Chadema, ndio walikuwa wakwanza kuuchambua mkataba na kuanzisha kampeni za kuamsha nchi kuhusiana na mkataba wa DPW! Na hata sasa ndio walio beba agenda kuipeleka kwa Watz!
Hakuna lolote wewe, Chadema ni kundi la wahuni, na kwa sasa wanavhofanyaga ni kudandia hoja na kutembea nayo kama ni yao, swala la DP World liliibuliwa na mwana CCM mwenyewe anaitwa Luhaga Mpina, wao waliliona saa ngapi, hao hua ni wahuni tu