Watanzania wanataka mabadiliko. Ni wajibu wetu kuwapa Mabadiliko ya Uhakika

SABABU ZA KUKING’OA CHAMA DHALIMU
Ndugu zangu;

Miaka mitano tunayomaliza ni miaka mitano ya ukandamizaji, unyanyasaji, ukatili, chuki na umasikini mkubwa wa Wananchi. Ni miaka mitano ambayo Wananchi wamekuwa na maisha magumu kwa ujumla.
Duh...!. Kwa maoni yangu, ili ACT ikubalike na kubarikiwa, lazima kusema ukweli daima!. Katika kuusema ukweli huu, ni lazima kuusema ukweli wote na sio kuusema ukweli kwa cherry picking!. Japo ni kweli tumeshuhudia miaka mitano ya ukandamizaji, unyanyasaji, ukatili, chuki na umasikini mkubwa wa Wananchi. Ni miaka mitano ambayo Wananchi wamekuwa na maisha magumu kwa ujumla, pia tumeshuhudia maendeleo makubwa ya nchi yetu, vita dhidi ya rushwa, umasikini, ujinga na maradhi vimefanikiwa sana!, kumefanyika maendeleo makubwa ya vitu, ndege, SGR, Miundombinu, mabarabara ya juu kwa juu, rasilimali zetu kutufaidia Watanzania, Tanzania ya viwanda, na mengine mengi!.
Naendelea kusisitiza
Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.
P
 
Mnaweza kushiriki, ila sio kwa kushindana, bali kwenda kupoteza muda. Tumeona chaguzi zote toka awamu hii kuingia madarakani zikinajasiwa, sana sana tumeona wapinzani wakipigwa na kuachiwa vilema, huku ccm wakijitangaza washindi. Ni vyema kudai tume huru ya uchaguzi kuliko kutegemea watu wakashiriki uchaguzi, ambao wapinzani hawatangazwi washindi hata wakishinda. Isitoshe wapiga kura wengi wa upinzani wameshapoteza imani na box la kura, hivyo ni vyema kutengeneza mazingira ya kurejesha imani ya wapiga kura, hasa wa upinzani.

Concern zako ni sahihi, ukiwaza hivyo basi maaba yake ni kuwa wapinzani wasisimamishe madiwani, wabunge na rais hadi wapate tume huru ya uchaguzi. Wasipopewa je?, wafute usajili wa vyama vyao ibaki CCM tu na vyama mamluki?
 
Hakuna hotuba hapo bali leo mmekamisha urithi wa migogoro kutoka CUF kuja ACT [emoji116]
FB_IMG_1585745466092.jpeg
 
Kuna mambo mazuri ambayo Magufuli kafanya mfano kuleta nidhamu kwa watumishi wa Umma pamoja na kusaidia kuziba baadhi ya mianya ya ufujaji fedha za umma japo tatizo bado ni kubwa.

Mimi ni Mtumishi wa umma! Nataka tu nikuhakikishie hakuna nidhamu yoyote ile aliyoileta, zaidi tu ya vitisho na kutishiana nyau. Kwa sasa Wafanyakazi tunacheza tu ule mchezo maarufu wa paka na panya.

Kumjengea Mfanyakazi nidhamu ya uoga huku ukimnyima stahiki zake, hakuna tija yoyote ile zaidi tu ya kumfanya afanye hiyo kazi kwa kutimiza tu wajibu na siyo kwa maendeleo ya nchi yake.
 
Safi sana Wazalendo, nilikuwa nawacheki live ila Global TV sijui wanawahujumu kuna wakati Mwenyekiti wa Chama Maalim Seif alikuwa anazungumzia magumashi ya kauli ya Jiwe juu ya uchaguzi juru na haki, wakawa wanamute sauti sehemu hizp halafu sehemu nyingine asizomzungumzia wanaachia kama kawaida.
Ongea na watu wa matangazo wahakikishe hela mnayolipa inakwenda kwa haki, kuna wahuni wanahujumu matangazo yenu
Mkuu, wenye Tv wakiachia moja kwa moja kila kinachosemwa watafungiwa
 
Maalim Seif kupitia uzoefu aliokuwa nao wa serikali ya umoja wa kitaifa kule Zanzibar pindi akiwa CUF. Ajenge hoja hizi pia akiwa ACT Wanzalendo tuelekeapo uchaguzi wa mwaka huu.

Kwa kuwa nakiona chama chake kukubalika sana na uwezekano wa kubeba nafasi nyingi kule Pemba na maeneo ya mwambao hapa Tanzania Bara. Kwa hiyo ni kwa namna yoyote watumie muda mwingi kufanya kampeni zao katika sehemu.

