Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

Hizo ni hadithi tu biblia ni kitabu tu kama cha ngoswe penzi kitovu cha uzembe, haiwezi kuthibitisha chochote zaidi ya kutaka uamini tu.
Ok kwa mfano wewe ungekuwa Mungu ungependa wanadamu wakujue kupitia njia gani?
 
Back
Top Bottom