Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza



Punguza hisia katika kujenga hoja kama hizi. Ebu jaribu kutumia vizuri uwezo wako wa kufikiri.
Hivi Uzungumzaji na uandishi wa kiswahili wa mwananchi wa kawaida wa Tanzania unaweza kulinganisha na ncgi yoyote katika ukanda huu au hata Afrika na dunia kwa ujumla? Unadiriki kusema majanga wakati Kenya ambao ni moja ya lugha yao ya taifa wanaongea na kuandika kiswahili kibovu sijapata kuona. Ukweli ni kuwa licha ya mapungufu yaliyopo kwenye uandishi na uongeaji wa kiswahili, Tanzania niyo mfadhili na mmiliki wa lugha adhimu ya kiswahili.
 

Dont be myopic brother, you still believe the knowledge, civilization and everything are hiden in english language. One can not access them if is not an english speaker. Mungu tusaidie tutoke kwenye utumwa wa akili.
 
You're insane, ati those three towns are more swahili than 99% of Tz, i repeat, you are insane. If not, back up your claim like a sane guy
 
Leta picha za hii midude ambazo zimeandikwa kichina pekee.
Imeandikwa kwa kichina na translation yake ya Kingereza/Kiswahili.
Hawa wachina ni kama wakenya tu, wanaongea lugha mbili.

Nyinyi hata hamuwezi pata kazi nje ya nchi.
Nje ya nchi kufanya nn pumbavu
 


You nailed it my broda. Mtu ambaye hana exposure kama MK254 hawezi kukuelewa unamaanisha nini. Simlaumu, kwa maana hata mimi mwenyewe nilivyokuwa sijatoka nje ya bara hili, nilifikiri maisha hayawezekeni bila kiingereza. lakini nilivyofika continental europe, scandinavia, south america, asia nikagundua kuwa there is a life outside english. Nikakuta watu wa meeneo hayo wanaendelea na maisha yao kama kawaida kabisa. unaenda kwenye metro ni lugha yao, unaenda kwenye subway ni lugha yao hata kwenye machine za kutolea pesa bado nakuta ni lugha yao, hukuti hata bango moja limeandikwa kwa kiingereza. I wish huyu jamaa atembelee maeneo hayo ili aondokane na kufungwa kiakili kwamba huwezi fanya lolote bila kiingereza.
 
Wajinga ndio waliwao. Hizo China na Japan unataja zina wengi sana wanaoongea kingereza.
Wewe ukiskia kingereza unaona tu England ambayo umesema iko 10,764 kilomita mbali. Huoni hizo nchi za karibu, kama Zimbabwe, Botswana, South Africa etc.
Sasa zimbabwe, botswana kenya mna nn cha ziada kutushinda. Nothing exceptional. Y'all are just poor english speaking people.
 
Watu wanaoleta watoto wao kenya wanazidi kupungua budaboss, enzi hizo zinaisha, viceversa is booming.
 
Umesahau na ushuzi unaitwa sheng
 
Umesahau na ushuzi unaitwa sheng
Ndo huohuo halafu wanasema wanaongea kiswahili.......kiswahili hawajui kiingereza chenyewe sio wote wanajua lugha yao ya taifa labda hizo lugha zao za asili
 

Mmngekua proud na uafrika, mngeanza kwa kukumbatia lugha zenu za asili, lakini wengi wenu hamjui hata salamu kwa lugha zenu. Mnaita ushamba, ukweli wa mambo kingereza kimewashinda na ndio maana mumekiogopa.

Hao Wachina uliokua nao wakiandika thesis in English maana wanatambua umuhimu wake, mamilioni ya Wachina, Wakorea, Warusi, Wahindi n.k. dunia hii wapo mbioni kujifunza kingereza, wewe maskini mswahili hutaki kujiboresha unadanganywa na wakuu wa kwenu ukomae na lugha moja ilhali watoto wao wanatumia kingereza balaa na kunyakua fursa zinazokihitaji.

Leo hii ukienda Urusi, Uchina au hata India inabidi mpatane nao kwa matumizi ya kingereza, sawa wao kwa wao wanatumia lugha zao, lakini ili mpatane au wawasialiane na wageni, kingereza kinatumika sana.

Mngekua mumejisimamia kiviwanda labda ningeelewa hilo la kukomalia lugha moja, lakini hadi chupi na nguo za ndani na sindano vyote mnaagiza, halafu kiuzembe hamtaki kujifunza lugha za hao mnaagiza kutoka kwao, mnaishia maisha ya tabu sana maana vitu vyote vinakuja vimeandikwa kwa lugha yao. Na ndio maana huwa mnaliwa sana kwenye raslimali za nchi, mikataba imeandikwa kwa kingereza, tena zenye kurasa nyingi sana na mlivyo wavivu wa kusoma hadi huruma....