Kwa maeneo mengine, hasa ya Tanzania Bara, wafanye mashauriano na vyama rafiki ili kuachiana majimbo, ili wasije rudia kosa la kugawana kura za wagombea watakao waweka, na kukipa chama tawala faida.
Kweli kabisa mkuu.. wananchi wanachagua upinzani, afu upinzani unachagua ccm
 
HOTUBA YA NDG. ZITTO KABWE, KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO KATIKA HAFLA YA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA WALIOKUWA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DAR ES SALAAM, TAREHE 20 JUNI, 2020.

Ndugu Viongozi waandamizi wa ACT Wazalendo;
Ndugu Wanachama wenzangu wa ACT Wazalendo;
Ndugu Wanahabari;
Mabibi na Mabwana;
Assalaam Alleykum!

UTANGULIZI
Ndugu zangu;
Leo ni siku ya furaha sana kwetu sisi wana ACT- Wazalendo, ni siku ambayo jitihada zetu za kujenga Chama imara, mbadala na kimbilio la wapenda demokrasia zimeanza kuzaa matunda!.

Zikiwa ni siku chache baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuvunjwa na siku chache baada ya kuwa tumempokea Mwamba wa Kusini Mheshimiwa Suleiman Bungara, almaarufu Bwege, tunakutana kuwapokea waliokuwa Waheshimiwa Wabunge 20 katika Bunge lililovunjwa hivi karibuni.

Hii ni heshma kubwa kwa Chama chetu na uthibitisho kwamba Chama chetu kinazidi kuimarika, kuaminika na kushamiri miongoni mwa wapenda maendeleo wa nchi hii. Kutokana na ukubalifu wa ACT Wazalendo, magwiji wengine 20 tena waliokuwa Wabunge katika kipindi ambacho tulishuhudia baadhi ya Wabunge wakiuza utu wao na iman waliyopewa na wananchi, kwa kile kilichoitwa kuunga mkono juhudi!.

Kwa niaba ya Wanachama wenzangu, ninawashukuru sana kwa imani kubwa mliyoionesha kwa Chama chetu na kuwakaribisha sana kwenye Mabadiliko ya kweli!. Karibuni sana, na kazi iendelee!.

KWA NINI TUMEWAPOKEA?
Ndugu zangu;

Pengine mnajiuliza kwa nini imekuwa rahisi kuwapokea wanachama hawa wapya. Jibu ni rahisi sana, kwanza, Chama chetu kiko wazi kwa kila Mtanzania mwenye nia njema na nchi yetu kujiunga nasi; pili, wanachama hawa wapya kama walivyo Watanzania wengine wengi wamekuwa nasi bega kwa bega wakati wote bila hata kuwa Wanachama rasmi; tatu hawa ni miongoni mwa Wabunge makini walioendelea kusimama imara kusemea kero za wananchi na hivyo kuongeza sauti ya ACT Wazalendo Bungeni katika kupambania haki za kiraia na haki za kiuchumi kwa wananchi wote.

Baada ya kujiridhisha na mwenendo wa Chama chetu, umadhubuti wa Sera zetu katika kuleta mabadiliko ya kweli na ukuaji wa kasi wa chama chetu, ndugu zetu hawa, wameona huu ni wakati muafaka wa kujiunga Rasmi na Chama kinachokua kwa kasi kubwa nchini na kilichojipatia ukubalifu mkubwa miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii.

Ninapenda kutumia fursa hii kuwakaribisha watu wote wenye mapenzi mema na nchi hii kujiunga na ACT Wazalendo na kuiunga mkono katika harakati zake za kuirudisha nchi kwenye misingi iliyoasisiwa na waasisi wa Taifa hili.

JUKUMU KUU MBELE YETU
Ndugu wanachama wetu wapya,

Baada ya kujiunga rasmi na ACT Wazalendo, mko huru na mnazo haki zote kama mwana ACT Wazalendo mwingine yoyote. Kwetu hakuna mwenye Chama!, hiki ni chama cha wanachama wote na ni chama cha umma wote wa Watanzania.

Hivyo, kuanzia leo, mnalo jukumu moja kubwa, nalo ni kuhakikisha tunashinda uchaguzi wa Rais wa Zanzibar na tunaulinda na kuhami ushindi wetu. Vilevile, tunalojukumu la kuhakikisha tunang’oa mizizi ya chama dhalimu nchini kwetu na hivyo kuunda Serikali ya Jamhuri ya Muungano ili kuleta furaha kwa Watanzania.

