Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwa umri wako kukosa akili ni jambo la aibu snHuwa mnashinda urais ila ni ule wa mioyoni mwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umri wako kukosa akili ni jambo la aibu snHuwa mnashinda urais ila ni ule wa mioyoni mwenu.
SIJASOMA. Umefurahia jibu?sawa CHAWA. mkataba umeusoma? maana mwanzo ulisema sio mkataba naona saivi unasema ni mkataba UMEUSOMA?
Jambo ili sio la chadema! Bora tuwaoigie makofi Sauti ya Watanzania maana wak ndiyo walilivakia njuga kuliko ata Chadema wenyewe.Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.
Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili...
Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili...
Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi
Umefuatilia mikutano yao? Hujasikia wakichambua ibara mbovu moja baada ya moja za IGAWewe upite kwenye vijiwe vya wajinga wenzio na kuja kuandika uzi kuwa CHADEMA inakubalika.. una akili kweli wewe? Kwenye suala la DP World bora ungemtaja Dr Slaa, Mwabukusi na TEC ambao sio wanachadema. Nyie ni wazee wa kudandia agenda za watu. Hoja zilizotolewa na CHADEMA zilikuwa hazina mashiko. Nakumbuka ni Mbowe tu aliropoka kuhusu Tanganyika na Zanzibar... hakuna mtu yeyote toka CHADEMA aliyeongea la maana. Kitu pekee mlichoongea ni #freemdude na #freemwabukusi.
Huyu mstaafu!Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.
Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili...
Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili...
Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi
hawa hawapigagi kura!.Ukikaa vijiweni, baa
as long as hakuna hata milimita moja ya JMT inayouzwa, then hakuna ubaya wowote wala hakuna tatizo loloteUtasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili...
Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili...
Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi
Kenya au??Tena asubuhi na mapema wanaichukua nchi bila tabu.
PumbaUkikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.
Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili...
Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili...
Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi
Vijiwe vya kahawa, maofisini na vya kwenye mabaa vinatoa picha namna gani utawala unakubalika.hawa hawapigagi kura!.
as long as hakuna hata milimita moja ya JMT inayouzwa, then hakuna ubaya wowote wala hakuna tatizo lolote
P
Kama unaongelea nchi za rula hapo SawaCHADEMA NEC ikiwa hata huru kwa 25% wanabeba nchi
Ni kweli wanatoa picha tuu but they doesn't matter!, wanaomatter ni wapiga kura!Vijiwe vya kahawa, maofisini na vya kwenye mabaa vinatoa picha namna gani utawala unakubalika.
Ndio ukweli wenyeweHilo la milimita 1 ya JMT kutokuuzwa wewe unalijua mwenyewe.
Tathmini doesn't matter much, what matters ni decision makers!, tathmini ingekuwa ina ratings hapo tungejali.Hoja ni namna wananchi wanavyomtathimini rais wao na CCM yenu
Picha namna utawala unavyofeli na kuonekana ni wa kifisadi sio jambo la kupuuzwa.Ni kweli wanatoa picha tuu but they doesn't matter!, wanaomatter ni wapiga kura!
Ndio ukweli wenyewe
Tathmini doesn't matter much, what matters ni decision makers!, tathmini ingekuwa ina ratings hapo tungejali.
Maandalizi ya HGA, yanaendelea
P
🤓 Ben, Labda hiyo nchi iwe ya kusadikika.CHADEMA NEC ikiwa hata huru kwa 25% wanabeba nchi
Hivi Ngorongoro na Loliondo zimeuzwa?hawa hawapigagi kura!.
as long as hakuna hata milimita moja ya JMT inayouzwa, then hakuna ubaya wowote wala hakuna tatizo lolote
P
Waligundua ni kama vile wanazidisha petrol kwenye kuni!! Walijikuta wanaeneza tu chuki. Kuna mmoja kwenye kundi hilo wanamtema wiki hiiMbona hawazunguki tena kuutetea mkataba wamekaa kimya kbs.
Endeleeni kujifariji!Waligundua ni kama vile wanazidisha petrol kwenye kuni!! Walijikuta wanaeneza tu chuki. Kuna mmoja kwenye kundi hilo wanamtema wiki hii
Sio kipindi hiki tu. Ni tangu zamani in the history of Politics sema wewe ulijizima data tu.Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.
Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili...
Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili...
Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi