Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

Bongolala shindeni hapo. Hawa wachina wenyewe wanaelewa kingereza sana. Wanafunzi huko uchina siku hizi wanafunzwa kingereza kuanzia darasa la tatu.
Go to rural nyeri or rural ukambani and ask one of the locals to speak english πŸ˜€ Its an embarassement for kalejin atheletes who bearly speak any english. Its a fallacy that kenyans know english.
The only place in kenya that I know you will find fluent english speakers irrespective of their financial/academic background is Kisumu/siaya
 
Halafu wakawaletea midude yao imeandikwa kichina teh haya nendeni pia mkasome kichina

Leta picha za hii midude ambazo zimeandikwa kichina pekee.
Imeandikwa kwa kichina na translation yake ya Kingereza/Kiswahili.
Hawa wachina ni kama wakenya tu, wanaongea lugha mbili.

Nyinyi hata hamuwezi pata kazi nje ya nchi.
 

English is the medium of communication in Kenyan schools. We don't expect the old people who barely went to school to speak it.
But every child or young adult today speaks english in Kenya.
The levels of fluency vary depending on the school and the resources availed to them. Many kalenjin atheletes are usually from poor rural schools.

But the truth is, if those kalenjin athletes came to Tanzania, they would be among the best English speakers in the country.

All in all 90% of Kenya's working class can communicate in perfectly understandable English. Huko Tanzania the number is 0.1%.
 

The only place you'll find Tanzanians speaking English ni hapa JF. Na bado kimeharibika.
 
You are talking about retirees and cofee farmers like you. Not this current upcoming generation. I wish there was more input and effort to improve swahili and how it is used. Personally, I prefer swahili!
 

Wajinga ndio waliwao. Hizo China na Japan unataja zina wengi sana wanaoongea kingereza.
Wewe ukiskia kingereza unaona tu England ambayo umesema iko 10,764 kilomita mbali. Huoni hizo nchi za karibu, kama Zimbabwe, Botswana, South Africa etc.
 
Naunga mkono hoja mitaala yote ya elimu iandikwe kwa lugha ya kiswahili, kiingereza kibaki kuwa somo kama somo lingine tu,la sivyo Kama hawabadilishi watangaze Taifa letu liwe kiingereza ndo lugha ya Taifa,
 
Actually debate inayoendelea hapa Tanzania ni kwamba hata university tutumie kiswahili badala ya English. Be informed that we have our own language, we don't need foreign language to dominate our lives. Kenya is a confused country, huku mnasema Kiswahili ndiyo lugha ya taifa lakini shughuli zote za kitaifa zinafanyika kwa kiingereza, nini maana ya lugha ya taifa?, ni sawa na kusema pesa ya Kenya ni KS lakini matumizi nchini Kenya yafanyike kwa kutumia USD, does it make sense?
 
Kuuliza sio ujinga jombaa. Kiswahili Kenya kinatumika bungeni, na ofisi zote za serikali. Kuna wabunge ambao hawajawahi wasilisha hoja kwa lugha nyingine isipokuwa kiswahili. Ni mara ngapi umemsikia rais Uhuru akisoma hotuba kwa kiswahili kwanza kwa alafu kiingereza baadaye?
 

Hapa mkuu umenena tunanunua magari zile manual zipo kijapan tunabaki kushangaa Picha tu. Alafu atuna product tunayopeleka ili tuweze kutangaza swahili language...
 
You are talking about retirees and cofee farmers like you. Not this current upcoming generation. I wish there was more input and effort to improve swahili and how it is used. Personally, I prefer swahili!
Are atheletes Retirees? Have you seen them speak "english" with international media? Its an embarassment πŸ˜€
 

Jenga hoja acha hisia.
Haya twende taratiibu. Nini maana ya lugha? Lingine umesema waTanzania hakuna lugha tunayoijua (Katika zile lugha tatu). Najua hapo huna ushahidi. Nakushauri kasome kitabu cha Martha Qorro "the Myth of English vs education".
Also "the language of instruction in Tanzania and South Africa".
Hususan hicho cha Kwanza, Vinaonesha jinsi Tanzania ilivyokikuza kiswahili nchi mzima. Hivi kwamba watu wa nchi hii wanajifaidi (natumia neno la kiswahili cha Kenya, lkn kiswahili standard ni kufaidika) na lugha hii kwa kuleta umoja licha ya kuwa na makabila mengi na ukubwa wa nchi. Inaendelea kusema kiswahili kimekua na kukita mizizi, hivi KWAMBA karibu WANANCHI wote wanaongea kiswahili kwa ufasaha. Hivi kwa mkazi wa eneo lolote la nchi anaweza akaishi popote katika NCHI hii. Hata kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanapiga kampeni kwa uhuru mkubwa bila KUWA NA mipaka ya lugha. Tofauti na nchi zingine kama Msumbiji, Uganda na hata Kenya WANANCHI hawajafunganishwa na lugha moja. Mfano katika NCHI hizo nilizozisema wanasiasa wanahitaji kuwa na mkalimani kipindi cha kampeni wakienda maeneo AMBAYO hawajui lugha ya mkoloni au lugha nyingine inayoongewa na watu wengi. Mfano mwaka jana rais Uhuru Kenyatta alivyoenda kwenye kampeni kajiado, ILIBIDI amtumie Edward Lowassa amsaidie kampeni, maana alitumia lugha ambayo inagusa mioyo ya wapiga kura ili awashawishi. Vivyo hivyo rais Nyusi naye alitumia wakalimani maeneo AMBAYO walikuwa hawaongei kireno. Hilo linakufanya kuwa mgeni ndani ya NCHI yako.
Hitimisho, kwa hatua ilivyofikia sasa, JINSI kiswahili kilivyokita mizizi. Ni dhahili shahili kiswahili kitumike kwa masomo yote na ngazi zote.
Pia nimefurahi pia kusikia kamisheni ya kiswahili ya Afrika Mashariki, AMBAYO makao makuu yake yapo ZANZIBAR, iko kwenye mkakati wa kuhakikisha kiswahili kinapewa UZITO unaostahili. Muitikio ni mzuri sana. Sudan ya Kusini inafikiria kuanzisha mitaala ya kufundishia kiswahili katika shule za msingi. Kiswahili kinasonga MBELE.
 
