Uswahili na Mswahili vilianzia Pwani, wengine wote mlidakia tu, unakuta mtu hujui kuongea lugha yako ya asili hata salamu kisa unaona ushamba, eti kuongea Kiswahili pekee yake ndio unajiona mjanja, kwa uzembe hutaki kujifunza lugha yoyote nyingine, ukisikia mtu anaongea kingereza unamuita mtumwa, akiongea lugha ya asili unamuita mshamba, halafu hata uandishi wenu wa Kiswahili huwa majanga.
Hamna kitu cha ovyo kwamba uwe una uandishi wa ovyo kwenye Kiswahili, halafu kingereza hukijui, lugha ya asili huijui, huna lugha hata moja uliyoimudu, unakua kama zombi.