Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

Theory (nadharia) ni nini?
 
Acha mjumuisho wa kivivu. Si wote wanategemea hayo usemayo. Wenzenu walioendelea wanategemea bidii nyinyi mnakaa kuomba miujiza tena mkiombewa na majizi ya wazi wazi. Kumbaff.
 
Hakuna Sehemu Nimetaja Kuhusu Huduma Mkuu umeniingizia Maneno ambayo sikuyataja...
Nimessma kaa Mujibu wa Dictionary..
Kimgine Mfalme hana Nguvu kuliko Raia wengine na wala Baba au mama hawezi kuwa na Nguvu kuliko Mtoto..
Japo hujasikia Kuwa baba na Mama ni Mungu wa Duniani???


Na Ndo maana Nikauliza mwanzo Tafsiri unayotaka Ni kwa Mujibu wa Nini?
Kama wa Dini yako Ni vitu viwili tofauti..
Zamani Kulikuwa na Mungu wa Mvua, Mungu Jua ,Mungu wa Mateso, Mungu wa Misiba mungu wa Barabara mungu wa Mavuno, Mungu wa Kilimo mungu wa Usafiri...

Kulikuwa na Mungu wa Uzazi na miungu mingi sana..
Na yote iliombwa na Watu waliamini inawapa..
Mungu wa Adhabu alitoa Adhabu kwa wote waliokosea..

Sasa Tafsiri yako Ililenga Mungu wa Dini zipi??

Maana kwa baadhi ya Dini Mfalme anawez kuwa Mungu na pia Mzazi ni Mungu
 
Theory (nadharia) ni nini?

ili ujue Theory Lazma tuanze na Hypothesis

In which Kila statement which seeks to explain a set of events but has not yet been verified to be true is called a hypothesis.

Theory...

hypothesis becomes a theory only after it has been verified to be true in a large number of cases of observation and experiment, or it has not been falsified yet..
 
Mungu yupi?
Watanzania wamefungamanishwa na Mungu kwenye katiba kwa hivyo Ni ngumu kukujibu kuwa Ni Mungu yupi huyo hali yakuwa wewe Ni mtanzania.

Kuna ajabu gani unapoona watz wakihimizwa kumuomba Mungu kipindi Cha majanga Kama haya?
Kwani umeona wakina mwamposa na nabii mkuu walikuwa wakisaidia kutoa kifusi? Walio kwenye uokozi Ni wengine na wa maombi Ni wengine pia lakini kila mmoja hufanya kwa sehemu. Sasa Kama wewe shida Ni imani nafkiri toa hoja zako bungeni ili imani ifutwe kwenye katiba japo najua utafutwa wewe na imani itabaki.
 
TANESCO hii tabia ya kutulaza gizani sio kabisa mna agenda gani na Wezi?

Aaah Grandma take me home
 
TANESCO nyie si nawauliza au hamsikii kukata umeme usiku ili iweje mnataka tuvamiwe?
 
mpumbavu.
 
Mmejiona mnaakili kiasi Cha kumkataa Mungu nashangaa nmeshindwa kuwakataa viongozi wanaoifisadi nchi nyoko zenu
 

Kuna wale wakuu wa machawa waliwahi kusema kuwa Ushindi wa CCM ni lazima na sio suala la Mungu akipenda cha ajabu majanga yakitokea wanamrushia Mungu mzigo ,ooh,tuombee taifa,tuombee serikali n.k.
 
Vizuri.

Imani inashughulikia kweli za akili. Yaani jinsi mambo yalivyo katika mawazo ya akili ya Mungu. Upi ni ukweli na upi ni uongo. Lipi ni jambo jema na lipi ni jambo baya.

Maandiko matakatifu au biblia haielezi mambo kwa uwazi.

Kwa mfano, hakuna maelezo ya kina katika biblia yanayoonyesha ni kwa jinsi gani Mungu aliumba ulimwengu, na kwa siku sita tu?

Pia hakuna maelezo ya kina katika biblia yanayoonyesha ni kwa jinsi gani mwanamke anaweza kubeba mimba na kuzaa mtoto bila yai la mwanamke kurutubishwa na mbegu za mwanaume?

Aidha, hakuna maelezo ya kina katika biblia yanayoonyesha kwa nini ni kosa dhidi ya akili kuowa mke zaidi ya mmoja?

Lakini pia katika biblia hatuelezwi kuuwa ni nini? Na wizi ni nini?

Tunasoma katika biblia kwamba Yesu alimfufua mtu aliyekufa. Lakini hakuna maelezo ya kina katika biblia yanayoonyesha jambo hilo lilifanyikaje.

Aidha, katika biblia hiyohiyo tunasoma habari za ufufuko wa wafu. Lakini hakuna maelezo ya kina yanayoonyesha jambo hilo litafanyikaje.

Sasa tutajuaje kwamba habari hizo za biblia (imani) ni kweli? Hapa ndipo inapokuja AKILI, yaani kufikiri na kufanya uchunguzi, ili kujua ukweli.

Kufikiri ni mchakato unaofanyika ndani ya ubongo kufuatia wazo au taarifa au ujumbe uliopokelewa kutoka ndani au nje ya mwili, ili kujua kuamua au kufanya jambo bila kukosea. In this process you formulate hypothesis.

Kisha unafanyia utafiti au uchunguzi hayo mawazo (hypothesis) kuthibitisha kama hilo jambo ni ukweli.

Sasa, ili jambo lithibitike kuwa kweli linatakiwa liweje? Na je, utafiti ni nini?
 
Mmejiona mnaakili kiasi Cha kumkataa Mungu nashangaa nmeshindwa kuwakataa viongozi wanaoifisadi nchi nyoko zenu
Tuwafanyie maombi waache ufisadi, nyoko zako.
 
Mkuu DR.

Unakubali kwamba ubongo wa binadamu una akili kuliko ubongo wa wanyama?

Na kama unakubali:

Unaelezaje ulimwengu: Unaelezaje tokeo la ulimwengu, uwepo wa ulimwengu na utendaji wake wa ndani na nje?
 
Mkuu DR.

Unakubali kwamba ubongo wa binadamu una akili kuliko ubongo wa wanyama?

Na kama unakubali:

Unaelezaje ulimwengu. Unaelezaje tokeo la ulimwengu, uwepo wa ulimwengu na utendaji wake wa ndani na nje?
Binadamu hana Ubongo wenye Akili kuzidi Wanyama wote
 
Maelezo yako yote Still bado sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…