 
Unasema watanzania wamechoka wakati wako busy kubishana kuhusu Simba na Yanga ? Mama piga hela, Mama kuomba hela mama mitano tena na 2030 unachukua nchi.
 
Unasema watanzania wamechoka wakati wako busy kubishana kuhusu Simba na Yanga ? Mama piga hela, Mama kuomba hela mama mitano tena na 2030 unachukua nchi.
Anachokiwaza mtu ndicho anachokiishi
Watanzania Sasa hivi wameamka,ni ngumu kuwatoa kwenye mambo ya mpira lakini Kwa upande mwingine watanzania hao hao wanataka mabadiliko
 
Anachokiwaza mtu ndicho anachokiishi
Watanzania Sasa hivi wameamka,ni ngumu kuwatoa kwenye mambo ya mpira lakini Kwa upande mwingine watanzania hao hao wanataka mabadiliko
Wanataka mabadiliko bila kuandamana ? Mabadiliko hayaji kwenye keyboard. Watanzania wanataka wapewe mabadiliko huku hawajui kuwa duniani mabadilikoyanahitaji kupiganiwa. Mama piga hela, Mama komba hela za miradi mama mitano tena na 2030 unachukua nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…