Nimekuambia na narudia tena, Somalia nimeitaja kama mfano kwako kwamba ubaguzi unaweza kuja kwa kutumia vyanzo vingine nje ya lugha. Watu wanaweza kutumia lugha moja lakini wakabaguana na kupigana kwa misingi ya kiukoo, rangi ya ngozi n.k. Somalia sio vita vya madaraka tuu, kuna koo hazioani kabisa, na huajiriwi kwenye hoteli zinazomilikiwa na mtu wa ukoo fulani kisa ukoo wako huwa hauendani na ukoo wake. Kama hujaelewa hapo basi sitoweza kukusaidia.
 
English era is coming to its end, usa states kama california sasa hivi spanish is taking over, eu ushapewa data na mkikuyu za 2016, its lower now in 2018. Only mental slaves like you and your kinds think english is still superior
 
Nenda hata kwa comment section ya miziki ya bongo, utakuta wenyewe wanasema watz wana kiswahili sanifu.
Huyu mbulula inakaa hujamzoea, hawezi punguza hisia kwenye mada kama hizi.
Unatwanga maji kwenye kinu hapo mkuu.
 
Huyu kafika Tz tu, ndio exposure alonayo.
 

Wacha kujificha kwenye mambo ya hisia, hapa tunaambizana ukweli.
Nilichokua nasema na narudia, nyie mumefungwa kwenye lugha moja ambayo wengi wengi hamjaimudu kiuandishi, hivyo mnakua kama mateka fulani hivi, maana huwa kama mumechanganyikiwa vile, mnaazisha mtoto wa saint Kayumba kwa Kiswahili kwenye elimu ya msingi, halafu kisha mnakuja kumchanganya na Kingereza pale anapojiunga na shule ya upili.

Sisi Kiswahili ni lugha yetu ya taifa, lakini pia tumetambua hakiwezi kukidhi kila kitu maana bado sana kwenye uboreshwaji wake, hauwezi kukilinganisha kwa mfano na Kichina ambacho kimetumika kiviwanda mamia ya miaka iliyopita. Hivyo tumekumbatia na kutumia Kingereza maana dunia yote sasa hivi ujanja wa kutumia lugha za kimataifa unakuwezesha kwenye mambo mengi.

Lakini zaidi ya yote, sisi hatujatelekeza lugha zetu za asili, mimi hapa naongea Kikikuyu tena kwa ufasaha, naimba nyimbo zetu za kitamaduni, na pia nimejifunza lugha zingine zetu kama vile Kiluhya, Kikamba na pia Kijaluo japo kidogo. Hata hivyo kila siku napambana kuboresha uwezo wangu wa kuongea na kuandika Kingereza na Kiswahili maana nazitumia kibiashara. Kuna kipindi nilikua nimeanza kujifunza Kifaransa ila nikakosa watu wa kunisaidia kufanya mazoezi.
 
wako wanasema amna vitabu vya elimu ya juu ya vya kiswahili lakini vipo vitabu vingi sana vya kiswahili vya sayansi na ni vya elimu ya juu ila wengi wa 254 wanadhani mjadara huu ni kwaajiri ya kuweka tabaka la tajiri na masikini lakini awajui asimia kubwa ya watanzania wanasoma lugha tofauti na hata kichina wanachosema wao 254 wanaongea hata uku ni hivyo hivyo kama uku akina wingi wa watumiaji

labda niwaambie majirani zetu kwa sasa tupo katika mikakati mikubwa ya maendeleo na hata kayumba wakitumia kiswahili bado uchumi unawaruhusu kimaendeleo maana watumiaji wa lugha ni wengi duniani

majirani msitukwamishe sisi atutaki kugeuka jiwe
 
Kiswahili ndo lugha yetu ya asili sisi kama Taifa asili yetu ndio hio
 
English era is coming to its end, usa states kama california sasa hivi spanish is taking over, eu ushapewa data na mkikuyu za 2016, its lower now in 2018. Only mental slaves like you and your kinds think english is still superior

So English is coming to an end, paving way for the world to embrace Kiswahili. Mshenzi wewe.
And if you want to prove you're not a mental slave, remove those western clothes you're wearing and wear what African used to wear.
 
Watu wanaoleta watoto wao kenya wanazidi kupungua budaboss, enzi hizo zinaisha, viceversa is booming.

Sasa wanapeleka watoto wao international schools huko Tanzania ili wafunzwe kingereza.
Nyinyi wa saint kayumba mbaki tu bongolala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…