Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

[emoji1][emoji1][emoji1] Igwe Magufuri must hear about this!
 
Nimecheka sana kwa kweli, ila ndio ukweli wenyewe, hawa jamaa hufuatilia sana mambo ya Kenya, haswa siasa zetu, nilikutana na Mtanzania anawajua wabunge wetu hadi wengine ambao huwa sina habari nao kabisa. Yaani mtu anakueleza kuhusu siasa za gatuzi kama Nyandarua, sehemu ambayo hata haijawahi kunijia akilini.
 
Nauliza Burundi inasearch nchi gani? Hio bendera ni ya nchi gani? Maana hio bendera sio ya Tanzania. Nimeshangaa kuona hata Burundi wanawapuuzilia mbali ilhali nyie ndio mumebeba Wakimbizi wao.
 
Give me that source from google.
Wewe bado unawashwa washwa nini? Kubali kuwa nchi nne zinaiwaza Kenya (Rwanda, Tanzania, Uganda na Somalia) ilhali nyie hamna nchi hata moja inayowasearch. Aisee hii ni aibu kubwa, hata Burundi imewakataa. Masikini jameni mnatia huruma.
 
Ha ha ha nilikuwa najiuliza, mdudu gani anafanana na bendera ya kenya?
Ndio hii evidence number 1. Huyu Mtanzania tayari ameshakiri kuwa huwa anawaza kuhusu bendera yetu. Mimi sijawahi kuwaza kuhusu bendera ya Tanzania na sitawahi kupoteza muda wangu kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…