Watanzania wanaokuboa

Watanzania wanaokuboa

Wakati fulani marekani robin givens aliwahi kutajwa
kuwa ndo the most hated woman in america,,,
enzi hizo watu walikuwa wanamuona ndo chanzo cha mike tyson kuchanganyikiwa,,,,,hasa aliposema aliolewa na tyson for money......

Any way hivi leo kwa hapa tanzania ni nani ambaye tunaweza
kusema ndo mtanzania anaetuboa zaidi?????
Tukiacha wanasiasa hasa wa ccm.
Kwenye upande wa burudani na jamii ni watanzania gani
kama wapo unafikiri wana kuboa kupita kiasi????????

Public smokers man!!!!!!!! nawachukia bora mlevi anaetukana.....seriously! sheria is not enforceable sijui!!!!!!!!!
 
Traffic wa pale surrender bridge muda wa saa tano asubuhi kama umetoka karikoo na mizigo/bidhaa za business kwenda kwenye site yako lazima wakudake..hakuna issue kila kitu kwenye gari unayo lakini utasimama masaa mawili au zaidi wananiboa sana..kila siku sasa kibaya zaidi...?
 
Marin Hassan Marin wa TBC jamaa sijui huwa linaongeaje, mijitu mingine bwana, yaani nilikuwa nataka kuangalia interview ya elizabeth wa BBA ghafla nikaliona na stimu zote kwishney.

Burn
Msamehe bure, vidato kidongo hafifu
 
Wanaovuta sigara kwenye public places pasipo kujali afya za wenzao. Nawachukia sana tena sana narudia tena nawachukia sana.
ukiambiwa uwe shoga au uvute sigara utachagua nini?
 
nikiwa kama mzenji basi hata hii thread pia imeniboa,watu mnaisagia zenji nzima kwa kasheshe ya njemba moja. nakapongeza kafirstlady1 kwa kajipost kake kalikoonesha muungano. huyu abdulhallim anaboa na nadoubt kama ni mzenji huyu, labda kapewa ukimbizi zenji tu. wazenji hatuna matabia ya ajabu ajabu kama hii njemba. tena abdulhallim acha kutumia jina la zenji kuleta miujiza yako jf. kama kuna mtz unaeboa basi ww abdulhallim namba moja.
 
jamani jamani jamani kama tutaanza kuwa na hates za namna hii sisi wenyewe naamini ndo maana wakoloni walitutawala bila shida
kwa imani yangu mpemba, muunguja ,( sijui wote ni wazanziberi ) mtu wa bara sisi wote ni ndugu na Africa ni moja
Ndugu yetu Masanilo yuko huko mbona anaishi kwa amani na upendo huku akifurahia upepo mwanana wa bahari ....na nchi kavu
well done kawife ka rais , haka kakomenti kako kameenda shule.
 
mimi wananiboa sana MA-LOVER BOYS!unajua mke wangu bado mdogo sana,sasa hawa jamaa hawaishi kunisababishia stress.infact nafikiria kununua pistol JUST FOR THEM
 
mimi wananiboa sana MA-LOVER BOYS!unajua mke wangu bado mdogo sana,sasa hawa jamaa hawaishi kunisababishia stress.infact nafikiria kununua pistol JUST FOR THEM

wivu utakusababishia maafa pole sana 😀
 
mimi wananiboa sana MA-LOVER BOYS!unajua mke wangu bado mdogo sana,sasa hawa jamaa hawaishi kunisababishia stress.infact nafikiria kununua pistol JUST FOR THEM

duh,
pwa hilo nalo neno, ila hatari sana maana sasa wengine tutanunua magobore, yani ukimpiga mtu ya kichwa basi unasambaratisha kila kitu utadhani mtu kapigwa na bomu!.
 
Back
Top Bottom