MATUMAINI MAKUBWA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Ndugu wananchi;

Tunazo sababu nyIngi za kujivunia waliokuwa wabunge kujiunga na ACT Wazalendo na bado milango ipo wazi kwa wanaotaka kujiunga kwenye jukwaa la uhakika wa mabadiliko. Tunajivunia Wabunge ambao walitumia muda wao kufanya kazi ya kuisimamia Serikali na kutaka mabadiliko ya muundo wa Muungano ili Tanzania iwe na Muungano ulio sawa, wa haki na kuheshimiana.

Licha ya kwamba walikuwa wanaisimamia Serikali tukutu, isiyosikia na isiyo jali, lakini wanao uzoefu mkubwa wa kukabiliana na mikingamo, dhoruba na mapito mazito. Ni watu wasioyumba na ambao walidharau ukandarasi wa kununua utu wa watu kwa kinachoitwa kuunga mkono juhudi!.Ttunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria, tukiwa na watu wa aina hii, tunaingia kwenye uchaguzi tukiwa na matumaini makubwa sana, na tunaomba Wananchi mtuunge mkono!.

Wabunge hawa wastaafu wanahitajika zaidi katika miaka mitano ijayo ambapo mambo ya msingi ya Muungano ambayo hayaleti usawa, haki na kuheshimiana vinatakiwa kuzikwa kwenye kaburi la sahau. Ni miaka mitano ya kudai Tume ya Pamoja ya Fedha za Muungano, kuondoa unyonyaji, ukandamizwaji na kudogoshwa kwa sehemu moja ya Muungano. Ni miaka ya kuirudisha nchi kwenye misingi!.

Sina mashaka, wanachama wetu hawa wapya na wengine watakaojiunga hivi kaibuni wataendeleza ukali wa hoja hizi wakiwa ACT Wazalendo na kwa uwezo wake Mola mwaka huu tutakapounda Serikali zote mbili tutaanza hatua muhimu ya kurekebisha muundo wa Muundo wa Muungano na maboresho makubwa ya kiuchumi.

KAZI NA BATA DHIDI YA KAZI TU!
Ndugu zangu, Watanzania wenzangu;

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 sisi ACT Wazalendo tumedhamiria kuijenga Tanzania inayopaa kiuchumi, tukibuni na kutekeleza sera zitakazohakikisha Uchumi Shirikishi unaozalisha AJIRA.

Chama chetu kitaongoza Serikali zitakazovutia uwekezaji kutoka nje (FDI) ili kuongeza mitaji nchini na kupanua shughuli za uzalishaji mali. Nataka kuongoza Serikali itakayotumia nafasi yetu ya Kijiografia ya kuzungukwa na nchi nyingi zisizo na bahari kufaidika kiuchumi na kuhudumia nchi nyengine kwa kuifanya Tanzania kuwa Kituo Kikuu cha Usafirishaji na Biashara katika eneo la Maziwa Makuu.

Tutawekeza zaidi kwenye shughuli za wananchi wengi, haususan kilimo Kwa kuongeza eneo linalotumika kwa kilimo cha umwagiliaji, uvuvi na ufugaji, lengo la yote haya likiwa ni kuongeza shughuli za kiuchumi kwa Watu. Uchumi wa watu ndio unaojenga Taifa imara na sio Uchumi wa Serikali. ACT Wazalendo inataka kujenga Uchumi wa WANANCHI kupitia Vyama vya Ushirika, Jumuiya za Wafanyabishara na Vyama vya Wafanyakazi.

Tanzania ya ACT Wazalendo itakuwa ni Tanzania yenye huduma bora za kijamii, tukitoa elimu bora na inayokwenda na wakati, inayozalisha wahitimu wenye weledi, ubunifu na uwezo katika nyakati hizi za Sayansi na Teknolojia, Tanzania yenye wakufunzi wa kutosha, madarasa na vitendea kazi, huku mkazo ukiwekwa zaidi kwenye elimu ya ufundi.

Lengo letu ni kuwa na huduma bora na nafuu za afya, inayojikita kwenye kuwakinga na kuwatibu wananchi, kwa kuwa na Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali za kutosha, zenye watendaji wenye sifa, vitendea kazi na vifaa tiba vya kutosha. Huduma ya uhakika ya maji safi na salama ikiwa ni kipaumbele chetu ili kupunguza maradhi yatokanayo na matumizi ya maji yasiyo salama (ambayo hugharimu nusu ya Bajeti ya Dawa nchini).

