GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni mimi kula ugali, maharage na dagaa wangu, kuwa na kipato cha kawaida kikibahatisha kuwepo, amani yangu ya moyo, kula bata kama zikinitembelea na kumuabudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii zawadi yake tukuka ya huu uhai wangu.
Kwa nchi za Afrika, watawala wake na uongozi wake ukijifanya kuwa mwanaharakati na kiherehere (Waganda wanasema Lugezigezi) ili utafute sifa kwa watu jua unakitafuta kifo au kifungo au usumbufu na ukikamatwa jua hilo ni lako na familia yako na hata koo zako zote mbili.
Imeisha hiyo!