Watanzania wamechoka, usisubiri mambo yaharibike sana

Wanataka mabadiliko bila kuandamana ? Mabadiliko hayaji kwenye keyboard. Watanzania wanataka wapewe mabadiliko huku hawajui kuwa duniani mabadilikoyanahitaji kupiganiwa. Mama piga hela, Mama kuomba hela mama mitano tena na 2030 unachukua nchi.
Watanganyika wakishindwa kupata mabadiliko Kwa njia ya amani wataandamana,subiri utaona
 
Maskini wa akili buana 😂😂😂 kila sehemu wanaleta uadui. Akili ya muafrika hata ukimbeba mgongoni atasema ulikuwa unamtembeza haraka, ulikuwa unanuka kwapa, atakutukana kila aina ya tusi. 😈😈😈
Hii hali si umasikini wetu, ni jinsi watu wamechoka manyanyaso wameamua kupaza sauti hadi kwa washirika wa wadhalimu
 
Narudia, ingekuwa nyie ndio wapiga kura, Lissu Rais siku nyingi

I mean kama kura zingekuwa zinapigiwa mitandaoni basi Lissu Rais kitambo
Nadhani ingekua na maana zaidi kama ungeanza kwa kusema "Kama uchaguzi ungekua wa haki ukisimamiwa na tume huru"
 
Kwa kucopy ujinga hatujambo
 
reforms hazidaiwi kwenye mitandao, ingieni barabarani ndo tutajua kuwa mumechoka.
 
We nenda kaharishe huo uvundo. Hiyo ni misukule, na mtu moja money hunter na comments 1000, na bado ID zingine ndiyo watu? Hiyo moja, pili kwa taarifa yako walioko kwenye hiyo mitandao ni 5% tu na almost wote siyo wapiga kura. Lingine watu walioko ktk hii mitandao ni watu wa aina yake hawako ktk uhalisia mitaani. Those are just artificial human beings. Huku mitaani kwa wapiga kura halisi palipo na binadamu halisi hawajui ht hiyo habari ya Rais kukutana na miss word 2025. Hii jamii ya mitandaoni itabaki mitandaoni haipo huku site.
 
Hii hali si umasikini wetu, ni jinsi watu wamechoka manyanyaso wameamua kupaza sauti hadi kwa washirika wa wadhalimu
Sio watu, sema ni kiji kundi la watu wenye kiherehere cha changamoto ya afya ya akili.😂😂😂
 
Sub huwa zinaubonda mwingi😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…