GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni Mimi Kula Ugali, Maharage na Dagaa wangu, kuwa na Kipato cha Kawaida kikibahatisha kuwepo, Amani yangu ya Moyo, Kula Bata kama zikinitembelea na Kumuabudu na Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii Zawadi yake Tukuka ya huu Uhai wangu.
Kwa nchi za Afrika, Watawala wake na Uongozi wake ukijifanya kuwa Mwanaharakati na Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) ili utafute Sifa kwa Watu jua unakitafuta Kifo au Kifungo au Usumbufu na Ukikamatwa jua hilo ni lako na Familia yako na hata Koo zako zote Mbili.
Imeisha hiyo....!!
we jamaa hujawahi kuwa na akili toka umezaliwa! hopelessNdiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni Mimi Kula Ugali, Maharage na Dagaa wangu, kuwa na Kipato cha Kawaida kikibahatisha kuwepo, Amani yangu ya Moyo, Kula Bata kama zikinitembelea na Kumuabudu na Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii Zawadi yake Tukuka ya huu Uhai wangu.
Kwa nchi za Afrika, Watawala wake na Uongozi wake ukijifanya kuwa Mwanaharakati na Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) ili utafute Sifa kwa Watu jua unakitafuta Kifo au Kifungo au Usumbufu na Ukikamatwa jua hilo ni lako na Familia yako na hata Koo zako zote Mbili.
Imeisha hiyo....!!
Uko sahihi.. charismatic fella...Yani watu wanafiki Sana..hata wanao shinikiza maandano..wana andamania ndani ya mablanketi mazito mazito na mvunguni mwa kitandaNdiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni Mimi Kula Ugali, Maharage na Dagaa wangu, kuwa na Kipato cha Kawaida kikibahatisha kuwepo, Amani yangu ya Moyo, Kula Bata kama zikinitembelea na Kumuabudu na Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii Zawadi yake Tukuka ya huu Uhai wangu.
Kwa nchi za Afrika, Watawala wake na Uongozi wake ukijifanya kuwa Mwanaharakati na Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) ili utafute Sifa kwa Watu jua unakitafuta Kifo au Kifungo au Usumbufu na Ukikamatwa jua hilo ni lako na Familia yako na hata Koo zako zote Mbili.
Imeisha hiyo....!!
😂😂
Haujakamatwa brother...upo na familia yakoMwanaume mzima unakua muoga muoga, kisa kuogopa kuwekwa ndani wewe Bado mvulana.
Mimi kitu kama hakipo sawa lazima niseme haijalishi nitakamatwa au nitauwawa.