Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ndiye zezeta usiyejitambua. Lakini Mheshimiwa Makonda ni akili kubwa aliyejaa maono makubwa katika kifua chake juu ya Taifa letu. Ndio maana unaona unaona namna anavyotoa hoja nzito nzito na za kutetemesha kila akipanda jukwaani .
Hoja????!!!
Nzito????!!!
 
Kwanza atuambie Bashite na nani. Pili akatae kwa ushahidi njama za kutaka kumuua Lissu na kuuwa watu wengine. Tatu akanushe ripoti ya CIA inayosema ni muuaji
 
Kwanza atuambie Bashite na nani. Pili akatae kwa ushahidi njama za kutaka kumuua Lissu na kuuwa watu wengine. Tatu akanushe ripoti ya CIA inayosema ni muuaji
Habari sijuwi za Lissu sijuwi Madudu gani hayo mnayajuwa wenyewe.lakini sisi watanzania tunamtambua Mheshimiwa Makonda kama Rais wetu mtarajiwa.
 
Kama wanaimani na makonda, why wait 2030, si ampishe tu 2025?
Mama amepewa nafasi na watanzania kumalizia kazi nzuri na njema katika muhula wake wa pili wakati Mheshimiwa Makonda akijiandaa kushika usukani wa nchi kuongoza Taifa letu.kwa hakika tujiandae kumpigia kura Mh Makonda
 
Habari sijuwi za Lissu sijuwi Madudu gani hayo mnayajuwa wenyewe.lakini sisi watanzania tunamtambua Mheshimiwa Makonda kama Rais wetu mtarajiwa.

Tunajua wengi ni watu wa upepo. Domo kubwa hamna kitu. Tatizo la wajinga jinga hamjui tatizo la Tanzania sio mtu ni mfumo. Watu wanakuja na kuondoka. Makonda alikuwa mpaka mkuu wa mkoa akaondoka. Magu kaondoka, Lowassa kuondoka piganieni mfumo mzuri badala ya kudanganya na watu kama Makonda. Makonda ndiyo anaonhoza kwa rushwa na unganyanyi mpaka leo anakesi na wahindi😂
 
Mnataka kumpa kichss nchi, kama yule kichaa mwingine aliedondoka
 
Aiseee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], just imagine makonda presidenga, Gwajima prime minister, Msukuma Makamu wa rais[emoji28], nchi itachezeshwa ndomboro ya solo
 
Kesi ipi aliyonayo na katika mahakama ipi? Inasikilizwa na jaji yupi? Mheshimiwa Makonda ni mtu safi.kiongozi mchapa kazi,jasiri na mzalendo wa kweli wa Taifa letu anayestahili kupewa nchi kuiongoza
 
Mbona 2030 mbali? Agombee 2025 wanyonge mnyongwe kabisa.
Hivi mtu unawezaje kuwaza Makonda kuwa rais. Hilo wazo limekuingia ukiwa umelewa pombe chafu au ukiwa chhooni?
 
Mbona 2030 mbali? Agombee 2025 wanyonge mnyongwe kabisa.
Hivi mtu unawezaje kuwaza Makonda kuwa rais. Hilo wazo limekuingia ukiwa umelewa pombe chafu au ukiwa chhooni?
Mheshimiwa Makonda ni Rais wetu mtarajiwa.uchapa kazi wake,ujasiri wake ,uzalendo wako,akili yake kubwa kiuongozi itakuwa chachu katika maei ya Taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…