Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

Kalenjin runners mostly come from primitive and village backgrounds, some drop out of school at primary level once they discover they are talented in athletics, and it fetches good money! I grew up in Eldoret, a cosmopolitan town than even Kisumu, their hometown, however the kalenjins who live in Eldoret estates and its surrounding and they are eloquent in sheng, English and somehow Swahili. Kales love their villages and farming than staying in cities, you can't easily spot a kale in a slum, it's rare, heri abaki mashinani, and mostly they are rich though they hardly look like it. Down to earth people. The reason their speech is heavily influenced by mother tongue is their love of village life and farming.
 


Yaani unataka kuaminisha umma kuwa uandishi wa kiswahili Tanzania ni majanga!!!??
Unaweza kutaja nchi ambayo inaandika nakala za magazeti ya kiswahili kwa ufasaha na usanifu kama Tanzania. Ukweli ni kuwa Tanzania ni gwiji la kiswahili duniani kama vile Uingereza ilivyo gwiji la kiingereza duniani. Ni ukweli usiopingika ya kuwa Tanzania ni kinara wa Kiswahili duniani, maana tunakienzi, kukidumisha na kukieneza. Nchi nzima kiswahli kinazungumzwa kwa ufasaha licha ya tofauti za kikabila.

Kuhusu watu wengi kujua kiswahili na kiingereza kwa ufasaha siyo kweli, maana kuna watu wa maeneo ya Pokot na Turkana wanajua kiswahili kwa mbali sana. Pia wengi wao ndiyo hawajui kiingereza kabisa. Kwa ujumla wakenya walio wengi huongea kiswahili kisicho fasaha. Pwani/Mombasa ndiyo wanaongea lugha fasaha (asweet swahili kama wenzao wa Zanzibar na Tanga).

Na pia kuamini kuwa kiingereza ni lugha pekee inayounganisha dunia ni ushamba na kukosa exposure. Kuna nchi kubwa kubwa sana zilizoendelea ambazo kiingereza kinatumika kwa nadra sana. Nimeishi sana tu nchi za continental europe na scandinavia, hakuna watu ambao utakuta wanaongea kiingereza, hata ukienda na card yako ya VISA au MAESTRO utakutana na ATM mashine ambayo hakuna option ya kiingereza, ni kijerumani/ kidachi kwa kwenda mbele. Hata metro, subways, kila kitu kiko kwa lugha yao. Jaribu kutoka hapo kwenu Nairobi uone wengine wanavyoishi. Ukiwa hujawahi toka nje ya nairobi, hata pia nje ya Anglofone, utaona every person is smelling english.
 
Inapendeza kuona kuna watu wanajua na kuukiri ukweli wa kihistoria kuhusu lugha adhimu ya Kiswahili. Ulishawahi kujiuliza kwa nini huko Uganda Kiswahili ndio lugha rasmi ya jeshi tangu enzi za Field Marshal, Dr., Emperor of the British Empire, His Excellency Iddi Amini Dada pamoja na kuwa hakizungumzwi na wananchi wengi? Je wajua kuwa Comorro (Ngazija) wanaongea Kiswahili? Ukijua hayo utafahamu kuwa Kiswahili siyo lugha ya juzi juzi hapa.
 
Hahaha wakenya wanasema nao wanaongea kiswahili......semeni tu watu wa pwani ya kenya ndo wanaongea kiswahili hao wengine waliobaki wanaongea ugoro tu maana mtu kitu anachoongea kachanganya na lugha ya mkoloni hapohapo kuna lugha ya mama yake halaf kdg ndo wanaweka vineno vya kiswahili halafu wanasema wanaongea kiswahili hahahaha
 
Boss am not asking if kalenjins are humble or not.Am saying the majority that live in rural areas cant speak any fluent english and I gave an example of atheles who hail from villages. Dont take it personaly if you are a kale, my village in murang'a is worse
 

Umetumia maneno mengi kueleza kitu kidogo sana, na humo ndani umenilisha maneno.
Kwanza kabisa uandishi wa Kiswahili haupimwi kwenye magazeti maana yanahaririwa, nazungumza kuhusu uandishi wa wengi wenu kwenye shughuli za kawaida hata huku kwenye mitandao, au hata barua za kawaida tu na jumbe zingine.

