Wacha kufanya makosa ya kuliita hili zwazwa mkikuyu. Ni heri likijiita lenyewe, maanake si msapere wala mkenya. Yeye ni yule yule, yaani karubandikaHizi zako ni stimu za copper, acha kununua sukari ya kwota kwota na nusu nusu kilo wewe mkikuyu.
Hahaha! 😀Wacha kufanya makosa ya kuliita hili zwazwa mkikuyu. Ni heri likijiita lenyewe, maanake si msapere wala mkenya. Yeye ni yule yule, yaani karubandika
Point of correction. Kiswahili kilikuwepo pwani ya africa mashariki miaka mingi kabla ya ukoloni. Mjerumani alikikuta na kukisambazwa nchi nzima kama lugha ya mawasiliano na wenyeji. Nyerere alikikuta Kiswahili kimeshasambaa nchini na kukitumia kutafuta uhuru nchi nzima. Tulipopata uhuru alikiendeleza kama kugha ya Taifa.Tuendelee kuanzia hapo.Our very Important ambition is to Brand Kiswahili to the Entire World,
It Started from Tz, Nyerere bolded the use of Kiswahili, and now You Kenyans, Ugandans, DRC, Zambia, Rwanda, Burundi, Mozambique are using Kiswahili,
Mark My Word, Kiswahili Kitakuwa Lugha namba Moja Africa Nzima.
Wakubali tu kutumia kiingereza mashuleni ila wasikubali kiswahili kififie alafu mwishowe kife kama mbwa koko.
Point of correction. Kiswahili kilikuwepo pwani ya africa mashariki miaka mingi kabla ya ukoloni. Mjerumani alikikuta na kukisambazwa nchi nzima kama lugha ya mawasiliano na wenyeji. Nyerere alikikuta Kiswahili kimeshasambaa nchini na kukitumia kutafuta uhuru nchi nzima. Tulipopata uhuru alikiendeleza kama kugha ya Taifa.Tuendelee kuanzia hapo.
Naona wanzuki ya leo haijatiwa maji mengi sana.Kiswahili kinathaminiwa Tanzania kwa sababu tu kinatumika Shuleni, kama kikifutwa itakuwa kama Kenya, Kenya Kiswahili ni lugha ya chokoraa, house boys gardener &Co.. lkn waliosoma au wanaojiona wamesoma hawatumii Kiswahili, kwa kifupi Kenya Kiswahili ni lugha ya utani na mzaha, demu wangu wa Kikenya nilivyomfahamu aligoma kuongea Kiswahili mpaka alipofika TZ ndo akajua kwamba kumbe Kiswahili ni Lugha ya heshima pia na leo hii anajivunia kuong
Mercury effectWacha utoto, punguza mercury kwa kichwa jombaa
Acha kudanganya watu wewe, watoto wotewa Kikwete wamesoma shule na Clio bus serikali.I totally agree with u% mimi ni mtanzania lakini na pinga kiswahili kutumika katika mfumo wa elimu wakati watoto wa viongoz wakubwa kama magufuli kikwetw na wengine wakisoma English medium school@ sisi watanzania wachini ni wapumbavu sana to accept swahili ad our medium language of instruction
Utaoa lini mkuu? Tunataka kuja kula pilau kwenye shereheKiswahili kinathaminiwa Tanzania kwa sababu tu kinatumika Shuleni, kama kikifutwa itakuwa kama Kenya, Kenya Kiswahili ni lugha ya chokoraa, house boys gardener &Co.. lkn waliosoma au wanaojiona wamesoma hawatumii Kiswahili, kwa kifupi Kenya Kiswahili ni lugha ya utani na mzaha, demu wangu wa Kikenya nilivyomfahamu aligoma kuongea Kiswahili mpaka alipofika TZ ndo akajua kwamba kumbe Kiswahili ni Lugha ya heshima pia na leo hii anajivunia kuongea Kiswahili na kuwaona Wakenya wenzake wajinga!
Kiswahili is native to Kenya and Tanzania. Kenya is a more popular country of the two countries and if you mention Swahili anywhere in the world, Kenya comes to mind, not Tanzania. And yes, some copy paste: The Swahili tribe is found along the coastal areas of Kenya, as well as Tanzania and Mozambique. They make up less than 1% of the total Kenyan population. Today, the largest populations of Swahili can be found in Zanzibar and Mombasa. So mtu kutoka Mwanza or Arusha kuja kuargue ati ni mswahili kushinda mtu kutoka Lamu ama Malindi ama Mombasa ni nonsense. Those three towns are more Swahili than 99% of TanzaniaHuu utani mwingine mpunguze jamani, eti kiswahili kinajukikana dumiani kwa kwajitihada za Wakenya, ni sawa kusema kifarana kinajulikana duniani kwa jitiada za wabelgiji au Kichina kinajulikana kwa jitihada za Taiwan. Kumbuka vitabu vingi vya kiswahili 60s na 70s Kenya vilikuwa vinatoka Tanzania bila kisahahu biblia takatifu.
Swahili was used in those countries waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaay before Nyerere came to Kenya. Its even native to coastal KenyaOur very Important ambition is to Brand Kiswahili to the Entire World,
It Started from Tz, Nyerere bolded the use of Kiswahili, and now You Kenyans, Ugandans, DRC, Zambia, Rwanda, Burundi, Mozambique are using Kiswahili,
Mark My Word, Kiswahili Kitakuwa Lugha namba Moja Africa Nzima.