Tutajenga mifumo imara ya utoaji haki nchini (Justice System) kwa kujenga uwezo wa kupambana na rushwa kwa haki na si kwa kukomoa, kuhakikisha watu wote walioonewa katika kipindi cha miaka hii mitano kwa kubambikiwa kesi kwanza wanaachiwa huru, na wale waliohukumiwa adhabu mbalimbali wakifutiwa rekodi zao za adhabu. Kwa kiasi kikubwa Tanzania hiyo ya ndoto yetu ACT Wazalendo ndiyo mahitaji ya Wananchi wengi - Tanzania yenye MAISHA ya RAHA na FURAHA (Yaani #KaziNaBata).

SABABU ZA KUKING’OA CHAMA DHALIMU
Ndugu zangu;

Miaka mitano tunayomaliza ni miaka mitano ya ukandamizaji, unyanyasaji, ukatili, chuki na umasikini mkubwa wa Wananchi. Ni miaka mitano ambayo Wananchi wamekuwa na maisha magumu kwa ujumla.

Wakulima wameshuhudia kipato chao kikianguka,; wavuvi wakiharibiwa nyenzo zao za kazi; Wafugaji wakiondolewa kwa nguvu maeneo ya malisho ya mifugo yao, Wafanyakazi wakinyimwa nyongeza halali na za kisheria za mishahara yao; Wafanyabiashara wakilazimika kufunga biashara zao au kuhamisha biashara zao, Waandishi wa habari wakipotea, wakifungwa jela kwa kubambikiwa kesi na vyombo vyao vya habari kufungiwa na Wanasiasa wa vyama vya upinzani wakihamishia ofisi zao kwenye korido za mahakama, jela au hospitalini..

Ni miaka mitano ya mateso makubwa ambayo yamewajaza wananchi wengi hasira na kisirani muda mwingi. Ni wajibu wetu kurejesha nyuso za furaha kwa Wananchi hawa kwa kuunda Serikali itakayojenga Tanzania inayopaa na yenye Watu wenye Raha na Furaha. Tunazo sababu zaidi ya elfu moja za kuing’oa CCM, na kwa hakika CCM ni lazima ing’oke ili nchi irudi katika misingi.

Tulipokuwa tunakusanya maoni kwa ajili ya kuandika Ilani yetu ya Uchaguzi ya mwaka 2020 tulikutana na Wananchi katika shughuli zao za kila siku. Siku moja tulikwenda kukutana na wauza madafu mtaani. Walitueleza kuwa kabla ya Serikali ya Awamu ya Tano kuingia madarakani muuzaji mmoja alikuwa anaweza kutembea mji mzima kwa siku na kuuza madafu ya wastani wa shilingi 80,000 yaani madafu 80. Tangu mwaka 2017 siku akiuza madafu 20, yaani shilingi 20,000 ni siku ya bahati sana. Mnaweza kuona namna ambavyo Sera mbovu zinazominya uchumi wa watu wa kati zinavyoweza kuathiri mwananchi wa chini kabisa.

Ninafahamu kwamba, Serikali ya CCM imebobea kwa ulaghai na uongo, tunatambua takwimu zao za kubumba zilizotolewa juzi wakati wa kuahirisha Bunge, tunao uchambuzi makini na wakati wa kampeni za uchaguzi tutauanika hadharani, ili wananchi wajiridhishe zaidi kwamba CCM haistahili kuongezewa hata siku moja kuongoza Tanzania.

HITIMISHO
Nihitimishe kwa kuwashukuru tena Waheshimiwa Wabunge wastaafu, ambao tuna imani miezi michache ijayo watarudi Bungeni kwa kishindo chini ya Serikali itakayokuwa imeundwa na ACT Wazalendo ama Zanzibar au Serikali ya Muungano au Serikali zote mbili.

Ninawakaribisha wanachama wetu wapya na ninawahakikishia ushirikiano mkubwa katika kuhakikisha kuwa tunaleta MABADILIKO YA UHAKIKA kwa Watanzania. Watanzania wanataka Mabadiliko, ni Wajibu wetu kuwapa mabadiliko.

Asanteni sana na karibuni sana!
Daah.. hata ukikusanya ccm woote ukarundika pamoja, hawana uwezo wa kuandaa hotuba makini km hii
 
An
Awamu hii imefanya zaidi kila kona ya Nchi, Magufuli anatoa pesa kutuletea maendeleo
Atoa pesa mfukoni mwake eti? Kuna awamu iliyojenga miundimbinu mingi kama ya JK? Huyo Magaufuli wako miaka yote mitano hata robo ya miundombinu ya JK bado hajaifikia?
 
