Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #41
Hayaaminiki unasonga ugari mara tanesko wamefanya yao chap
Umesema vyemaKwa mfano tuongelee leo mtaani kwako ni mara ngapi umeme umekatika kwa siku ya leo?!
Nunua jiko simple angalau watt 1500 kushuka chini.Jiko la umeme linakula umeme kiasi gani ukiamua kuchemsha bamia tu.?
Mana huu si wakati wa kutumia mkaa wakati vipato vyetu vimekuwa.
Hoja kubwa ipo hapa. Watanzania wengi wanaogopa kupigwa shoti. Ni ile dhana iliyojengeka miaka ya nyuma kuhusu kupigwa shoti kwenyr jiko la umeme. Watu walikuwa wanaogopa hadi pasi ya umeme, kidogo hii ndiyo wameizoeaNinachojua wanaogopa kulipuka
Mzee alinunua jiko la umeme sikuwahi kuona likitumika
Ni kwamba bi mkubwa aliita watoto wake jikoni akapiga mkwara wa kwenda😁😁
Masharti yake machache
Nunua jiko simple angalau watt 1500 kushuka chini.
Kwani ukiwa unaangalia TV umeme ukakatika na Ukiwa Unapika chakula bado hakijaiva na umeme ukakatika wapi kuna maudhi makubwa? Japan walisherekea miaka 50 bila umeme kukatika lakini huku kwetu ukikaa siku nzima haujakatika unashangaa.
Mjinga huyuGas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Umesema vyema sanaIla kuna raha yake kutumia jiko la umeme,tena kale kadogo kanakula umeme kidogo tu.
Kwahiyo tunatumia majiko yote inategemea tu wakati huo tunapika nini.
Ni uelewa tu, tuna uelewa mdogo ndio maana tunaogopa umeme. Niliwahi kujadili hii kitu na moja ya watu wangu wa karibu nikamwambia jinsi gani mkaa unatumalizia pesa bila kujua.
Kuna siku niliambiwa ninunue mkaa kwa ajili ya kuchemsha maji ya kunywa, nikawaambia nawanunulia umeme wa 5000 wachemshe kwenye jagi la umeme wajaze ndoo then waniambie units ngapi zimetumika. Toka siku hiyo matumizi ya mkaa yamepungua sana kwangu. Umeme 2units ulichemsha maji, wakati mkaa wa 3000 ungeisha, simple arithmetic.
Washing machine ni ya muhimu sana lakin sjui kwann hatununui,tunawatesa watoto wa watu kila siku wanafua marundo ya nguoMambo au vitu ambavyo Watanzania wengi wamekataa kabisa kuwa navyo katika nyumba zao
Washing machine, A.C, reading room, solar panels hasa wa mjini, heater n.k
Ongezea
Mjinga tena labda tukuite bwegelezi ni wewe.Usiwapangie watanzania jinsi ya kuishi. Kama ni mdau wa kuuza majiko ya umeme imekula kwako.Nasikia kuna shirika linatoa unit za bure za umeme kwa wafanyakazi wake.Kaongee nao mfanye biashara .Waombe radhi watanzania . Usiwatukane. Sio ajabu hata wazazi wako kijijini hawatumii jiko la umeme pamoja na kuwa na umeme wa REA.Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Hawajui kipi kipewe kipaumbeleNdiyo fahari kwao
Umesahau kuna kipindi mtu alikuwa radhi asile chakula kwasababu ya simu ya whatsapp🤣
Maisha ni mahesabu kweli, ukiishi tu kizembe yanakuchanganya.Mkuu tunathamini sana kwa huu ushuhuda wa uliyojionea. Maisha ni hesabu tu
Majiko ya umeme yanapiga sana shot hasa ukiwa unapika, unashika shika MAJIGas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Dudukwee umetumwa wewe na teneskoGas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."