Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Lakini kwa majungu hamjambo!Acha kutusunguzia mkuu, kama umegombania demu na huyo jamaa usitujumuishe wotee.
Hapana ni huyo huyo uliyogombana nae wewe tuu, sie ulevi wetu ni kusikiliza mziki na mbususu kwa mbaaaliii hivi.Lakini kwa majungu hamjambo!
Itakuwa jamaa amekataa kuzungusha round, kisa yeye hatumii.Wengi ni watu wasiojiamini.
Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu.
Wanaamini sana uchawi na ushirikina.
Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini.
Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini.
Hawafai kabisa
Naona walevi mnafarijiana.Wengi ni watu wasiojiamini.
Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu.
Wanaamini sana uchawi na ushirikina.
Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini.
Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini.
Hawafai kabisa
Hii ni tabai ya Walevi welio wengi, hata kama ulevi humpelekea kuishi vibaya, Ukimshauri akiwa hajanywa, atakuaukiliza tena kuitikia unayomshauri.Lakini kwa majungu hamjambo!
uwezo wa kufikiria sababu ya kilaji!?? damn, kama huna huna tuHela zao zinaishia kwa waganga..! Uchawi hauendi kwa mlevi..sasa mwili upo upo tu haujawahi hata kuumwagilia moyo unategemea nini? Tafiti zinaonesha wanaotumia vilevi huwa na uwezo mkubwa sana wa kufikiria..🤣