Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!.Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.
Watanzania ni watu peace sana!.Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika.
Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye!Kaka yake polepole anasema waliomteka mdogo wake ni Polisi wakiongozwa na Mafwele,lakini mpaka now Mafwele anadunda.
Watanzania hatuko hivyo!Mwambukusi anasema askari aliyeusika kumuua mdude anajulikana lakini hadi sahivi askari huyo anadunda mtaani.
Waliomteka Mzee kibao wanajulikana ila hakuna alielipa kisasi.
OCD aliyempigia simu Soka Ili aende kuchukua pikipiki anajulikana ila hadi sasa OCD anadunda.
Mfanya bihashara wa Arusha aliyeuawa na kina Mahita anajulikana ila mpaka sasa Mahita and his family wanadunda.
Hivi familia zote zilizopoteza ndugu zao Kwa utekaji hamna njia ya kuruka na hao vibaka walioua ndugu zenu????
Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!.Bila kulipa kisasi bongo uonevu hautakoma.
Mto wa mbu,
Ndo naamka, Illinois-USA
OrganisationWatanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.
Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika.
Kaka yake polepole anasema waliomteka mdogo wake ni Polisi wakiongozwa na Mafwele,lakini mpaka now Mafwele anadunda..
Mwambukusi anasema askari aliyeusika kumuua mdude anajulikana lakini hadi sahivi askari huyo anadunda mtaani.
Waliomteka Mzee kibao wanajulikana ila hakuna alielipa kisasi.
OCD aliyempigia simu Soka Ili aende kuchukua pikipiki anajulikana ila hadi sasa OCD anadunda.
Mfanya bihashara wa Arusha aliyeuawa na kina Mahita anajulikana ila mpaka sasa Mahita and his family wanadunda.
Hivi familia zote zilizopoteza ndugu zao Kwa utekaji hamna njia ya kuruka na hao vibaka walioua ndugu zenu????
Bila kulipa kisasi bongo uonevu hautakoma.
Mto wa mbu,
Ndo naamka, Illinois-USA
Most ya walioingia kwenye vurugu za 29/10 ni majobless, vibaka (panyaroad) na mateja. Kuna wengine wameshukuru kupunguziwa ghasia. Kwa hiyo suala la kisasi halipoWatanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.
Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika.
Kaka yake polepole anasema waliomteka mdogo wake ni Polisi wakiongozwa na Mafwele,lakini mpaka now Mafwele anadunda..
Mwambukusi anasema askari aliyeusika kumuua mdude anajulikana lakini hadi sahivi askari huyo anadunda mtaani.
Waliomteka Mzee kibao wanajulikana ila hakuna alielipa kisasi.
OCD aliyempigia simu Soka Ili aende kuchukua pikipiki anajulikana ila hadi sasa OCD anadunda.
Mfanya bihashara wa Arusha aliyeuawa na kina Mahita anajulikana ila mpaka sasa Mahita and his family wanadunda.
Hivi familia zote zilizopoteza ndugu zao Kwa utekaji hamna njia ya kuruka na hao vibaka walioua ndugu zenu????
Bila kulipa kisasi bongo uonevu hautakoma.
Mto wa mbu,
Ndo naamka, Illinois-USA
Most ya walioingia kwenye vurugu za 29/10 ni majobless, vibaka (panyaroad) na mateja. Kuna wengine wameshukuru kupunguziwa ghasia. Kwa hiyo suala la kisasi halipo
Hili suala pa Mungu atatupia ndio kinafanya wahusika wawaone makondooooWatanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!.
Watanzania ni watu peace sana!.
Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye!
Watanzania hatuko hivyo!
Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!.
P
Kwa hiyo ndugu wa waliouawawa ni wa wapi?Wana dayapora mnachochea watoto wa masikini wakauwawe huku nyinyi mko huko mnafyonza vizee
Yaani US mtu ana bunduki afu ndugu yake atekwe ,afu aseme mungu yupo neverWana dayapora mnachochea watoto wa masikini wakauwawe huku nyinyi mko huko mnafyonza vizee
Hakuna banaYaani US mtu ana bunduki afu ndugu yake atekwe ,afu aseme mungu yupo never
Kuna misconduct ICE wamefanya kama Leo component lakin si kwamba eti cartel hawapo au baadhi ya matukio hawahusiki. Suala la ulinzi marekani ni complex sanaHakuna bana
Usitulishe matango pori,
Huko US kuna wanaoogopeka kama Cartel, mbona ndugu na jamaa zao wamekamatwa na ICE na wengine wana sheria za kuishi kabisa wamerudishwa na wengine wameuwawa kwa kusingiziwa ni Cartel , mbona hakuna hata tukio moja wakilipa kisasi
Hongera polisi mpiga risasi kumbe , Master Tindwa na Sheikh Sharif majini nao walikua vibaka?Most ya walioingia kwenye vurugu za 29/10 ni majobless, vibaka (panyaroad) na mateja. Kuna wengine wameshukuru kupunguziwa ghasia. Kwa hiyo suala la kisasi halipo
Wewe ulipopigwa mkwara na kale ka bodi uchwara, Mungu alikulipia nini?Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!.
Watanzania ni watu peace sana!.
Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye!
Watanzania hatuko hivyo!
Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!.
P
Ni hiviKuna misconduct ICE wamefanya kama Leo component lakin si kwamba eti cartel hawapo au baadhi ya matukio hawahusiki. Suala la ulinzi marekani ni complex sana
Mwambie huyo kibakaWewe ulipopigwa mkwara na kale ka bodi uchwara, Mungu alikulipia nini?
Yaani Mafwele ateke na kuua afu aachwe kisa governmentNi hivi
Anavyoelezea utadhani wamekamatwa na vikundi vya wahalifu, kwa hiyo wakalipe kisasi,
Hao Cartel kama ni wao kwa wao, yaani ni mchana kweupe wanafunga barabara, lakini ikiwa ni serikali huwa wanafyata mkia, na hata kwenye movie tu huwa wana depict hii psychology yao ya cut your loses and move on , dont fight the government.
Sasa huyu anawachochea wananchi masikini waanzishe ghasia na serikali ?
US hata kama ni crooked polisi ameuliwa na hao cartel anaofanya nao dili, atazikwa kwa heshima na watasakwa kama wauwaji wa polisi.Yaani Mafwele ateke na kuua afu aachwe kisa government
Umeshawahi kuona ducumentary moja, some gang banger huko US aliua polisi akakimbilia Tanzania, Singida vijijini, na alisakwa mpaka akapatikanaYaani Mafwele ateke na kuua afu aachwe kisa government
Ma jobless kwenye vituo vya mabasi, sokoni, na kwenye mikusanyiko wako very vulnerable kujiunga na makundi ya jinai au uhalifu kwa sababu hawana shughuli.We jamaa ndezi kweli. Kuwa jobless ni crime?