Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

Lakini kwa majungu hamjambo!
Mmmh sio nyie kwa majungu ndio hamjambo? Maana kazini huwa hakuna pombe ni kazi kwa kwenda mbele labda kama uwe manager wa bar au mhudumu, sasa nyie mpaka mnapata muda wa kufuatilia nani anaekunywa pombe na nani hanywi (hii sasa ndio majungu)
 
Kumbuka nimeandika kuhusu walevi wa pombe, siyo wanywaji.

[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Wengi ni watu wasiojiamini.

Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu.

Wanaamini sana uchawi na ushirikina.

Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini.

Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini.

Hawafai kabisa
Nyie wanywa pombe mkiangusha magari laiti mngejua mnayofanywa watu washahama mitaa na mikoa kisa Pombe hlf unishauri ninywe !!

Pole Ssnaaaaaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mimi ninachoshangaa watanzania wengi tunadhani pombe ndo starehe pekee.
Halafu mimi nashangaa hawa walevi kutwa kujishtukia utafikiri wanaoga nje!
 
Wengi ni watu wasiojiamini.

Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu.

Wanaamini sana uchawi na ushirikina.

Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini.

Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini.

Hawafai kabisa
Akikuona unakunywa bia anaanza kukupigia hesabu za bia kwa siku, kwa mwezi,kwa mwaka!!!!Eti huyu jamaa anakunywa nyumba kwa mwaka wakati yeye mnywa soda huyo ni mwaka wa kumi hata kiwanja hana sijui anazotunza zinapotelea wapi,wana fitina sana washenzi hawa

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Sawa mlevi tumekusikia,we endelea tu kunywa,sisi hata hatuna mpango na wewe,tunakushangaa to povu linavyokutoka,hiyo ni dalili kubwa ya kwamba pombe zimeshaanza kukudhuru....
 
Wengi ni watu wasiojiamini.

Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu.

Wanaamini sana uchawi na ushirikina.

Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini.

Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini.

Hawafai kabisa
Kuna jamaa tupo nae kitaa anakunywa pombe mpk haoni mbele,mke wake analiwa tu ovyo.

Hatari sana
 
Wengi ni watu wasiojiamini.

Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu.

Wanaamini sana uchawi na ushirikina.

Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini.

Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini.

Hawafai kabisa
Unajua origin ya mchawa ni kwenye Pombe je uchawa sio unafiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…