Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwaya inaimba na kujisifu yenyewe
Sema mnaanzaga hivi mnaanza kung'atana
 
Huko kwenu kuna wajinga wengi sana, kama huyo ndo sampling ya walienda shule kidogo...sipati picha wale waliokosa bahati ya kupata elimu wapoje.
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo viroja.
 
Uliendesha kura ya maoni lini kuona kama Mamilioni ya Watanzania wanahitaji Makonda awe Rais 2030?
 
Karibu sana kwenye maandamano siku ya kesho, usikose kuja ukiwa umevaa nguo zako za kijani
 
Unajitahidi sana kuwa na takwimu.
 
Nyie wakimbizi tutawatoa wote
 
Nilijua nimeshawahi kuona kila upuuzi kumbe kuna huu sikuwa nimeona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…