Upo sahihi; kama mleta mada alivyo sahihi kutulaumu sisi sote, kwa umoja wetu kama waTanzania kushabikia U-Israel, au u-Palestina.
Naomba unisome kwa taratibu unielewe vizuri.
Wewe ni m-Israel au m-Palestina? Umepaza sauti yako popote kama mTanzania asiyependa kuhusishwa na mambo hayo ya nje ya nchi yetu?
Hao waTanzania, ambao ni wanachama wa CCM (chama) na wao ni mateka, kama tulivyo tekwa sisi sote waTanzania kwa ujumla wetu, na hiki kikundi cha Samia Suluhu Hassan. Kwa bahati mbaya sana, wanazo silaha, na watazitumia kumwaga damu zetu hapo tutakaooleta fyokofyoko.