Kama maza mwenyewe hajausoma katibu wa wazazi atausoma saa ngapi na atauelewa?Kunajamaa mmoja katibu jumuia ya wazazi CCM. Nilikua nae jana sehemu, anasema mkataba anaaunga mkono. Kaongea weeeeee, baada ya yeye kumaliza kuongea faida anazodhani ndipo nikamuuliza kuwa mkataba kaosoma. Akajibu kuwa hajausoma, Nikaachana nae.
Hao wengi sana. CCM inamiliki wajinga wengi sana.Kunajamaa mmoja katibu jumuia ya wazazi CCM. Nilikua nae jana sehemu, anasema mkataba anaaunga mkono. Kaongea weeeeee, baada ya yeye kumaliza kuongea faida anazodhani ndipo nikamuuliza kuwa mkataba kaosoma. Akajibu kuwa hajausoma, Nikaachana nae.
Tena asubuhi na mapema wanaichukua nchi bila tabu.CHADEMA NEC ikiwa hata huru kwa 25% wanabeba nchi
Mbona hawazunguki tena kuutetea mkataba wamekaa kimya kbs.Kama maza mwenyewe hajausoma katibu wa wazazi atausoma saa ngapi na atauelewa?
Baada ya kuwa mwana wa Mungu amekwisha kufa..!! Lakini mwanzoni inaonekana alikuwa kati ya watu waliokuwa na shaka..!! The same kwa akina Idugunde kuna siku wataona umuhimu wa kuwa n CDMπππ
Basi yule Akida akajipigapiga kifua akasema Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu!
Tatizo NEC ni tawi kuu la CCMTena asubuhi na mapema wanaichukua nchi bila tabu.
Chongolo mwenyewe muulize mkataba una pages ngapi kama atakuwa na jibuMbona hawazunguki tena kuutetea mkataba wamekaa kimya kbs.
Huwa mnashinda urais ila ni ule wa mioyoni mwenu.CHADEMA NEC ikiwa hata huru kwa 25% wanabeba nchi
Wewe upite kwenye vijiwe vya wajinga wenzio na kuja kuandika uzi kuwa CHADEMA inakubalika.. una akili kweli wewe? Kwenye suala la DP World bora ungemtaja Dr Slaa, Mwabukusi na TEC ambao sio wanachadema. Nyie ni wazee wa kudandia agenda za watu. Hoja zilizotolewa na CHADEMA zilikuwa hazina mashiko. Nakumbuka ni Mbowe tu aliropoka kuhusu Tanganyika na Zanzibar... hakuna mtu yeyote toka CHADEMA aliyeongea la maana. Kitu pekee mlichoongea ni #freemdude na #freemwabukusi.