Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

Akili tu mtu wangu.
 
Kuna maandamo flani hivi yalihuburiwa sana kule X, kufika siku ya tukio binafsi niliona picha ya polisi wamekamata vijana wakike kwa wakiume wasiozidi watano na ndio waliojitokeza front, basi ndani ya akili yangu nika draw my own conclusion ambayo nitaendelea kuiamini sana kuhusu pande zote mbili, yaani $ na ile pande ambayo ni against $ alafu nikajifunza nifanye tu kazi zangu kwa bidii
 
Ndio maana wewe si mwanaharakati. Mwanaharakati ni mtu anayeamini kwamba msimamo wake ni sahihi, hafanyi kwa kutafuta sifa au kupendwa na watu. Wanaharakati wengi wanazaliwa na vipaji hivyo - wapo tayari kujitoa mhanga ili kufanikisha kile wanacho amini au kudai haki yao.
 
CLAUDE HENRY YOU ARE RIGHT. UANARAKATI UZALIWA KURIDHISHWA. KUNA WATU HAWAWEZI KUONA MAOVU YANATENDEKA WAKAVUMILIA. NDIO MAANA WAMASAI NI KABILA AMBALO HAWAKUPELEKWA UTUMWANI. TUSIBEZE AMBAO WANATETEA WANACHOKIAMINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…