SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
,Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? - Zitto Kabwe
Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya Awamu ya Tano wana uhaba wa mafanikio au hawajui wanachoshangilia. Ni muhimu sana kutambua kuwa kufikia hatua hii ni mchango wa awamu zote zilizotangulia na wananchi wa Tanzania na si matokeo ya awamu moja au miaka 5 tu...
Thamani ya shilling kwa dola bado inazidi kushuka kila leo😂😂😂😂😂😂 Acha utani Mkuu! Pesa ya uchumi ulioanguka inaongezeka thamani kivipi?
Ungewacopy na world bank maana ndio waliosema sio serikali..Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? - Zitto Kabwe
Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya Awamu ya Tano wana uhaba wa mafanikio au hawajui wanachoshangilia. Ni muhimu sana kutambua kuwa kufikia hatua hii ni mchango wa awamu zote zilizotangulia na wananchi wa Tanzania na si matokeo ya awamu moja au miaka 5 tu...
Akili ya kusomea aipate wapi yeye katumwa kuja kusifia na kutukana wenye mawazo kinzani.Umeusoma uzi wote?
CCM wamekariri maendeleo ya watanzania ni Hisani ya CCM hawataki kutambua kuwa maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi siyo CCM ni watanzania wasio na vyama wakishirikiana na wapinzani, CCM wengi siyo walipa kodi mchango wa CCM kwenye kodi ni Mdogo kuliko maelezo, CCM hawachangii uchumi kukua, wao wanajua kufuja pesa kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, kununua Ndege kwa cash kwa kuvunja Sheria ya manunuzi na mengi ya ajabu .aise nimegain kitu! thx much bro!
Tanzania hata ufanye nini kinaonekana kibaya tu sasa hawa watu ambao tunawaona ni wasomi mwingine anajua kuliko mwenyekiti wa Benki ya Dunia bwana Zito kabwe anatoa povu la kuwadanganya watanzania wasione kazi nzuri ya serikali.Mkuu ni kweli pesa imeongezeka thamani Kwasababu Rais Magufuli amefuta rushwa, amefuta ufisadi, amekomesha madawa ya kulevy,amekomesha majangili na majizi
Kama ulikuwepo kwenye hiyo cheni lazima pesa ikupige chenga uone maisha magumu
Makundi mengine yanafurahia maisha Kwasababu hawajaathiriwa na kitu chochote, ukizingatia Rais Magufuli anawatetea sana watu wa kipato cha chini
JF ni jukwaa huru hajaja kulialia na wala siyo msaliti kwani CCM wasema ukweli huwa Adui zao na kuwapachika majina ya wasaliti kienyeji kwa vigezo visivyo na Tija, proud to be Tanzania yenye haki za binadamu siyo Tanzania ya kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi wapinzani.Sasa unakuja kulialia huku jf si upande tu ndege Tena mpaka Kwenye ofisi za hao WB walioitangaza kuwa Imefika Uchumi wa Kati.
Sasa unatuumiza vichwa Sisi ambao hatukuhusika na kutangaza huo Uchumi..
Kama umeishiwa pesa ya karamu na karatasi ya kuandikia barua world bank + nauli ya ndege we anzisha tu Uzi wa kukuchangia uende Tena.
Msaliti mkubwa wewe utaendelea kuweweseka na maombi yako ya mabaya juu ya taifa hili kamwe hayatafua dafu.
Proud to be Tanzanian[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mkuu hamna aliyepinga kazi haifanyiki,kazi inafanyika hata ikiongezeka $1 ni kazi inefanyika tatizo litakuja kuwa ingezeko haliendani na muda na hali halisi ya watu.Tan
Tanzania hata ufanye nini kinaonekana kibaya tu sasa hawa watu ambao tunawaona ni wasomi mwingine anajua kuliko mwenyekiti wa Benki ya Dunia bwana Zito kabwe anatoa povu la kuwadanganya watanzania wasione kazi nzuri ya serikali. Kuna tofauti gani kati ya Kenya na Tanzania huko kenya wapo watu wanalala na njaa na kipato duni kama kwetu sasa mbona Kenya waliingizwa kwenye nchi za kipato cha kati tangu 2015 sijaona kuwabeza...