Are atheletes Retirees? Have you seen them speak "english" with international media? Its an embarassment πŸ˜€
Embarrassment? So now you think english is the sh#t? After bashing Kenyans for speaking about Tanzanians and their english? I have this feeling that you are a very confused fellow. Free advice, just be yourself, there are no socialites on Jf. F.Y.I. I likened you to coffee farmers because your english is always in the I.C.U.
 

Hapa Kenya, Kiswahili ni lugha ya taifa. 99% ya biashara zote reja reja, pamoja na day to day conversation huwa kiswahili.
Kingereza ni lugha ya ofisi.
Jifunze kutofautisha.

Kama vile USD ni pesa ya kimataifa. Kenya tunatumia shilingi yetu, lakini biashara ikilazimisha, tunatumia dola.

Nyinyi bongolala mtaishi tu hivo. Lakini ukweli ni kwamba waliojiweza kati yenu wameleta watoto wao wasomee Kenya, ama kuwapeleka shule za kimataifa huko Tanzania.
 
Are atheletes Retirees? Have you seen them speak "english" with international media? Its an embarassment πŸ˜€

Toa ujinga. These athletes you're talking about are interviewed and later quoted by international media.
Meaning what they said was understood. That's the point of communication.

And there is only one video of a Kenyan athlete who was completely unable to express himself in English. This is the one which went viral.
All the others actually speak very good and comprehensible English. Their interviews are all over Youtube you can go check.
 

Nmesema uandishi wenu wa Kiswahili huwa majanga, soma mada nyingi humu jinsi wengi huwa mnaandika, halafu zingatia kwamba huyo mwandishi ni Mtanzania wa kawaida ambaye sote tunafahamu hajui kuongea lugha yake ya asili na pia Kingereza hakijui. Ni jambo la maana na muhimu kuhakikisha upo vizuri kwa walau lugha mbili, sio uwe mbumbumbu uliyefungiwa ndani ya lugha moja.

Halafu hapo umesema Kenya, nafikiri ulidanganywa, labda ukute mzee wa zamani sana kijijini ndiye hajui Kiswahili, lakini wengi wanakijua ila pia wanaenzi lugha zao za asili. Ukiona rais amekwenda sehemu na kumtumia mtu wa pale kuzungumza nao, sio kwamba hawatamuelewa akiongea Kiswahili, lakini utakuta huyo anayetumiwa anayo umaarufu fulani kwa watu wa pale, na pia akiongea nao kwa lugha yao ya asili wanapata ushawishi mkubwa.

Lugha ni muhimu katika kuunganisha watu, na ndio maana kingereza kimesaidia pakubwa duniani katika mawasiliano ya kibiashara baina ya watu wa kutokea asilia tofauti. Kipindi fulani nilikua na mradi hapo Tanzania ambapo timu yetu ilikua na wahandisi Wachina, Wamarekani, Mnigeria, Watanzania na Wahindi lakini tuliwasiliana kikazi kwa kutumia Kingereza, kilituleta pamoja.
Sasa leo mkijifanya wajuaji eti mnaogopa Kingereza kisa kinawashinda, hadi viongozi wenu wanaogopa kutoka na kusingizia matumizi, mtaendelea kubaki nyuma kwenye umaskini licha ya nchi yenu kuwa na kila kitu, mnajikuta madini kama Tanzanite hayahusishwi na Tanzania hata mkiweka ukuta unaofika binguni.
 
I told you am a mathematician not an english teacher. This is JF where 90% of my audience understand my "every broken" english I write. They have not complained so am pretty much ok.
PS: The only Coffee farmers left in kenya are wealthy ranch owners with hectares of land. The small scale farmers uprooted their coffee along time ago,But thanks for the observation πŸ˜€
 
Your audience. Ooookey psycho. Maybe they uprooted coffee in the village in your head. Small scale coffee farms and co-operatives are still the biggest producers of coffee in Kenya. Try pulling another better 'fact' out of your ass. How comes your Swahili is even worse than your english. Are you from Bunjumbura?
 
Last edited:
You are angry I busted your fake theory that kenyans know english while their star athletes blubber broken "kale english" Not withstanding the fact that these athletes are the cream of their villages with access to education and wealthy learned friends as companions. What of the less privillaged villagers? how is their english πŸ˜€
Kula aibu yako. Stop bending away from the topic
 
I am not the one who said Kenyans speak better English than everyone else. Neither did I mention athletes anywhere. Take a deep breath, arrange your thoughts in a coherent manner, search for whoever you want to quote and come back afresh. Cool?
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…