Watanzania wanawakubali CHADEMA juu ya kutetea rasilimali zao kuliko CCM kwa kipindi hiki fukuto likizidi kufukuta

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.

Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili.

Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili.

Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi
 
Kunajamaa mmoja katibu jumuia ya wazazi CCM. Nilikua nae jana sehemu, anasema mkataba anaaunga mkono. Kaongea weeeeee, baada ya yeye kumaliza kuongea faida anazodhani ndipo nikamuuliza kuwa mkataba kaosoma. Akajibu kuwa hajausoma, Nikaachana nae.
 
Kama maza mwenyewe hajausoma katibu wa wazazi atausoma saa ngapi na atauelewa?
 
chadema wako vizuri kuhusu utetezi wa rasilimali za nchi ila kuna vikundi vya kidini vimeamua kujitoa ufahamu, watakabiliana na hoja za kipuuzi za makundi ya kidini yasiyo na weledi wa kuchambua mambo tata
 
Kunajamaa mmoja katibu jumuia ya wazazi CCM. Nilikua nae jana sehemu, anasema mkataba anaaunga mkono. Kaongea weeeeee, baada ya yeye kumaliza kuongea faida anazodhani ndipo nikamuuliza kuwa mkataba kaosoma. Akajibu kuwa hajausoma, Nikaachana nae.
Hao wengi sana. CCM inamiliki wajinga wengi sana.
 
😂😂😂

Basi yule Akida akajipigapiga kifua akasema Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu!
Baada ya kuwa mwana wa Mungu amekwisha kufa..!! Lakini mwanzoni inaonekana alikuwa kati ya watu waliokuwa na shaka..!! The same kwa akina Idugunde kuna siku wataona umuhimu wa kuwa n CDM
 
Wewe upite kwenye vijiwe vya wajinga wenzio na kuja kuandika uzi kuwa CHADEMA inakubalika.. una akili kweli wewe? Kwenye suala la DP World bora ungemtaja Dr Slaa, Mwabukusi na TEC ambao sio wanachadema. Nyie ni wazee wa kudandia agenda za watu. Hoja zilizotolewa na CHADEMA zilikuwa hazina mashiko. Nakumbuka ni Mbowe tu aliropoka kuhusu Tanganyika na Zanzibar... hakuna mtu yeyote toka CHADEMA aliyeongea la maana. Kitu pekee mlichoongea ni #freemdude na #freemwabukusi.
 
CCM hawana muda na wanainchi wao wanamtetea raisi ndio mwenyekiti wao yeye ndo anaumua wawe madarakani au wasiwe 2020 jpm alivyofanya.

ata waTanzania muuzwe CCM watamuunga mkono raisi yeye ndo huwapa ugali na sii wananchi KATIBA mpya ni muhimu sana.
 
Wewe upite kwenye vijiwe vya wajinga wenzio na kuja kuandika uzi kuwa CHADEMA inakubalika.. una akili kweli wewe? Kwenye suala la DP World bora ungemtaja Dr Slaa, Mwabukusi na TEC ambao sio wanachadema. Nyie ni wazee wa kudandia agenda za watu. Hoja zilizotolewa na CHADEMA zilikuwa hazina mashiko. Nakumbuka ni Mbowe tu aliropoka kuhusu Tanganyika na Zanzibar... hakuna mtu yeyote toka CHADEMA aliyeongea la maana. Kitu pekee mlichoongea ni #freemdude na #freemwabukusi.

sawa CHAWA. mkataba umeusoma? maana mwanzo ulisema sio mkataba naona saivi unasema ni mkataba UMEUSOMA?
 
Back
Top Bottom