Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
subiri pm kutoka kwa dada zetu humu...
We subiri tu zinakuja
Haahaaaa
Maana hii ni promo,ngoja tuwa pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subiri pm kutoka kwa dada zetu humu...
We subiri tu zinakuja
Mimi ninayo mifano miwili tu. Nahisi lipo tatizo kubwa ambalo limefungiwa macho. Hao wawili waliondoka hapa wakiwa vizuri tu. Wamerudi wote wakiwa punguani.
we humuoni Lukuvi mana nae alienda huko miaka ya 1970s kwa course ya wiki moja kuchukua certificate ya political science...............VODKA inahusika hapa
asante Mungu maana BABA yangu hakurudi na hali hiyo
Kuna watu wametangulia kuchangia wametoa point za msingi sn(I appriciate them),,,me nasoma med hapa hapa urusi,,situmii pombe wala sigara,kanisan najua ni lazma nikamsifu na kumtukuza Mungu sbb natambua umhim wa Mungu ktk maisha yng,,Urusi ya Leo kila kitu ni uhuru wako cha msingi usivunje sheria za nchi,,,,pombe na sigara,baridi kali na kujiachia sn na watoto wa kirusi unasahau kilichokuleta na kusahau ulikotoka hv vina play great role kuharib mind ya mtu hakika kabsa,kingne ni ulimbukeni wa cc watanzania kupalamia vitu tu hata usivyovijua ilimradi uonekane na ww tu(mtu kaja hatumii pombe wala sigara ndan ya mwez tu anaanza kutumia,usharobaro mwingi matokeo Yake ndo hayo wanayoyasema watu),,Hapa Russia pombe na sigara bei Yake ni nafuu sn so mtu ana opt kununua pombe wakat mwingne kuliko chakula japo si wote lakn,,,,Russia inataka umpe Mungu nafas ya kwanza ktk maisha yako,,hutatikiswa kamwe na chochote
Nimehamasika kwenda Urusi kusoma kutokana na comments za wadau.
Ngoja nifuatilie mambo ya scholarship.
Nitafutie pen pal jike wa kirusi mkuu.
Maisha ya urusi ni magumu sana na wengi wao wakienda huko wanaendekeza pombe matokea yake ndio hayo. Ujerani huwezi kulinganisha life lake na la urusi, urusi mwanafunzi kulala na njaa ni kitu cha kawaida. Na pombe nchini urusi ni bei rahisi sana kuliko hata maji kwa hio wengi wanashindwa kununua chakula wananunua pombe..
Prove me wrong.. Hata mimi nimehadithiwaa
Dah ...hii ni kweli kabisa hata mimi kuna watu 3 nawafahamu...wamerudi na hali mbaya sana ..mmoja kati ya hawa ni kichaa...alikua anapanga mawe pale kwenye junction ya morogoro road na bibi titi, ana phd.
Ata mi nlikua najiuliza mana baba yake mdogo rafki angu alienda kusoma engineering karudi yuko ka chizi kabisa asee
inashangaza sn.pia naishangaa s/kali ytu,kwa kua inapoteza pesa nyingi kuwasomesha watu wke
rkn mwosho wa cku hasara.aifanyi uchunguzi,aijiuri kwa nn hyu karudo yko so!ni ttzo kwakweli.roho inauma kupoteza maichinia,maprofesa nk.
ni kweli kabisa nina mifano hai km 3 hv tena ni waalimu wa chuo cha must mbeya,wameenda urus wamerudi hajielewi kabisaaa!!!cjui huwa wanawapa nini??
Ni kweli hata my auncle naye alisoma huko Urusi mambo ya Engeneering miaka ya 70 kaja zake TZ kafanya kazi miaka kadhaa pale wizara ya Ardhi ila akafukuzwa kwa redundancy shauri ya pombe na anasa zake.
Mwaka 83 mara tu baada ya kufukuzwa kazi alichanganyikiwa na siku hz yupo kama ZEZETA.