Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

I was waiting so long to hear such a comment,
Hapa umejibu vyema ingawaje nataka waje na wengine wenye kusema ukweli waongezee. .
Umeongea point nzuri sana kuwa WENGI WALIOENDA HAWAKUANDALIWA NA HAWALUJIANDAA KISAIKOLOJIA ila pia UWEZO WAO KISHULE ULIKUWA MDOGO.
Pia mazingira waliyoyakuta kule ya kuishi kianasa anasa yaliwaathiri.

Nasema hivi maana ninaaafahamu waliosoma Russia yaani unawaona KABISA UWEZO WAO NI MDOGO SANA COMPEARED NA WALIOSOMA NCHI NYINGINE, unakuta amesoma mavitu magumuna amefaulu ila UNAKUTA HANA ALICHOTOKA NACHO PALE KIKAKAA KICHWANI MAANA WALIKUWA WANAKARIRI KWA NGUVU ZOTE ILI WAFAULU kumbe walikuwa wanajiadhiri. Unamkuta mtu yaan hata REASONING CAPACITY YAKE ANAZIDIWA NA MTU WA KAWAIDA .

Hilo la kusema kwamba waliporudi walijikuta masters ya Russia inaonekana cha mtoto kwa waliosoma degree UDSM au Ulaya sio kwamba kama unavosema walitengwa no, ila ni kwamba hawa jamaa kujichanganya walishindwa maana wanajikuta upeo wao ni mdogo na wanakosa confidence ya kumingle na wenzao wenye upeo mkubwa wa reasoning +exposure

Inaonekana waliadhirika sana na kudumaa kiakili.
May God help them . . .
 
Kuna kitu kimejificha kuhusu Urusi. Mimi pia kuna daktari wa muhumbili alisoma Russia miaka 7 yaani huwezi mtofautisha ba chizi. Na akiamka tu ni kwenye pombe. Anapenda pombe kuliko maelezo. Swali ni why Russia?
 
Nadhan hata Mtukufu wa Zenji amesoma huko,ila alosoma nae now ni COMBER
 
Daaah inasikitisha sana. Mimi naona ni zle pombe kwakua kule kuna baridi sana na hawajazoea so wanapga spirit zakutosha ndo znawaharibu.
 
Hata kingunge alienda huko anamjuwa Mungu karudi ni mpagani.

Kuna chizi mmoja alikuwa segerea kituoni kwa mda mrefu nadhani hivi sasa yupo milembe.....jamaa alisoma Urusi akaowa na kuowa huko huko...ila alirudi na mtoto mmoja huku akiwa na dalili za ukichaa ila sasa ni kicha kabisa. Wakazi wote wa segerea wanamjuwa.
 
Dr Shika
Daaah inasikitisha sana. Mimi naona ni zle pombe kwakua kule kuna baridi sana na hawajazoea so wanapga spirit zakutosha ndo znawaharibu.
Dr Luis Shika...... nadhani 900 ingependeza
 

hivi hao maDr. na Prof wao nao nati zimelegea kama dr Shika?
 
kuna shida hapa kama ni shule ngum hata wananchi toka ulaya wakisoma Urusi nao wanadata?
 
Mmmh nina cousin angu yeye amesoka india miaka karibia 6 lakini mbona yuko fresh
 
900 INAPENDEZA

URUSI KIBOKO. HATA MIMI NAWAFAHAMU WATU KAMA 5 HV WAMESOMA URUSI, WAMERUDI NATI ZIMELEGEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…