Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Ile mutaa ya Kariobangi na Korokocho. Najua hiyooo? Basi kama nafika ulisia mimi nakuta pale. Half chicken with Ingiima only 3 bob
 
Kwasababu umesema kule Rwanda tuendelee kusubiri mpaka watakapoamua..
Sasa mimi kwangu hata hivi vifaranga pia walisubiri, kama wanavyosubiri ng'ombe za Rwanda, kila kitu kina wakati wake, wakati wa vifaranga ulifika juzi, tusubirie wakati wa ng'ombe za Rwanda
 
Tatizo la ng'ombe wa Rwanda limeanza leo? Au zile ng'ombe 5 tulizopewa ilikuwa ni hongo ili misitu yetu iwe sehemu za malisho yao?
 
Hivi unajua Mzee Benard Membe angekuwa Raisi sasa hivi tungekuwa vitani tunatwangana na jirani yoyote!
Yaani wakina Raisi Kagame walikuwa wanaombea asipite hata kwenye ngazi ya Chama..
 
Vyovyote vile utakavyofikiria wewe ni sawa kwasababu akili ni zako, ila jua kwamba serikali inafanya vile inavyoona inafaa bila msukumo wa mtu yeyote, ni sio lazima kila mtu akubaliane na utendaji wa serikali.
 
Vipi kuhusu Lowassa? Bernard sikumtaka, ingawa angepata kwangu kungekuwa na benefit kubwa sana
 
Vyovyote vile utakavyofikiria wewe ni sawa kwasababu akili ni zako, ila jua kwamba serikali inafanya vile inavyoona inafaa bila msukumo wa mtu yeyote, ni sio lazima kila mtu akubaliane na utendaji wa serikali.
Sasa kwanini mnatupangisha line kuwachagua kama mkipata mawazo yetu sio lolote kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…