Watanzania wamechoka, usisubiri mambo yaharibike sana

Yaani bila Reforms October hii, CCM ndo wataamini kwamba kumbe watanganyika ni ma NUNDA kweli kweli.
 
Umeandika nini wewe ngurunda?
 
Mazingira ya namna hii yakimkuta kiongozi yeyote yule pale alipo,kama atakua anajitambua bila shaka atang'amua kwamba amepoteza uhalali wa kuwa madarakani
 
D
Duh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…