Jaribu kutofautisha utamaduni wa waswahili na lugha ya kiswahili japo lugha ipo kwenye utamaduni ila kwa huku bongo karibia nchi nzima na makabila mengi hasa ya kibantu yamesaidia kwenye kukuza lugha ya kiswahili ndo maana hata mtu wa Mwanza au hata Arusha nae anaweza tu kua mswahili kwa huku mswahili sio kabila bali ni tamaduni na kwa hii nchi utamaduni wa mswahili haupo pwani tu umetapakaa karibia nchi nzima (kiswahili ni mchanganyiko wa lugha za kibantu na za watu wageni hivyo hivyo kwa utamaduni wa waswahili umechanganya tamaduni za kibantu na za wageni waliokuja ukanda huu uswahili sio kabila kama huko mnavyochukulia ndo mana huko mtu akisema mswahili tayari mshafikiria ni mtu wa pwani)Kiswahili is native to Kenya and Tanzania. Kenya is a more popular country of the two countries and if you mention Swahili anywhere in the world, Kenya comes to mind, not Tanzania. And yes, some copy paste: The Swahili tribe is found along the coastal areas of Kenya, as well as Tanzania and Mozambique. They make up less than 1% of the total Kenyan population. Today, the largest populations of Swahili can be found in Zanzibar and Mombasa. So mtu kutoka Mwanza or Arusha kuja kuargue ati ni mswahili kushinda mtu kutoka Lamu ama Malindi ama Mombasa ni nonsense. Those three towns are more Swahili than 99% of Tanzania
Sidhani kama kuna sababu yoyote ya kutumia nguvu kupingana na ukweli kwamba Nyerere ana mchango mkubwa sana katika kueneza na kukikuza kiswahili Tanzania. Kabla ya uhuru kiswahili kilikua kinazingumzwa zaidi katika ukanda wa pwani kama ilivyokua kwa Kenya, baada ya uhuru Nyerere aliweka juhudi za makusudi za kukikuza kiswahili nchi nzima Kwa kukifanya kuwa lugha ya kufindishia ktk shule za msingi jambo ambalo hadi leo Kenya haijalifanya, vipi Kenya inaweza kusema kiswahili ni lugha us Taifa wakati shughuli mbalimbali zote za serikali ikiwemo binge, mahakama, na karibu hotuba zote za viongozi hutolewa kwa kiingereza?Kiswahili is native to Kenya and Tanzania. Kenya is a more popular country of the two countries and if you mention Swahili anywhere in the world, Kenya comes to mind, not Tanzania. And yes, some copy paste: The Swahili tribe is found along the coastal areas of Kenya, as well as Tanzania and Mozambique. They make up less than 1% of the total Kenyan population. Today, the largest populations of Swahili can be found in Zanzibar and Mombasa. So mtu kutoka Mwanza or Arusha kuja kuargue ati ni mswahili kushinda mtu kutoka Lamu ama Malindi ama Mombasa ni nonsense. Those three towns are more Swahili than 99% of Tanzania
Jaribu kutofautisha utamaduni wa waswahili na lugha ya kiswahili japo lugha ipo kwenye utamaduni ila kwa huku bongo karibia nchi nzima na makabila mengi hasa ya kibantu yamesaidia kwenye kukuza lugha ya kiswahili ndo maana hata mtu wa Mwanza au hata Arusha nae anaweza tu kua mswahili kwa huku mswahili sio kabila bali ni tamaduni na kwa hii nchi utamaduni wa mswahili haupo pwani tu umetapakaa karibia nchi nzima (kiswahili ni mchanganyiko wa lugha za kibantu na za watu wageni hivyo hivyo kwa utamaduni wa waswahili umechanganya tamaduni za kibantu na za wageni waliokuja ukanda huu uswahili sio kabila kama huko mnavyochukulia ndo mana huko mtu akisema mswahili tayari mshafikiria ni mtu wa pwani)
Sisi ni WaTanzania na lugha yetu ya taifa ni Kiswahili hayo mengine yakuongezea kachumbari tuUswahili na Mswahili vilianzia Pwani, wengine wote mlidakia tu, unakuta mtu hujui kuongea lugha yako ya asili hata salamu kisa unaona ushamba, eti kuongea Kiswahili pekee yake ndio unajiona mjanja, kwa uzembe hutaki kujifunza lugha yoyote nyingine, ukisikia mtu anaongea kingereza unamuita mtumwa, akiongea lugha ya asili unamuita mshamba, halafu hata uandishi wenu wa Kiswahili huwa majanga.
Hamna kitu cha ovyo kwamba uwe una uandishi wa ovyo kwenye Kiswahili, halafu kingereza hukijui, lugha ya asili huijui, huna lugha hata moja uliyoimudu, unakua kama zombi.
Vile kunaenda, bora kusoma ki china ukiwa mkenya. Hata matangazo yako kwa lugha ya madarin
Halafu wakawaletea midude yao imeandikwa kichina teh haya nendeni pia mkasome kichinaBongolala shindeni hapo. Hawa wachina wenyewe wanaelewa kingereza sana. Wanafunzi huko uchina siku hizi wanafunzwa kingereza kuanzia darasa la tatu.
Our very Important ambition is to Brand Kiswahili to the Entire World,
It Started from Tz, Nyerere bolded the use of Kiswahili, and now You Kenyans, Ugandans, DRC, Zambia, Rwanda, Burundi, Mozambique are using Kiswahili,
Mark My Word, Kiswahili Kitakuwa Lugha namba Moja Africa Nzima.