Bila Tume Huru na bila wapinzani kushirikiana,yote haya hayawezi kutimia labda Mungu mwenyewe aingilie kati kwa kuangusha mbuyu vingnevyo ni vigumu sana.
 
Asante Zitto na Maalim kwa kutuletea platform wataka mabadiliko. CCM itaiba tena ushindi wa Maalim kule Zanzibar kama walivyofanya 2015. Na wamekwisha wajua kuwa hamna la kufanya. Mwaka huu mmejiandaaje kulinda ushindi wa Maalim?
Zito usipoteze muda, huna ushawishi wa kutosha huku bara, bali kipande kidogo cha huko Zanzibar. Tuwekeze nguvu kwenye kudai tume huru ya uchaguzi. Kitendo cha kushiriki huu uchaguzi wa kuhuni, ni kubariki chaguzi za hujuma. Uhuni uliofanyika kwenye chaguzi za marudio uko wazi, kilichofanyika kwenye uchaguzi wa SM Kiko wazi zaidi. Unaweza kushiriki kwa maslahi ya muda mfupi, lakini bila kuwa na msimamo, mtabaki kuwa waliaji.
 
Hawa jamaa walikuwa na muda wa kudai tume huru wakaacha ukapita. Sasa uchaguzi umefika unaaza kuwasikia, "tume huru"! Haina maana na inakatisha tamaa.
Bila Tume Huru na bila wapinzani kushirikiana,yote haya hayawezi kutimia labda Mungu mwenyewe aingilie kati kwa kuangusha mbuyu vingnevyo ni vigumu sana.
 
Huwezi kudai tume huru miezi 3 kabla ya uchaguzi wakati Bunge halipo halafu ukaipata. Muda wa kudai tume huru ulikuwa 2016-2019. Haya mengine ni kelele tu kwa sasa. Kama wanataka tume huru waanze kudai kwa nguvu zote tangu 2021. Waendelee mpaka 2024 bila kukoma. Lakini wakisubiri mpaka Juni 2025, akina Jecha na Agostino Ramadhani wataendelea kujitokeza huko mbele. Zitto anaonyesha matumaini kuliko hao unaowafikiria. Tumtie nguvu. Siyo kumkatisha tamaa.
Zito usipoteze muda, huna ushawishi wa kutosha huku bara, bali kipande kidogo cha huko Zanzibar. Tuwekeze nguvu kwenye kudai tume huru ya uchaguzi. Kitendo cha kushiriki huu uchaguzi wa kuhuni, ni kubariki chaguzi za hujuma. Uhuni uliofanyika kwenye chaguzi za marudio uko wazi, kilichofanyika kwenye uchaguzi wa SM Kiko wazi zaidi. Unaweza kushiriki kwa maslahi ya muda mfupi, lakini bila kuwa na msimamo, mtabaki kuwa waliaji.
 
Hawa jamaa walikuwa na muda wa kudai tume huru wakaaacha ukapita. Sasa uchaguzi umefika unaaza kuwasikia, "tume huru"! Haina maana na inakatisha tamaa.

Ina maana ulikuwa huoni maalim alivyokuwa anashindishwa mahakamani enzi za Lipumba, huku Chadema wakibambikiwa kesi na kushinda mahubusu daily huku ACT wakijitahidi kukuza chama chao, huo muda wa kudai tume wangeupata wapi wakati hata haki ya kufanya mikutano ambayo iko kisheria walinyimwa?
Ndugu yangu, hakuna kipindi kigumu kufanya siasa halali kama kwenye utawala huu!
 
Basi wasubiri mpaka huyo "malaika" atakapoamua kuwapa hiyo tume wanayoitaka kwenye kisahani. Kwani Mandela na Machel walipewa uhuru kwenye kisahani? Unauliza maswali gani hayo! Mchango wako unaonyesha kuwa you are a typical Tanzanian. Hautaki kufikiria nje ya boksi.

Wewe kama mwananchi umewasaidiaje kupata tume huru ya uchaguzi?
Manufaa ya tume huru ya uchaguzi siyo kwa wanasiasa tu, hata sisi wananchi tunaihitaji, je wewe umechangia nini hadi sasa ili hiyo tume ipatikane?
 
HOTUBA YA NDG. ZITTO KABWE, KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO KATIKA HAFLA YA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA WALIOKUWA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DAR ES SALAAM, TAREHE 20 JUNI, 2020.

Ndugu Viongozi waandamizi wa ACT Wazalendo;
Ndugu Wanachama wenzangu wa ACT Wazalendo;
Ndugu Wanahabari;
Mabibi na Mabwana;
Assalaam Alleykum!

