Itabidi tuendelee kuzoom picha za yale matukio nitashangaa nikiona P akiwa na mtutu pia!Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!.
Watanzania ni watu peace sana!.
Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye!
Watanzania hatuko hivyo!
Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!.
P
Please don't!, hiyo kwa sisi kihabari, inaitwa morbid curiosity!. Watu wanaofurahia kuangalia picha hizo ni ma sadist!.Itabidi tuendelee kuzoom picha za yale matukio nitashangaa nikiona P akiwa na mtutu pia!
Ipo siku yatatokea usiwe na papara. Hawo wauwaji yatawafika.Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!.