Na hata wapinzani na wabunge hawatoi hii elimu ya kuwaelimisha watu, wengine wapo busy kutwambia Wassira ni Mzee; One has to wonder kama na wao hawanufaiki na huu upuuzi...Mimi nilijua hili muda kidogo nilifanya kunua majiko tofauti ili nione lipi litakua na matumizi kidogo nikayapata baadhi ndio natumia huko gharama ya gesi ipo juu sana kuliko kutumia majiko sahihi ya umeme na pia watu hawapati elimu ya kutosha ili watu wachache wenye ubia na makampuni ya gesi waendelee kupata pesa..
Ni vitu vya kitaalamu mkuu unadhani kujua watts zinamaanisha nini zilizoandikwa kwenye vitu vya umeme ni kazi ndogo..Na hata wapinzani na wabunge hawatoi hii elimu ya kuwaelimisha watu, wengine wapo busy kutwambia Wassira ni Mzee; One has to wonder kama na wao hawanufaiki na huu upuuzi...
Mengine ni miss information na propaganda na kutokuwa na Information Sahihi, Case in Point vijijini ambapo unit ni 100/= unawapa mtungi wa gesi mdogo ambapo unit ukifanya conversion ni zaidi ya mara tatu...Kila kinachotendeka kwenye jamii ujue kimeshafanyiwa utafiti wa kina. Usijione Watanzania waliokataa kutumia majiko ya umeme ni wajinga kama ulivyosema ila huo ujinga ni wako wewe ambaye hujafanya utafi.
Heating inatumia umeme hata pasi inatumia umeme hata jug linatumia umeme lakini sababu unatumia pasi kwa muda mfupi na jug kwa muda mfupi basi mwisho wa siku umeme hautakwenda sana badala ya kutumia umeme kuchemsha maji tumia jug kettle n.k. Zamani ukitumia jiko la coil au plate inachukua muda kupata moto sasa hivi kuna induction cooker ukiwasha linawaka ukizima linazima pale pale efficiency yake mara tatu ya gesiKatika vitu ambavyo vinakula umeme ni jiko la umeme. Hivi vingine pasi,friji havitumii umeme sana.
Kwahio kwa huyu ambaye hatujui ufanisi wa majiko yake ameongeza 25k ? hapo kama atabadilisha na asinunue gesi, je gesi ni bei gani ? na sababu hio gesi ina ruzuku na pesa zetu za kigeni za kuagiza kutoka nje kwanini tusiwalazimishe watumishi wetu watunga sera ili washushe units ? Sababu mwisho wa siku tutaokoa pesa zetu na wala hatutahitaji kupiga marufuku mikaa au kuni ambazo mtu anapikia na ni za bureJiko linatafuna umeme hatari. Kama uko kwenye matumizi makubwa kama ulikuwa unatumia umeme wa 20000 kwa mwezi ukiongeza jiko itakula mpaka 45,000+ kwa mwezi. Na kama ulikuwa unatumia umeme wa 9000 kwa mwezi basi itabidi uende kwenye matumizi makubwa ukianza kutumia jiko,itakubidi uende mpaka 40+ kwa mwezi. Hii imefanyiwa utafiti
Tushi humo Binti SayuniiUmeongea ukweli mtupu ngoja nikanunue jiko la umeme niachane na gesi, niwakomeshe wapangaji wenzangu.
Jiko la umeme ni nafuu ukilinganisha na gas au mkaa kwa mweziWameyakataa kwa sababu yanakula umeme mwingi
Mkuu,Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 250 unapata 15,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Mkuu,
Kama una biashara ya majiko ya umeme nielekezee.
😁 Nimnunulie mchepuko wangu maana anasumbua huyooo
Sisi tumetumia mpaka Sasa kwa mzee wangu anatumia Sanaaa sijui sababu mzee wangu alikua electrical engineer.Hamna mkuu tunakumbushana tu 😂😂😂 naona watu wengi wanaishi nyumba zenye umeme lakini wanashindwa kuutumia kikamilifu
Mkuu, naona hesabu zako zina tofauti kubwa sana na uhalisia:Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 250 unapata 15,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Sisi tumetumia mpaka Sasa kwa mzee wangu anatumia Sanaaa sijui sababu mzee wangu alikua electrical engineer.
Ulichotakiwa kueleza ni elimu ya matumizi ya umeme kwa jiko la umeme dhidi ya flat screen tv.Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-250 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 250 unapata 15,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Sawa hata ikiwa ni Tshs 350Mkuu, naona hesabu zako zina tofauti kubwa sana na uhalisia:
View attachment 3345039
1) Mteja mwenye matumizi ya unit 0-75 kwa mwezi analipa 100/= kwa unit 1, sasa kwa mfano wako hapo juu unit 75-60(za jiko tu) anabaki na unit 15 tu za matumizi mengine yote ya umeme (taa, TV, friji n.k) yaani atumie unit 0.5 kwa siku. Inafikirisha sana
2) Mteja kwenye matumizi ya unit 76 na zaidi kwa mwezi analipa 350/=( ya kwenye makaratasi tu ya uhalisia ni 356.35562087/=) ambayo ni 78% umeme, 18% VAT, 1% EWURA, 3% REA. Unit 60 × 356.3556087/= unapata 21,381.337252/=
Mtungi mdogo wa gesi unauzwa 22,000/= (butane 6 kgs)
Bei ya mtungi wa gesi Vs jiko jipya LA umeme
Jiko la umeme linaweza kupata hitilafu na hivyo kuhitaji ufundi, gharama za Fundi wa vifaa vya umeme zinahusika. Sijapata kuona mtungi wa gesi na jiko lake vimeharibika.
Wapishi karibuni mtueleze hilo la muda wa kupika (Masaa 2 kwa siku kwa mujibu wa mleta mada)
Na muda wa kupika chakula X kwenye gesi Vs kwenye jiko la umeme. Karibuni sana waungwana
Sawa ila kuelekezana muhimuUlichotakiwa kueleza ni elimu ya matumizi ya umeme kwa jiko la umeme dhidi ya flat screen tv.
Kuwa: hiki kinameza umeme kiasi gani na hiki kiasi gani na unafuu wake ukoje.
Hayo mengine waachie wenyewe, kwa sababu kila mtu ana kipaumbele chake katika maisha, binadamu hawalingani.