UTANGULIZI
Ndugu zangu;
Leo ni siku ya furaha sana kwetu sisi wana ACT- Wazalendo, ni siku ambayo jitihada zetu za kujenga Chama imara, mbadala na kimbilio la wapenda demokrasia zimeanza kuzaa matunda!.

Zikiwa ni siku chache baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuvunjwa na siku chache baada ya kuwa tumempokea Mwamba wa Kusini Mheshimiwa Suleiman Bungara, almaarufu Bwege, tunakutana kuwapokea waliokuwa Waheshimiwa Wabunge 20 katika Bunge lililovunjwa hivi karibuni.

Hii ni heshma kubwa kwa Chama chetu na uthibitisho kwamba Chama chetu kinazidi kuimarika, kuaminika na kushamiri miongoni mwa wapenda maendeleo wa nchi hii. Kutokana na ukubalifu wa ACT Wazalendo, magwiji wengine 20 tena waliokuwa Wabunge katika kipindi ambacho tulishuhudia baadhi ya Wabunge wakiuza utu wao na iman waliyopewa na wananchi, kwa kile kilichoitwa kuunga mkono juhudi!.

Kwa niaba ya Wanachama wenzangu, ninawashukuru sana kwa imani kubwa mliyoionesha kwa Chama chetu na kuwakaribisha sana kwenye Mabadiliko ya kweli!. Karibuni sana, na kazi iendelee!.

KWA NINI TUMEWAPOKEA?
Ndugu zangu;

Pengine mnajiuliza kwa nini imekuwa rahisi kuwapokea wanachama hawa wapya. Jibu ni rahisi sana, kwanza, Chama chetu kiko wazi kwa kila Mtanzania mwenye nia njema na nchi yetu kujiunga nasi; pili, wanachama hawa wapya kama walivyo Watanzania wengine wengi wamekuwa nasi bega kwa bega wakati wote bila hata kuwa Wanachama rasmi; tatu hawa ni miongoni mwa Wabunge makini walioendelea kusimama imara kusemea kero za wananchi na hivyo kuongeza sauti ya ACT Wazalendo Bungeni katika kupambania haki za kiraia na haki za kiuchumi kwa wananchi wote.

Baada ya kujiridhisha na mwenendo wa Chama chetu, umadhubuti wa Sera zetu katika kuleta mabadiliko ya kweli na ukuaji wa kasi wa chama chetu, ndugu zetu hawa, wameona huu ni wakati muafaka wa kujiunga Rasmi na Chama kinachokua kwa kasi kubwa nchini na kilichojipatia ukubalifu mkubwa miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii.

Ninapenda kutumia fursa hii kuwakaribisha watu wote wenye mapenzi mema na nchi hii kujiunga na ACT Wazalendo na kuiunga mkono katika harakati zake za kuirudisha nchi kwenye misingi iliyoasisiwa na waasisi wa Taifa hili.

JUKUMU KUU MBELE YETU
Ndugu wanachama wetu wapya,

Baada ya kujiunga rasmi na ACT Wazalendo, mko huru na mnazo haki zote kama mwana ACT Wazalendo mwingine yoyote. Kwetu hakuna mwenye Chama!, hiki ni chama cha wanachama wote na ni chama cha umma wote wa Watanzania.

Hivyo, kuanzia leo, mnalo jukumu moja kubwa, nalo ni kuhakikisha tunashinda uchaguzi wa Rais wa Zanzibar na tunaulinda na kuhami ushindi wetu. Vilevile, tunalojukumu la kuhakikisha tunang’oa mizizi ya chama dhalimu nchini kwetu na hivyo kuunda Serikali ya Jamhuri ya Muungano ili kuleta furaha kwa Watanzania.

MATUMAINI MAKUBWA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Ndugu wananchi;

Tunazo sababu nyIngi za kujivunia waliokuwa wabunge kujiunga na ACT Wazalendo na bado milango ipo wazi kwa wanaotaka kujiunga kwenye jukwaa la uhakika wa mabadiliko. Tunajivunia Wabunge ambao walitumia muda wao kufanya kazi ya kuisimamia Serikali na kutaka mabadiliko ya muundo wa Muungano ili Tanzania iwe na Muungano ulio sawa, wa haki na kuheshimiana.

