Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,699
- 2,457
Pesa za mabeberuAwamu hii imefanya zaidi kila kona ya Nchi, Magufuli anatoa pesa kutuletea maendeleo
Tundu Lissu kuwa Rais wa JMTKila siku mnataka mabadiliko. Mabadiliko yapi hayo, ulaji?
Awamu hii imefanya zaidi kila kona ya Nchi, Magufuli anatoa pesa kutuletea maendeleo
Zito usipoteze muda, huna ushawishi wa kutosha huku bara, bali kipande kidogo cha huko Zanzibar. Tuwekeze nguvu kwenye kudai tume huru ya uchaguzi. Kitendo cha kushiriki huu uchaguzi wa kuhuni, ni kubariki chaguzi za hujuma. Uhuni uliofanyika kwenye chaguzi za marudio uko wazi, kilichofanyika kwenye uchaguzi wa SM Kiko wazi zaidi. Unaweza kushiriki kwa maslahi ya muda mfupi, lakini bila kuwa na msimamo, mtabaki kuwa waliaji.
Salaam ya Zitto..asalaam aleykhum!Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Magufuli
Nyie wengine ni wachumia tumbo
Ushauri wako ni wa kumwachia fisi bucha.
Kususa hakujawahi kuwaletea neema yoyote wapinzani
Act mkimsimamisha membe nitawapa kura yangu.
Acha utani basi! Magufuli anazitoa wapi hizo pesa za kutuletea hayo maendeleo? Hizo ni kodi zetu tunazolipishwa mila siku/mwezi, hivyo hakuna jipya. Tumpongeze Magufuli labda kwa kuruhusu maisha yaendelee ingawa tunakabiliwa na janga la Corona!
Lakini kuhusu masuala ya maendeleo, muepuke kumpa sifa ambazo hastahili. Hata kama Rais angekua ni Mh. Hashimu Rungwe Spunda, bado miundombinu mbalimbali ingejengwa, na bado maisha yangekua bomba kuliko hii namba mnayo tusomesha sasa.
Ubabe wa yule jamaa unatia wasiwasi hashindwi kuifuta ACTHata mimi, sijui hawa jamaa wanasubiri nini kumleta Membe ndani ya harakati za kumng'oa Magufuli
Membe siyo CCM sasa wanaohofia nini?
Tunataka uwanja uwe huruWatanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Magufuli
Nyie wengine ni wachumia tumbo
Global ndio zao.Safi sana Wazalendo, nilikuwa nawacheki live ila Global TV sijui wanawahujumu kuna wakati Mwenyekiti wa Chama Maalim Seif alikuwa anazungumzia magumashi ya kauli ya Jiwe juu ya uchaguzi juru na haki, wakawa wanamute sauti sehemu hizp halafu sehemu nyingine asizomzungumzia wanaachia kama kawaida.
Ongea na watu wa matangazo wahakikishe hela mnayolipa inakwenda kwa haki, kuna wahuni wanahujumu matangazo yenu
Ushauri wako ni wa kumwachia fisi bucha.
Kususa hakujawahi kuwaletea neema yoyote wapinzani