Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

Mentality ya namna hii ingetumika watu weusi kule South Africa wangeendelea kubaki na hadhi ya kuwa mbwa tu.
 
Acha kutupanga hapo kazini kwa tabia hiyo ungekuwa ushatimuliwa
Labda kama hajaajiriwa au ni hajui taratibu za ajira na mambo ya makesi kesi, hawa ni wale wana harakati wa kujaza upepo wengine kwenye social networks wamenyoosha miguu mezani sebleni kwao
 
Mentality ya namna hii ingetumika watu weusi kule South Africa wangeendelea kubaki na hadhi ya kuwa mbwa tu.
Wewe anaeweza kupigana ni mwenye njaa na anaetumikishwa,Sasa hayo Yako Kwa Watanzania wapi?
 
Nimekaa lupango zaidi ya safari 4, nadhani Nina Hilo tatizo la kutokuvumilia ujinga. Hata kazini Huwa nakosana sana na hao wanaojiita wakubwa kisa kusema ukweli .
Hujawahi kusuguliwa vizuri,uje umpige hata mkeo akakushtaki ndio Utajua vizuri
 
Hii ni fani ya watu,
"UNAJAZWA UPEPO,UNASHINDILIWA UJINGA NA MAGHADHABU ILI UCHARUKE UKIONE CHA MOTO"😀😀😀📌
Watanzania amkeni.
 
[emoji28]Ukijifanya conscious umeisha
Hahaha
Bongo hii kuna mahara unaweza kujichekesha tu wakati si tabia yako ili yaishe maana ukijifanya umenyooka when it comes to hao wanene kwa hisani yako achana nao maana after all watakaoulizwa siku ya malipo ni kila mmoja kulingana na dhamana aliopewa kuisimamia...
 
Vipi waasisi wetu pia wangekua na hizi mentality, tungekua wapi saa hizi?
Tanzania hii Kuna uhuru upi uliopiganiwa na Wanasiasa ukiacha harakati za Mkwawa na Vita ya maji maji?

Huko kwingine kulikuwa na manamba tuu wasiojielewa.

Mwisho Ili upiganie Haki Yako lazima uwe unanyanyaswa na uwe na njaa ,Sasa hizo Hali hazipo Tanzania.
 
Hahaha
Bongo hii kuna mahara unaweza kujichekesha tu wakati si tabia yako ili yaishe maana ukijifanya umenyooka when it comes to hao wanene kwa hisani yako achana nao maana after all watakaoulizwa siku ya malipo ni kila mmoja kulingana na dhamana aliopewa kuisimamia...

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwenye mazingira ambayo Mifumo inakuwa dictated na wenye vyeo ukikomaa unaumia.

The only way ni kutafuta fursa ya kuwa sehemu ya mfumo
 
Back
Top Bottom