Ganda Mweri
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 303
- 887
Nimekaa lupango zaidi ya safari 4, nadhani Nina Hilo tatizo la kutokuvumilia ujinga. Hata kazini Huwa nakosana sana na hao wanaojiita wakubwa kisa kusema ukweli .Haujakamatwa brother...upo na familia yako
Hawatoi hata mchango wa fedha familia ya MwabukusiMchuma Janga hula na wakwao. Sisi tunakusapoti Twitter space na JF tu.
Wamejaa humu jf hao hatari....kila dakika wanaanzisha thread ya kumtukana Raisi
Nimekaa lupango zaidi ya safari 4, nadhani Nina Hilo tatizo la kutokuvumilia ujinga. Hata kazini Huwa nakosana sana na hao wanaojiita wakubwa kisa kusema ukweli .
Labda kama hajaajiriwa au ni hajui taratibu za ajira na mambo ya makesi kesi, hawa ni wale wana harakati wa kujaza upepo wengine kwenye social networks wamenyoosha miguu mezani sebleni kwaoAcha kutupanga hapo kazini kwa tabia hiyo ungekuwa ushatimuliwa
Wewe Wasema....!!Una maana harakati hazifai hata kina Mandela na Nyerere walikuwa wajinga kupigania uhuru.
Tatizo sio kusema ila tatizo huja baada ya kusema ππMwanaume mzima unakua muoga muoga, kisa kuogopa kuwekwa ndani wewe Bado mvulana.
Mimi kitu kama hakipo sawa lazima niseme haijalishi nitakamatwa au nitauwawa.
Nyerere alioigania uhuru upi zaidi ya kupewa na Mabeberu baada ya beberu Wetu Germany kuyakoroga?Una maana harakati hazifai hata kina Mandela na Nyerere walikuwa wajinga kupigania uhuru.
Wewe anaeweza kupigana ni mwenye njaa na anaetumikishwa,Sasa hayo Yako Kwa Watanzania wapi?Mentality ya namna hii ingetumika watu weusi kule South Africa wangeendelea kubaki na hadhi ya kuwa mbwa tu.
Hujawahi kusuguliwa vizuri,uje umpige hata mkeo akakushtaki ndio Utajua vizuriNimekaa lupango zaidi ya safari 4, nadhani Nina Hilo tatizo la kutokuvumilia ujinga. Hata kazini Huwa nakosana sana na hao wanaojiita wakubwa kisa kusema ukweli .
Vipi waasisi wetu pia wangekua na hizi mentality, tungekua wapi saa hizi?Tatizo sio kusema ila tatizo huja baada ya kusema ππ
Hahaha[emoji28]Ukijifanya conscious umeisha
Tanzania hii Kuna uhuru upi uliopiganiwa na Wanasiasa ukiacha harakati za Mkwawa na Vita ya maji maji?Vipi waasisi wetu pia wangekua na hizi mentality, tungekua wapi saa hizi?
Kwenye mazingira ambayo Mifumo inakuwa dictated na wenye vyeo ukikomaa unaumia.Hahaha
Bongo hii kuna mahara unaweza kujichekesha tu wakati si tabia yako ili yaishe maana ukijifanya umenyooka when it comes to hao wanene kwa hisani yako achana nao maana after all watakaoulizwa siku ya malipo ni kila mmoja kulingana na dhamana aliopewa kuisimamia...
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
kwa klumfurahisha nani?Mwanaume mzima unakua muoga muoga, kisa kuogopa kuwekwa ndani wewe Bado mvulana.
Mimi kitu kama hakipo sawa lazima niseme haijalishi nitakamatwa au nitauwawa.