Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kuna watu wakisikia Mpalestina/muisrael kauawa huwa wanatamani kulipiza kisasi papo hapo.
Lakini watanzania hao hao kina Josephat Gwajima ama Sheikh Ponda Issa Ponda wanapotoa orodha ya watu waliotekwa, kuuawa au kupotea, huoni wakiwa na hasira kama hizo.
Ina maana watanzania wanathamini zaidi uhai wa wapalestina na waisrael kuliko watanzania wenzao?