Haya uyasemayo yatawezekana siku CCM,hasa hii ya Magu, ikitoka madarakani.Tatizo kubwa sectors zinazochangia ongezeko kubwa la GDP kama utalii,madini,na service sector zimeajiki watanzania wachache.
Mbaya zaidi kinachopatikana katika sectors hizo hakigawanywi kwa usawa kuinua sectors zilizoajili Watanzania wengi.suluhisho ya hili ni kuwa na uongozi wenye vipaumbele vinavyo toa mwanga kwa raia.
Acha kutoka nje ya mada kwa kutafuta huruma ya kisiasa..JF ni jukwaa huru hajaja kulialia na wala siyo msaliti kwani CCM wasema ukweli huwa Adui zao na kuwapachika majina ya wasaliti kienyeji kwa vigezo visivyo na Tija, proud to be Tanzania yenye haki za binadamu siyo Tanzania ya kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi wapinzani.
Tanzania hata ufanye nini kinaonekana kibaya kivipi, kuna uhuru wa kufanya siasa? Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu kuwadhoofisha wapinzani ni kitu kizuri? Kutopandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa miaka 5 ni kitu kizuri? Kununua Ndege kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ni kitu kizuri? Bank ya Duniani hawakujua vingi kwa kuwa hakuna Demokrasia inakuwa vigumu kujua mapungufu mengi kwa haraka, usifananishe kenya na Tanzania, kenya wana haki za binadamu wapinzani wapo huru kufanya siasa popote siku zote, endelea kuitetea CCM na Udikiteta wake lakini ujue watanzania siyo wajinga kiasi hicho wanajua mabaya yote ya CCM.Tan
Tanzania hata ufanye nini kinaonekana kibaya tu sasa hawa watu ambao tunawaona ni wasomi mwingine anajua kuliko mwenyekiti wa Benki ya Dunia bwana Zito kabwe anatoa povu la kuwadanganya watanzania wasione kazi nzuri ya serikali. Kuna tofauti gani kati ya Kenya na Tanzania huko kenya wapo watu wanalala na njaa na kipato duni kama kwetu sasa mbona Kenya waliingizwa kwenye nchi za kipato cha kati tangu 2015 sijaona kuwabeza. Tungebaki kwenye LDC bado Zito angetoa povu zaidi. Kwa Tanzania ukichukua fedha za serikali ukaenda zako Marekani kutafuta mabibi na kuzitumbua basi wapo watu watakusifia sana na kukutolea mfano kwamba wewe ni kiongozi mzuri.
Vyovyote itakavyokuwa jua au mvua rais wetu ni JPM, tazama Mungu anavyomwekea mkono wake mpaka Tanzanite za kilo kumi zinapatikana chini ya utawala wake tulizoea kuona size ya kokoto tu.
uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdg mnooooo huwezi elewa mkuuHujaeleweka hata kidogo, nchi nying xinahagaika kufikia hatua hii sijuw we w ni nani upinge hatua nzur kama hii
Uchumi wa kati huja kwa Amani na uhuru wa kufanya siasa wewe ndiyo unapuyanga bintiAcha kutoka nje ya mada kwa kutafuta huruma ya kisiasa..
Uzi unaongelea kuhusu Uchumi wa Kati wewe unapuyanga na Mambo ya risasi ndo ulifundwa hivyo unyagoni wewe binti?
Mkuu Kama anaka kujibiwa Basi mwambie apeleke hoja zake hizo World Bank walioitanga Tanzania kufikia huo Uchumi wa Kati.Mmekosa hoja za kumjibu mnaleta vioja!!