Halafu kwetu hakuna asiyezungmza Kiswahili, labda mababu wa enzi zilee vijijini, wewe hapo labda unawakatalia kwa kupima wanavyo ongea kwa lafudhi/accent zao, mtu kuongea Kiswahili au Kingereza kwa lafudhi ya asilia yake sio kipimo tosha kwamba hajui hiyo lugha husika. Hili lipo hata kwa Warusi au Wajerumani wakati wanaongea Kingereza, lazima utamskia akiongea kwa kingereza kizuri lakini kwa lafudhi ya kwao. Hata Watanzania ukiwaskia Kingereza huwa wanachomekea ZE ZE ZE nyingi.

Hapo nilisema Kingereza kinaunganisha dunia sikumaanisha ndicho kinatumika kwenye kila nchi, bali ndicho kinawezesha mazungumzo baina ya watu wa matabaka mbali mbali, nikakupa mfano hapo Bongo nilikua na mradi uliowahusu Wamarekani, Mnigera, Wachina, Wahindi, Watanzania hata jamaa kutokea Mauritius na Wasouth-Afrika Kusini lakini hatukutumia Kifaransa wala Kijerumani au Kiswahili ila Kingereza kilituleta pamoja.

Hao Waturuki wanaowafungia reli hamuwasiliani nao kwa Kituruki au Kiswahili ila Kingereza, hata Wachina wanaochimba gesi, wote hamna jinsi ila Kingereza. Kwa hivyo kwako wewe kuwahadaa Watanzania wenzako wakomae na Kiswahili bila kujifunza Kingereza ni kwa manufaa yako binafsi lakini sio hiyo zuga ya uzalendo.
 
Waturuki hapa wanazungumza kituruki na kuna watanzania wanaojua kituriki wanatafsiri kutoka kituruki kwenda kiswahili na kwa wachina ni hivyo hivyo. Kwa kifupi Tanzania haikipi kipaumbele kiingereza Kama ifanyavyo Kenya. Kwa wakenya English ni alama ya high status, education, and civilization not just a language
 
aki maisha yangu yote humu JF najua wewe ni ke!
 
Wajinga ndio waliwao. Hizo China na Japan unataja zina wengi sana wanaoongea kingereza.
Wewe ukiskia kingereza unaona tu England ambayo umesema iko 10,764 kilomita mbali. Huoni hizo nchi za karibu, kama Zimbabwe, Botswana, South Africa etc.


Mjinga mwingine ni huyu hapa kennedy0000, nimeenda China kuchukua Masters miaka ya 90 mwanzoni, pale shuleni wachina wengi walikuwa hawajuwi kiingereza na kuniomba niwasaidie papers (corrections). Nilipomaliza nikaenda Japan mafunzoni miezi 6, huko wajapan wengi kiingereza ni zero, sasa unabisha nini hapa? Hao uliowataja, Zimbabwe, Botswana, South Africa au hata Kenya wanaongea Kiingereza kwa sababu ya ukabila nchini mwao. Kiingereza ndicho kinachowaunganisha wao, Kumbuka pia, kujuwa kiingereza si kuwa na akili. Unafahamu hili? Kwa kifupi, hatuhitaji Kiingereza.
 

Hao Wachina walikua wanakuomba msaada uwasaidie papers kwa kingereza, au walitumia Kiswahili au Kichina kuwasiliana na wewe.
Kingereza hakileti ukabila, nenda uje upya, Somalia wanauana na kubaguana ilhali dini moja, lugha moja...
 
Hao Wachina walikua wanakuomba msaada uwasaidie papers kwa kingereza, au walitumia Kiswahili au Kichina kuwasiliana na wewe.
Kingereza hakileti ukabila, nenda uje upya, Somalia wanauana na kubaguana ilhali dini moja, lugha moja...


Wachina walitaka kusahihishiwa papers zao kwani kiingereza chao ni cha ngumbaru. Wasomali wanauana ni kwa sababu wanaishi na kujitawala kikoo zaidi, kila koo inajitawala kivyake. Naone wewe unahitaji kurudi shule kwani bado uelewi unaongea nini kwani hata mfano unaotoa ni wa kipuuzi.
 

