Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,258 Reaction score 14,942 Apr 27, 2026 #41 Watanzania na "kulipa" ni kama tulilogwa yani na mchawi akafa, hata madeni ya fweza tu huwa hatulipi yani, ukikopa na uhusiano na mkopeshaji unakufa, hivyoo
Watanzania na "kulipa" ni kama tulilogwa yani na mchawi akafa, hata madeni ya fweza tu huwa hatulipi yani, ukikopa na uhusiano na mkopeshaji unakufa, hivyoo
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,371 Reaction score 28,790 Apr 27, 2026 #42 Pascal Mayalla said: Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!. Watanzania ni watu peace sana!. Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye! Watanzania hatuko hivyo! Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!. P Click to expand... Itabidi tuendelee kuzoom picha za yale matukio nitashangaa nikiona P akiwa na mtutu pia!
Pascal Mayalla said: Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!. Watanzania ni watu peace sana!. Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye! Watanzania hatuko hivyo! Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!. P Click to expand... Itabidi tuendelee kuzoom picha za yale matukio nitashangaa nikiona P akiwa na mtutu pia!
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,804 Reaction score 134,593 Apr 27, 2026 #43 Wildchild said: Itabidi tuendelee kuzoom picha za yale matukio nitashangaa nikiona P akiwa na mtutu pia! Click to expand... Please don't!, hiyo kwa sisi kihabari, inaitwa morbid curiosity!. Watu wanaofurahia kuangalia picha hizo ni ma sadist!. P
Wildchild said: Itabidi tuendelee kuzoom picha za yale matukio nitashangaa nikiona P akiwa na mtutu pia! Click to expand... Please don't!, hiyo kwa sisi kihabari, inaitwa morbid curiosity!. Watu wanaofurahia kuangalia picha hizo ni ma sadist!. P
ndammu JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 5,424 Reaction score 6,327 Apr 27, 2026 #44 Pascal Mayalla said: Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!. Watanzania ni watu peace sana!. Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye! Watanzania hatuko hivyo! Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!. P Click to expand... Ipo siku yatatokea usiwe na papara. Hawo wauwaji yatawafika.
Pascal Mayalla said: Watanzania ni watu wenye hofu ya Mungu, kwa watu wenye hofu ya Mungu, kisasi humwachie yeye Mungu, ndiye atawalipia!. Watanzania ni watu peace sana!. Usiamini kila kinachosemwa The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye! Watanzania hatuko hivyo! Mungu ndie atatulipia, ila pia, huu ni Uchochezi!. P Click to expand... Ipo siku yatatokea usiwe na papara. Hawo wauwaji yatawafika.