Licha ya kwamba walikuwa wanaisimamia Serikali tukutu, isiyosikia na isiyo jali, lakini wanao uzoefu mkubwa wa kukabiliana na mikingamo, dhoruba na mapito mazito. Ni watu wasioyumba na ambao walidharau ukandarasi wa kununua utu wa watu kwa kinachoitwa kuunga mkono juhudi!.Ttunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria, tukiwa na watu wa aina hii, tunaingia kwenye uchaguzi tukiwa na matumaini makubwa sana, na tunaomba Wananchi mtuunge mkono!.

Wabunge hawa wastaafu wanahitajika zaidi katika miaka mitano ijayo ambapo mambo ya msingi ya Muungano ambayo hayaleti usawa, haki na kuheshimiana vinatakiwa kuzikwa kwenye kaburi la sahau. Ni miaka mitano ya kudai Tume ya Pamoja ya Fedha za Muungano, kuondoa unyonyaji, ukandamizwaji na kudogoshwa kwa sehemu moja ya Muungano. Ni miaka ya kuirudisha nchi kwenye misingi!.

Sina mashaka, wanachama wetu hawa wapya na wengine watakaojiunga hivi kaibuni wataendeleza ukali wa hoja hizi wakiwa ACT Wazalendo na kwa uwezo wake Mola mwaka huu tutakapounda Serikali zote mbili tutaanza hatua muhimu ya kurekebisha muundo wa Muundo wa Muungano na maboresho makubwa ya kiuchumi.

KAZI NA BATA DHIDI YA KAZI TU!
Ndugu zangu, Watanzania wenzangu;

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 sisi ACT Wazalendo tumedhamiria kuijenga Tanzania inayopaa kiuchumi, tukibuni na kutekeleza sera zitakazohakikisha Uchumi Shirikishi unaozalisha AJIRA.

Chama chetu kitaongoza Serikali zitakazovutia uwekezaji kutoka nje (FDI) ili kuongeza mitaji nchini na kupanua shughuli za uzalishaji mali. Nataka kuongoza Serikali itakayotumia nafasi yetu ya Kijiografia ya kuzungukwa na nchi nyingi zisizo na bahari kufaidika kiuchumi na kuhudumia nchi nyengine kwa kuifanya Tanzania kuwa Kituo Kikuu cha Usafirishaji na Biashara katika eneo la Maziwa Makuu.

Tutawekeza zaidi kwenye shughuli za wananchi wengi, haususan kilimo Kwa kuongeza eneo linalotumika kwa kilimo cha umwagiliaji, uvuvi na ufugaji, lengo la yote haya likiwa ni kuongeza shughuli za kiuchumi kwa Watu. Uchumi wa watu ndio unaojenga Taifa imara na sio Uchumi wa Serikali. ACT Wazalendo inataka kujenga Uchumi wa WANANCHI kupitia Vyama vya Ushirika, Jumuiya za Wafanyabishara na Vyama vya Wafanyakazi.

Tanzania ya ACT Wazalendo itakuwa ni Tanzania yenye huduma bora za kijamii, tukitoa elimu bora na inayokwenda na wakati, inayozalisha wahitimu wenye weledi, ubunifu na uwezo katika nyakati hizi za Sayansi na Teknolojia, Tanzania yenye wakufunzi wa kutosha, madarasa na vitendea kazi, huku mkazo ukiwekwa zaidi kwenye elimu ya ufundi.

Lengo letu ni kuwa na huduma bora na nafuu za afya, inayojikita kwenye kuwakinga na kuwatibu wananchi, kwa kuwa na Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali za kutosha, zenye watendaji wenye sifa, vitendea kazi na vifaa tiba vya kutosha. Huduma ya uhakika ya maji safi na salama ikiwa ni kipaumbele chetu ili kupunguza maradhi yatokanayo na matumizi ya maji yasiyo salama (ambayo hugharimu nusu ya Bajeti ya Dawa nchini).

Tutajenga mifumo imara ya utoaji haki nchini (Justice System) kwa kujenga uwezo wa kupambana na rushwa kwa haki na si kwa kukomoa, kuhakikisha watu wote walioonewa katika kipindi cha miaka hii mitano kwa kubambikiwa kesi kwanza wanaachiwa huru, na wale waliohukumiwa adhabu mbalimbali wakifutiwa rekodi zao za adhabu. Kwa kiasi kikubwa Tanzania hiyo ya ndoto yetu ACT Wazalendo ndiyo mahitaji ya Wananchi wengi - Tanzania yenye MAISHA ya RAHA na FURAHA (Yaani #KaziNaBata).

SABABU ZA KUKING’OA CHAMA DHALIMU
Ndugu zangu;

Miaka mitano tunayomaliza ni miaka mitano ya ukandamizaji, unyanyasaji, ukatili, chuki na umasikini mkubwa wa Wananchi. Ni miaka mitano ambayo Wananchi wamekuwa na maisha magumu kwa ujumla.

