Watanzania Wana shida gani mbona hawalipi kisasi( Retaliation)Kwa walioua ndugu zao?

Watanzania Wana shida gani mbona hawalipi kisasi( Retaliation)Kwa walioua ndugu zao?

Hongera polisi mpiga risasi kumbe , Master Tindwa na Sheikh Sharif majini nao walikua vibaka?

Hata huyu mama aliyepigiwa risasi mlangoni kwake akiwa amesimama alikua ni kibaka?

Hiyo bunduki unayokaa nayo kwa saa 12 ndio inakupa kiburi ?

Kuna siku itafika wasio na bunduki watazipata bunduki hapo ndio uwanja utabalance ili tuone nani mshindi.
View attachment 3579629
Kila mfano wa watu waliopigwa majumbani ni master Tindwa na Sheikh Shariff Majini. Leteni na majina mengine basi ili m-justfy hoja yenu ya kwamba watu waliuliwa majumbani
 
Sasa hivi unamuona huyo Mahita yuko sawa kisaikolojia na kiafya?
 
Kila mfano wa watu waliopigwa majumbani ni master Tindwa na Sheikh Shariff Majini. Leteni na majina mengine basi ili m-justfy hoja yenu ya kwamba watu waliuliwa majumbani
Picha hiyo hapo ya tukio la Arusha yule mama aliyepigwa risasi nyumbani kwake huoni damu mlangoni au umevaa miwani ya mbao?
 
Kila mfano wa watu waliopigwa majumbani ni master Tindwa na Sheikh Shariff Majini. Leteni na majina mengine basi ili m-justfy hoja yenu ya kwamba watu waliuliwa majumbani
Madai ya matumizi mabaya ya silaha hayatolewi na wana JF pekee au mitandaoni pekee, tume pia imetoa haya madai. kujustfy hoja si hoja tena, hoja ni kuelewa why? Kwanini ilikuwa lazima wauwawe?
 
Zamani sikuelewa waarabu wawili kufunga minyororo msafara wa vijeba na kuwaswaga kama mifugo miles kibao ila sasa ndiyo naelewa!!
 
S. a unaona watz wanapigwa hata hawajitetei. Mrusi kapigwa kasambaza ngumi mpaka vijana wa s.a wakaomba poo
 
Most ya walioingia kwenye vurugu za 29/10 ni majobless, vibaka (panyaroad) na mateja. Kuna wengine wameshukuru kupunguziwa ghasia. Kwa hiyo suala la kisasi halipo
Kwa maoni yako walistahili kuuliwa badala ya kuwashitaki ili mahakama ziwahukumu kwa haki? Nakuombea ili uzao wako wasikosekane majobless na vibaka na ikimpendeza Mungu akujazie wote. Una roho mbaya kuliko shetani.
Kwani hao siyo binadamu?
 
Ma jobless kwenye vituo vya mabasi, sokoni, na kwenye mikusanyiko wako very vulnerable kujiunga na makundi ya jinai au uhalifu kwa sababu hawana shughuli.

That's fine if it fits your narrative, but petty thieves aren't Tanzania's problem. Wote tunajua kwanini vijana walipigwa bunduki, labda tujitoe ufahamu tu
 
Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.

Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika.

Kaka yake polepole anasema waliomteka mdogo wake ni Polisi wakiongozwa na Mafwele,lakini mpaka now Mafwele anadunda..

Mwambukusi anasema askari aliyeusika kumuua mdude anajulikana lakini hadi sahivi askari huyo anadunda mtaani.

Waliomteka Mzee kibao wanajulikana ila hakuna alielipa kisasi.

OCD aliyempigia simu Soka Ili aende kuchukua pikipiki anajulikana ila hadi sasa OCD anadunda.

Mfanya bihashara wa Arusha aliyeuawa na kina Mahita anajulikana ila mpaka sasa Mahita and his family wanadunda.

Hivi familia zote zilizopoteza ndugu zao Kwa utekaji hamna njia ya kuruka na hao vibaka walioua ndugu zenu????

Bila kulipa kisasi bongo uonevu hautakoma.

Mto wa mbu,
Ndo naamka, Illinois-USA
Usifundishe mambo ya visasi, kulipizana visasi ni jambo baya,wewe ni mtu wa namna gani?
 
Usifundishe mambo ya visasi, kulipizana visasi ni jambo baya,wewe ni mtu wa namna gani?
Huyo katoka hapa miaka ile wazazi wako serikali hii hii kimagumashi kapigiwa pande aende US kwa nafasi za watoto masikini,hata hajawahi kuijua nchi yoyote hasa Africa jinsi ya hizo nchi maisha yanavyokwenda anapayuka tu na kutaka vita itokee bongo.
Nimeenda sana Rwanda, ajifunze huko, leo hii watutsi na wahutu wanaishi pamoja, hata kama wahutu walifawafanyia unyama uliopita maelezo watutsi, lakini hakuna visasi leo hii.
Hata Kenya wameshasahau na Late Odinga alikubali yaishe waanze upya.
 
Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!.

Watanzania ni watu peace sana!.

Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye!

Watanzania hatuko hivyo!

Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!.
P
Hatuko hivyo kwa sababu hatujui kupigania haki zetu na kujitetea tunapoonewa. Nchi za wengine huyo mama yako asingejitapa mbele ya media kuua wananchi wake kiasi kile kwa jeuri.
 
