Watanzania wanawakubali CHADEMA juu ya kutetea rasilimali zao kuliko CCM kwa kipindi hiki fukuto likizidi kufukuta

Hao Chadema wamewahi ongoza Majimbo kibao tuu,labda mtueleze faidia walizowaletea vinginevyo hizo njia njaa tuu za matumbo Yao.
 
Kauli kama hizi ndiyo kamba ya ccm kujinyongea.Pale mnapoishiwa au kuzidiwa katika mijadala,mnasemaga maneno hayahaya...!Dawa yenu ipo jikoni,jiandaeni tu kisaikolojia....!

Acha kunifananisha na hzo takataka CCM
 
Bado una maumivu ya 2020?
 
Narudia tena kwa lugha nyingine, whether uchaguzi uwe huru na haki au vinginevyo, chadema pekee haiwezi kufua dafu mbele ya CCM. Tishio kwa CCM ni moja tu, ''vyama kuunganisha nguvu''

Kuna tabia moja ya ajabu sana ya upinzani nchini, yaani ukishinda kesi mahakamani, hujipiga kifua eti mahakama imetenda haki, lakini ukishindwa kesi utaskia mahakama sio huru.
Pia ukishinda uchaguzi hata Jimbo moja tu hudai uchaguzi ulikua huru na haki, wakishindwa wanadai wameibiwa kura 🤓


Tume ikiwa huru CDM wanabeba mkuu tuache utani, kuna sumu mbaya sn kuhusu CCM kwa sasa
 
Hili Kaka hata ukutane na Bibi wa kijijini atakwambia. Kiufupi CCM wamecheza karata garasa.
 
Acha uongo ndugu, waTanzania wengi vinywani mwao kuhusu rasilimali za Taifa wanamtamka Hayati JPM, sisi ndo wakaa vijiweni kuliko udhaniavyo, kabla ya kwenda kazini na baada ya kazi, tena hiyo Chadema inapondwa mbaya tu na wanaonekana wamesha gawanyika watu wa Mbowe na Lisu, narudia vinywa vya wengi vinamtaka JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
 
Ahaaaa
 
Yeyote anayetetea rasilimali za nchi bila kujali anatokea wapi ni wa maana sana kwa watanzania.
 
Ni vyema wanatusaidia kama wananchi lkn pia ukumbuke msimamo wetu tuko nao sisi kama wananchi hivyo hata wao wapo kwa sehem tu lkn mafikirio pia tuko nayo sisi wenye nchi
 
Kuna chama gani cha kuungana na CDM? vile vyama mamluki?
 
Ni kweli wanatoa picha tuu but they doesn't matter!, wanaomatter ni wapiga kura!

Ndio ukweli wenyewe

Tathmini doesn't matter much, what matters ni decision makers!, tathmini ingekuwa ina ratings hapo tungejali.
Maandalizi ya HGA, yanaendelea
P
Wanaopiga kura ni wananchi...wanaoamua kura ziende kwa nani ni CCM...

So, what matters don't matter any more!
 
Chadema, ndio walikuwa wakwanza kuuchambua mkataba na kuanzisha kampeni za kuamsha nchi kuhusiana na mkataba wa DPW! Na hata sasa ndio walio beba agenda kuipeleka kwa Watz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…