Wakulima wameshuhudia kipato chao kikianguka,; wavuvi wakiharibiwa nyenzo zao za kazi; Wafugaji wakiondolewa kwa nguvu maeneo ya malisho ya mifugo yao, Wafanyakazi wakinyimwa nyongeza halali na za kisheria za mishahara yao; Wafanyabiashara wakilazimika kufunga biashara zao au kuhamisha biashara zao, Waandishi wa habari wakipotea, wakifungwa jela kwa kubambikiwa kesi na vyombo vyao vya habari kufungiwa na Wanasiasa wa vyama vya upinzani wakihamishia ofisi zao kwenye korido za mahakama, jela au hospitalini..

Ni miaka mitano ya mateso makubwa ambayo yamewajaza wananchi wengi hasira na kisirani muda mwingi. Ni wajibu wetu kurejesha nyuso za furaha kwa Wananchi hawa kwa kuunda Serikali itakayojenga Tanzania inayopaa na yenye Watu wenye Raha na Furaha. Tunazo sababu zaidi ya elfu moja za kuing’oa CCM, na kwa hakika CCM ni lazima ing’oke ili nchi irudi katika misingi.

Tulipokuwa tunakusanya maoni kwa ajili ya kuandika Ilani yetu ya Uchaguzi ya mwaka 2020 tulikutana na Wananchi katika shughuli zao za kila siku. Siku moja tulikwenda kukutana na wauza madafu mtaani. Walitueleza kuwa kabla ya Serikali ya Awamu ya Tano kuingia madarakani muuzaji mmoja alikuwa anaweza kutembea mji mzima kwa siku na kuuza madafu ya wastani wa shilingi 80,000 yaani madafu 80. Tangu mwaka 2017 siku akiuza madafu 20, yaani shilingi 20,000 ni siku ya bahati sana. Mnaweza kuona namna ambavyo Sera mbovu zinazominya uchumi wa watu wa kati zinavyoweza kuathiri mwananchi wa chini kabisa.

Ninafahamu kwamba, Serikali ya CCM imebobea kwa ulaghai na uongo, tunatambua takwimu zao za kubumba zilizotolewa juzi wakati wa kuahirisha Bunge, tunao uchambuzi makini na wakati wa kampeni za uchaguzi tutauanika hadharani, ili wananchi wajiridhishe zaidi kwamba CCM haistahili kuongezewa hata siku moja kuongoza Tanzania.

HITIMISHO
Nihitimishe kwa kuwashukuru tena Waheshimiwa Wabunge wastaafu, ambao tuna imani miezi michache ijayo watarudi Bungeni kwa kishindo chini ya Serikali itakayokuwa imeundwa na ACT Wazalendo ama Zanzibar au Serikali ya Muungano au Serikali zote mbili.

Ninawakaribisha wanachama wetu wapya na ninawahakikishia ushirikiano mkubwa katika kuhakikisha kuwa tunaleta MABADILIKO YA UHAKIKA kwa Watanzania. Watanzania wanataka Mabadiliko, ni Wajibu wetu kuwapa mabadiliko.

Asanteni sana na karibuni sana!
Watu wamechoka udikteta na maisha magumu na u-ccm miaka zaidi ya 60 sasa.
 
W

We support your hard work,together we can.Keep people informed on their rights, we want fare and credible electral process for Tanzanians.
 
Hongereni ACT Wazalendo hakika mmevuka vigingi vya CUF ya Bwana Yule Le Profeseli.
 
Wewe MATAGA acha kudandia garimoshi likiwa kwenye mteremko. Tuachie Wapenda Mabadiliko na tunao ichukia Ccm tujadili namna bora ya kuwaondoa madarakani.

Acha kuwatoa watu nje ya mstari. Magufuli ana uzalendo gani? Wakati alipokua Mbunge na Waziri kwa miaka 20, aliacha historia gani zaidi ya ile ya kuuza nyumba za Serikali kwa bei ya hasara?
Tuwaepuke wadandia treni kwa mbele,tusiwape nafasi ya kupotosha.CCM tuachieni Tanzania yetu tuijenge,tumechoka usanii wenu.Mnatukuza vitu na kutukandamiza Sisi kwenye nchi yetu huku mkijinufaisha wenyewe,kushindwa kutumia raslimali zetu kuboresha uchumi wetu kama taifa.
ACT na vyama vingine serious vijenge ushirikiano wa kulitoa hili dude linalotutawala kimabavu.
 
Back
Top Bottom