Hongera sana
Maisha yanaanza sasa!
Maisha yetu yangekuwa rais kama ACT wakawa sehemu ya CDM kwa kuunda chama kipya
Kubwa ni muanze kuungana sasa ili muonyeshe njia hijo baadaye kwani kwa sasa haiwezekan
Tunataka uwanja uwe huru
Mbn mlizuiaa wapinzani was ifanye mikutano wkt nyie mnafanya
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wewe kama mwananchi umewasaidiaje kupata tume huru ya uchaguzi?
Manufaa ya tume huru ya uchaguzi siyo kwa wanasiasa tu, hata sisi wananchi tunaihitaji, je wewe umechangia nini hadi sasa ili hiyo tume ipatikane?
Kuunganisha Vyama au kushirikiana?
Asante sana kwa ushauriZitto - jenga chama chako vizuri. 2021-2025 expand your presence/base Bara. Kwanza piganieni uhuru wa kufanya siasa kama ulivyo kwenye katiba. Hiyo ndiyo itawawezesha kujitangaza kama chama mbadala Tanzania. Mtu asiwatishie nyau halafu mkasinyaa kama ilivyokuwa 2015-2020. Kumbuka kuwa damu ya Wapemba 2001 ndio ilitupa haki ya kufanya maandamano Tanzania. Kabla ya hapo, kulikuwa hakuna haki hiyo. Maalim amekuwa akishinda tangu 1995 lakini hakuna kitu. Mwaka 2015 ndio ilikuwa wazi kabisa. Mmejipangaje ku-break hii cycle 2020?
Zito usipoteze muda, huna ushawishi wa kutosha huku bara, bali kipande kidogo cha huko Zanzibar. Tuwekeze nguvu kwenye kudai tume huru ya uchaguzi. Kitendo cha kushiriki huu uchaguzi wa kihuni, ni kubariki chaguzi za hujuma. Uhuni uliofanyika kwenye chaguzi za marudio uko wazi, kilichofanyika kwenye uchaguzi wa SM Kiko wazi zaidi. Unaweza kushiriki kwa maslahi ya muda mfupi, lakini bila kuwa na msimamo, mtabaki kuwa waliaji.
Anazitoa wapi pesa hizo. Yeye kama Magufuli Ana pesa ? Acha akili hizi
Na aliyekwapua trillion 1.5 naye si mchumia tumbo? Nijibu halafu twende mbele.
kwamba tu wewe una comment hapa maana yake nimekushawishi