Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

Chanzo Cha matatizo yote na umaskini wa Tanzania ni Ccm sasa ni matatizo gani hayo ambayo ccm inayaongelea πŸ€”πŸ€” hawawezi kufanya hivyo hata kwa bahati mbaya itakua ni sawa na kujitia vidole machoni
 
Chadema ni genge na masela kama wale wa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…