Nakumbuka miaka ya zamani ilisemekana wengi waliokwenda kusoma nchi za mashariki ya mbali na baadhi ya nchi za kikomunist wengi walivyorudi hawakuweza kupata watoto kwakile kilichodaiwa kuwa kuna dawa wanawekewa kwenye chakula pasipo wao kujua. Kulikuwa na dhana kuwa wenyeji walihofia mtu mweusi kuzaa na wanawake wao.
Kijijini kwetu yupo aliyekwenda Hungary kusomea udakitari akakaa 5yrs alivyorudi jamaa hakuwa na isue na wanawake tena hadi anastaafu (mungu amlaze pema). Ila kabla hajaenda Hungary aliacha girlfriend wake na aliporudi akawa mbali sn naye.
Likewise kuna mwingine alikwenda urusi ila Ukraine ya sasa kujifunza mambo ya ndege aliporudi hadi anakuwa mzee hakuwa na mke wala mtoto. Ila before that alikuwa kipanga hasa.
So ni vema tukaangalia hawa wanakwenda Russia hizo stress zinaletwa na nini. Isije ikawa mayai yameshachacha