Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

kuna ticha alinifundisha physics, alisoma urusi, ata hakumaliza chuo akarudi, jamaa alikuwa anavuta sigara kupitiliza, darasan anakuja ananuka sigara, akinunua tshirt anaivaa mpaka ipoteze rang, mwl mwingine akimgongea kipind chake kimeisha, anamtukana, mwanafunz akizingua hatumii fimbo, ni konz kichwa kinatoa saut as if kitapasuka, ingawa ilikuwa mara chache lakini ikikutokea hutosau, aliwah kumpigia jamaa ang m1 yuko virginia sasa hv ila hatasahau, mitihan yake ni maswali ya example zile zile za kwenye daftal, shortly jamaa hakuwa sawa, inasemekana barid ya huko ilimfanya awe addicted ya sigara akaenda mpaka bangi.
 
chezea putin wewe huwa anachukua akili za wabongo msukule
 
Privyet papushka & devushka


Приветик...о чём тут речь?
 
Aisee kuna ukweli juu ya hili. Mimi namfahamu mzee mmoja kaka yao na akina Joyce Mhavile (yule wa ITV) nae alisoma huko Russia ni chapombe balaa na ni kama kadata hivi. Tumepotezana miaka mingi sana sijui kama yupo hai ila ni mzee maarufu sana alizoea kutembelea Kinondoni na Mtoni kwa Azizi anajulikana kama Mzee Mhavile.
Inabidi nimcheki classmate wangu naye yupo huko Urusi mwaka wa9 sasa kazamia. Ntaongea na nduguze juu ya hili make nae nasikia siku hizi ni mzee wa mvinyo sana wakati wazazi wake wanamtegemea.

Yupo kawe ana waya waya tu kazi kuomba viroba kwa askari, yule haja vurugwa kusoma outside ila migogoro yake na huyo uliemtaja ndio anadai kamvuruga! Chezea urithi wewe! Af yeye ndio kidume pekee..lazima ukalishwe!
 
Yawezekana na Kiranga ni zao la huko...! Natania, yeye alisoma kitabu kimoja hivi ndicho kilichombadilisha...siyo Urusi.

Lakini kiukweli hata mimi nikijiuliza maswali kuhusu Bible na Quran nasema Mungu hayupo maana vinajipinga sana hivi vitabu.
 
Last edited by a moderator:
Wengi wao wakitoka huko huwa hawaamini kabisa uwepo wa MUNGU halafu wanakuwa watu wa MITUNGI balaa yaani muda wote wapo nduki.


Hayo mambo mliaminishwa enzi za Soviet Union. Sasa hivi Urusi ni tofauti kabisa kiongozi. Unakunywa kwa vile unapenda na ni hobby yako.

Yapo makanisa mengi ya madhehebu tofauti, ni uchaguzi wako ukasali wapi. Zipo pombe na spirits za sina zote, ni wewe tu uamue unataka kulewa au kufanya kilichokupeleka.
 
Kati ya serikali ambayo haisomeshi wananchi wake nje ya kwanza ni Tanzania, usiisingizie kabisa, watu wote unaoona wanasoma scholarship nje jua wanalipiwa either na vyuo au serikali ya nchi hiyo waliopo ila sio serikali ya Tanzania, na Tanzania inabidi ianze kusomesha wataalam nje, its a very good thing nashangaa kwa nini uko against nacho

Mkuu una uhakika na maneno yako kuwa serikali haisomeshi watu nje ya nchi?
 
Jamaa yangu wa karibu mbona yuko fresh mpaka leo alichukua udaktari na leo hii ni doctor mkuu wa wa hospitali ya mkoa.

Hii si kweli...inategemea na msimamo wako

Unasema sio kweli kwa mfano mmoja??...Vp hawa wengi wanaotoa mifano sawa na mleta uzi??
 
Sikubaliani na wewe kabisa, ulevi ni tabia ya Mtu, Mifano mizuri niliyonayo kwa baadhi ya watu waliosoma Urusi na baadae kunifundisha pale Dar tech ni pamoja na Dr Mahenge, Mwalimu Malifedha, Nzumbi ambae kwa sasa ni admission officer wa DIT pia kuna daktari mmoja alikuwa bingwa wa magonjwa ya kina mama pamoja na kutoa mimba wanafunzi wa secondary Uyui, RIP docta Kobero

Mkuu hapo kwenye red cjaelewa lengo lako ni kumsifia kwa hicho kitu au ni moja ya dalili za uchizi?
 
Back
Top Bottom