Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usipodhibitiwa wewe, utaleta madhara ki utani utani hivi hivi
 
We chawa Lucas mwashambwa 2030 rais Ni January Yusuph Makamba. Kijana asiye na damu mkononi Wala doa lolote.
Kijana msomi mwenye busara na asiye na makuu au kujipendekeza.
 
Wewe hunaga akili ! Sasa tu simu anatopiga Makonda uto tayari umeshaona anafaa kuwa Rais!
Elimu duni ya Tanzania imezalisha watu wenye akili kama za misukule!
Huyu Lucas Mshamba ni jitu Kilaza sana!
 
Watanzania wanahitaji mtetezi wao.kama alivyo mama Samia .Na sasa wanataka Rais samia anapomaliza muhula wake wa pili aliache Taifa mikononi mwa mchapa kazi na mwenye kuwajali wanyonge ambaye ni Mheshimiwa Makonda
Vipi unyonge utaisha lini au ni forever
 
We chawa Lucas mwashambwa 2030 rais Ni January Yusuph Makamba. Kijana asiye na damu mkononi Wala doa lolote.
Kijana msomi mwenye busara na asiye na makuu au kujipendekeza.
Akipita yeye na Mungu akampa kibali na kumuinua wala haina shida ya aina yoyote ile. Lakini ningependa kukujibu ya kuwa ndani ya chama chetu cha CCM hakuna kiongozi mwenye Damu mikononi mwake. Ndio maana hakuna mashitaka ya aina hiyo katika mahakama ya aina yoyote ile na ngazi yoyote ile hapa nchini.
 
Mimi nilipofikia sihitaji chochote kwa yeyote,
Mawazo na akili yako finyu vinakufanya ufikiri kama kuku
 
Ukiona unaitwa mnyongeee kaaa mguu sawa

Ova
 
Sasa watu wenyewe ushasikia wanyonge, akili Yao unaionaje? Wangekuwa smart kiakili hata huo unyonge wasingekuwa nao na ndio mnaowarubuni coz ya uelewa wao mdogo
 
AGOMBEE NA KUPEWA ..SIO AGOMBEE NA KUSHINDA ….

YAANI ITAKUWA WOTE TUMEKUFA HADI TUONGOZWE NA MTU ASIYE NA KICHWA ??
 
CCM walimteua Makonda kwenye hiyo nafasi ili azidi kupata dhambi zaidi ili Mungu achukie.

NIKIKUMBUKA AWAMU YA 5 KWELI MUNGU aendelee kuitwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…