Kila mfano wa watu waliopigwa majumbani ni master Tindwa na Sheikh Shariff Majini. Leteni na majina mengine basi ili m-justfy hoja yenu ya kwamba watu waliuliwa majumbani
wanatajwa hao kwa sabb ni maarufu, nikikutajia Mwajuma Hassan nae aliuwawa ndani kwake, ww utamjua? watu wa lumumba akili mnaziachaga wapi?
 
Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.

Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika.

Kaka yake polepole anasema waliomteka mdogo wake ni Polisi wakiongozwa na Mafwele,lakini mpaka now Mafwele anadunda..

Mwambukusi anasema askari aliyeusika kumuua mdude anajulikana lakini hadi sahivi askari huyo anadunda mtaani.

Waliomteka Mzee kibao wanajulikana ila hakuna alielipa kisasi.

OCD aliyempigia simu Soka Ili aende kuchukua pikipiki anajulikana ila hadi sasa OCD anadunda.

Mfanya bihashara wa Arusha aliyeuawa na kina Mahita anajulikana ila mpaka sasa Mahita and his family wanadunda.

Hivi familia zote zilizopoteza ndugu zao Kwa utekaji hamna njia ya kuruka na hao vibaka walioua ndugu zenu????

Bila kulipa kisasi bongo uonevu hautakoma.

Mto wa mbu,
Ndo naamka, Illinois-USA
Wakati Tanganyika ikipata Uhuru wake, wazee wa Pwani walifanya tambiko la kiti cha urais, rais mwenyewe pamoja na makazi yake. Waliweka alama kuu mbili za kudumu za kinga dhidi ya watu wote wenye nia mbaya naye ama kiti chake.

Kwanza waganga wa kienyeji walikuja na madai ya kumpa "kinga" rais na urais wake kupitia alama ya "mwenge" ili asilogwe, asianguke, asichoke, au achaguliwe tena katika kila mwaka wa uchaguzi.

Pili, ndege aina ya tausi aliwekwa katika makazi ya ikulu kwa imani za kishirikina. Waganga waliamini itakuwa ni alama kuu ya ulinzi wa rais. Watu wote wenye nia mbovu naye watapata bahati mbaya, umasikini, au hata kifo. Wanaamini "macho" yaliyopo kwenye manyoya ni macho ya ulinzi ya mizimu, ama ni kinga thabiti dhidi ya uchawi. pamoja na majini.

Hizi alama ndizo alama kuu za kuwapumbaza Watamzania. Ili kulinda kinga hizi makafara hufanywa na marais ikiwemo umwagaji mkubwa wa damu za wananchi katika kila awamu ya urais katika mazingira ya kutatanisha zikiwemo ajali, utekaji utesaji, mauaji, n.k. kuendana na mahitaji na imani za mkalia kiti.

Kwa jnsi mkalia kiti anavyoluwa mbali na hofu ya Mungu, ndivyo kadiri ambavyo huvitumia vibaya vyombo vya dola katika kafara zake. Vinatumika vibaya kukandamiza wananchi na kumwaga damu nyingi zizokuwa na hatia.

Kwa hiyo basi, ni vigumu mno kwao kufanya kisasi kwa matendo ya kafara za kipagani yanayokuwa "manipulated" na Kiri kikuu.

Katika ripoti ya Jaji Chande amegusia kidogo kuhusu mambo hayo na kusema mojawapo ya sababu ya watu kupotea na kutojulikana walipo ni ushirikina na mapenzi!

Yaani Tume iimekuja na findings na kuweka code kuhusu mapenzi ya viongozi yatimizwe kwa sababu zap za kafara za kishirikina.
 
Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.

Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika.

Kaka yake polepole anasema waliomteka mdogo wake ni Polisi wakiongozwa na Mafwele,lakini mpaka now Mafwele anadunda..

Mwambukusi anasema askari aliyeusika kumuua mdude anajulikana lakini hadi sahivi askari huyo anadunda mtaani.

Waliomteka Mzee kibao wanajulikana ila hakuna alielipa kisasi.

OCD aliyempigia simu Soka Ili aende kuchukua pikipiki anajulikana ila hadi sasa OCD anadunda.

Mfanya bihashara wa Arusha aliyeuawa na kina Mahita anajulikana ila mpaka sasa Mahita and his family wanadunda.

Hivi familia zote zilizopoteza ndugu zao Kwa utekaji hamna njia ya kuruka na hao vibaka walioua ndugu zenu????

Bila kulipa kisasi bongo uonevu hautakoma.

Mto wa mbu,
Ndo naamka, Illinois-USA
Naamini una point nzuri sana sana, if you revenge wataona kutuua ni haki yao.... wekeni mkakati
 
anyway, umewajumuisha watanzania kuwa hawalipi kisasi, wewe umelipa kisasi gani mpaka mda huu, ukiachana na kuwajaza watu upepo
 
Diaspora mna mental health sioni umuhimu mpaka mna mawazo yaliyopitwa na wakati.

Badala ya ku-share ideas za msingi nyie mnajaza watu upepo waandamane , wauliwe , walipe visasi n.k

Huku nyie na familia zenu mkiwa safe .
 
Back
Top Bottom