Watanzania wanawapenda Wapalestina na waisraeli kuliko watanzania wenzao?

Watanzania wanawapenda Wapalestina na waisraeli kuliko watanzania wenzao?

Kichwani kwako haupo timamu eti mateka kwani wamelazimishwa kwenda ccm si njaa zao za kutaka mserereko hivyo na wao wanahusika nenda kawaelezee watoto huu ujinga wako
Ukitaka niwe chizi kama ulivyo wewe, nitakuwa chizi vilevile.
Kwa kuanzia, nakuita wewe ni mzoka usiostahili kujadili mada kama hii.
 
Uongozi mkuu. Uongozi unaoingia madarakani, iwe kwa ridhaa yetu au la, ndiyo kila kitu. Tunapopata kiongozi mkuu mwenye mwelekeo wa kuisimamisha Tanzania yenye heshima, tunajisikia nafuu kidogo. Anapoingia kiongozi mwenye mambo yake ya hovyo hovyo, tunaporomoka kama nchi, kama ilivyo sasa.

Sasa tufanyeje haya mambo yasiendelee kwa kubahatisha bahatisha hivi?
Maana tunaeweza mchagua Lissu naye akafanya hivyo hivyo.

Lakini ni afadhali kutake risk kujaribu kitu kipya kuliko kuendelea kudhamini wale wale wanaotunyoosha kila siku.

Au labda angepita mtu wa jamii ya jiwe ndani ya chama hicho hicho.
 
Unakuta mtu ndani ya gari lake, kwenye ofisi yake au Kanisani kwake kaweka bendera ya Israel.

Na si ajabu kusikia baadhi ya watu wataanza kufunga ili Israel ipate ushindi.

Na utakuta mtu anachachamaa kuhoji na kuhoji ni kwa nini 'mayahudi" wanaua au kushambulia Irani au gaza.

Juhudi zao huwezi kuziona kupambania Mdude na wenzake wapatikane au waliomuua Mzee Ali Kibao watafutwe!
 
Kuna watu wakisikia Mpalestina/muisrael kauawa huwa wanatamani kulipiza kisasi papo hapo.

Lakini watanzania hao hao kina Josephat Gwajima ama Sheikh Ponda Issa Ponda wanapotoa orodha ya watu waliotekwa, kuuawa au kupotea, huoni wakiwa na hasira kama hizo.

Ina maana watanzania wanathamini zaidi uhai wa wapalestina na waisrael kuliko watanzania wenzao?
Gentleman,
chuki ni chanzo cha maradhi ya moyo hususani kwa wenye chuki binafsi dhidi ya wengine 🐒
 
Maana tunaeweza mchagua Lissu naye akafanya hivyo hivyo.

Lakini ni afadhali kutake risk kujaribu kitu kipya kuliko kuendelea kudhamini wale wale wanaotunyoosha kila siku.

Au labda angepita mtu wa jamii ya jiwe ndani ya chama hicho hicho.
Tundu Lissu historia yake inajulikana; haijifichi. Amepambania wananchi, nchi hii dhidi ya dhuruma.
Anapigania mabadiliko katika mifumo mibovu, ambayo yatawapa wananchi uwezo wa kuwakataa viongozi wabovu.

Samia Suluhu Hassan alipo okotwa huko alikokuwa ulishawahi kusikia alichokifanya maisha yake yote?
Ulishawahi hata siku moja kumsikia Samia akisimamia sheria, hata hizi mbovu zilizopo zitekelezwe? Hukuona jinsi alivyowapiga chenga wenzake ndani ya CCM, na kujisimika mwenyewe kuwa mgombea pekee wa urais? Mtu aliyejaa hila na ulaghai mwingi kabisa.

Tundu Lissu anavyo vimelea vya ki-Magufuli vya kutotaka ubabaishaji; lakini yeye ni tofauti na Magufuli, kwa sababu anaheshimu kufuata taratibu (sheria) uliopo, na siyo kujiamria tu hovyo hovyo.

Kwa hiyo, hapo angalao kuna pa kuanzia.
 
20250529_075443~2.jpg

Una hoja, usikilizwe.
 
Bei ya kujenga kituo cha afya kalibu na wahusika na kununua hiyo meli ambulance kipi bora?
Wanamazingaombwe siyo watu wa kuwatilia maanani. Kwenye show wanaonesha kuwa wana uwezo wa kutoa Hela kimazingaombwe, ila mlangoni wameweka kiingilio!
 
Kuna watu wakisikia Mpalestina/muisrael kauawa huwa wanatamani kulipiza kisasi papo hapo.

Lakini watanzania hao hao kina Josephat Gwajima ama Sheikh Ponda Issa Ponda wanapotoa orodha ya watu waliotekwa, kuuawa au kupotea, huoni wakiwa na hasira kama hizo.

Ina maana watanzania wanathamini zaidi uhai wa wapalestina na waisrael kuliko watanzania wenzao?
Hao ni Watanzania wanaojinasibu kuwa ni Watanzania.

#DigitalTanzanians

Kitu ambacho hawakielewi, husikii wa la kuona Wananchi mitaani wakiwa mashabiki wa Mauaji-ya aina yeyote yale.

Ni mItandaoni tu.

Hawa wqnataka tu ku normalise 'ukatili'.

Watanzania wanathamini Watanzania wenzao bila ya kuchagua pande.
Watanzania hatupendi uhasama usio kuwa na tija.
 
Watanzania wanajua vita ni mchezo tu kama yanga na simba na kila mtu ana upande wa kupanga safu na kubetia! Hawajui vita ni kitu gani na wachache sana wanasikia mlio wa smg tu angalau mara 1 tu in lifetime na zaidi ya 95-99% hawajawahi kuona kifo cha mtu aliyekula shaba so ni mipasho tu kama mama yetu, nothing serious
 
Back
Top Bottom