Kwamba Wachina walitaka usahihishe paper zao, na wakatumia kingereza cha ngumbaru kuongea na wewe ni dhihirisho tosha umuhimu wa hii lugha, hawakutumia Kichina chao, hawakutumia Kiswahili chako, ila kingereza kilikuunganisha na Wachina. Kwa kifupi mkiendelea kuogopa kingereza na kujifungia ndani, mtaendelea kubaki nyuma wenzenu wakipaa, halafu cha ajabu Watanzania wenye hela walishajishtukia na wamejaza watoto wao kwenye shule zinazofundisha kwa kingereza, walalahoi ndio bado mumeganda mitaani.

Mfano wa Somalia nilikupa ufahamu kwamba ubaguzi unaweza kuwa wa aina nyingi na sio lugha tu, nchi inaweza kutumia lugha moja lakini watu wakabaguana humo humo. Ni kama hata hapo Tanzania huwa mna ubaguzi wa kidini na kiukanda japo kimya kimya.
 
Hapa mkuu umenena tunanunua magari zile manual zipo kijapan tunabaki kushangaa Picha tu. Alafu atuna product tunayopeleka ili tuweze kutangaza swahili language...
Wekeni hizo lugha kwenye mitaala yenu, tatizo watu wengi wameshindwa kumuelewa mleta mada, hapa tatizo lugha ya Taifa hata Kama kingekuwa kikwere ndo kiwe mwongozo wa mitaa kitaifa...
 

Sawa mkuu. Shinda hapo na ubongolala wako.
Most young people in these countries speak English, or are learning to.
It is not uncommon to find even train signs in Japan's major cities written in both Japanese and English. Airports the same.
You'll even be very unlucky to find a hotel menu in Japan that doesn't have English translation.

China too is taking the same route. Even in the Russia World Cup, every single announcement, sign or communication was in both Russian and English.

Every single country in the Europe makes it compulsory for schools to teach a second language. English is the chosen 99% of the time.
In short, bongolala is the only country that hasn't smelled the coffee.
Mtaishi mkisema Kenya ni wabaya, kumbe ni ujinga wenu. Not a single multinational can dare open their hq in Tanzania because there will be no communication.
 
mental disease ya waafrika mojawapo ni wewe unaweza kujua english ndio kutoka kimaisha . huo upumbavu unao ongea ndio unao tufanya waafrika tuendelee kuonekana vilaza kwenye western world . unafikiri wewe uko karibu na uk kuliko france ama germany au unaongea english ili upate msaada
 

This is 2018.
Unaona kuongea kingereza ni 'mental slavery', lakini hapa uko umevaa nguo za wazungu.
Unatumia simu za wazungu. Mtandao umetoka kwa wazungu. 99% ya maisha yako yote inazunguka kwa innovations za wazungu.

Kinachokufanya uchukie kingereza sana si 'mental slavery', ilhali ni uzembe na ujinga.

Kama unataka kubaki na Uafrika, basi toa hizo nguo ulizovaa, nenda uishi mashimoni. Bongolala.
 
Umehama mada ndo tatizo letu Waafrika....tatizo utamaduni au tatizo mawasiliano, aliyekwambia mtu haitaki lugha ya kiingereza Nani, wanasema kiingereza kibaki Kama somo Kama yalivyo masomo mengine, Haiwezekani lugha ya Taifa Ni kiswahili darasa la kwanza mpaka Saba unasoma kwa lugha ya Taifa, mwisho wa siku sec unaenda kukuta masomo yamebadilika lugha na kuwa kiingereza kweli UTAELEWA kilichoandikwa, basi afadhali watangaze lugha ya Taifa Ni kiingereza Kama ndo hivyo.....
 
Wanzungu ndio kina nani? French,Germans,Italians,Swiss,Israel,russians etc hawatumii kiingereza na hata shule zao za msingi hawafundishi.Ukiwa mjerumani unaenda language school kusoma kiigereza vile tu unaenda language school kusoma kifaransa ama spanish
 

Hizo nchi zote umetaja zinafunza Kingereza as a second language. Actually kwa shule za EU, it is compulsory.
Huko Israel, like 80% speak English. And it is very good English for that matter.
 
inferior complex huwezi kuelewa kwani lazima tuwe sawa na nyie kwani nini maana ya kenya au tanzania au nini maana ya family sio lazima tuwe sawa na nyie tanzania ni nchi nyingine ishini kwa mitaala yenu nasi tunafata kanuni zetu . kwani ukiongea kingereza utaonekana superior wewe kwa mzungu utaendelea kuonekana tu warlord na mental kwenye civilization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…