Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Mara ya mwisho wewe kufika kwenye border post za Kenya ni lini? We jamaa bana, hujui unachosema. Hayo kando, ni wazi kwamba alikamatwa na immigration kwasababu yeye ni mtanzania! Labda aliomba asamehewe! 😀 Musee wakenya iko mfuko ndefu buana! 😀😀
Usigeuze mada, wewe kwasababu alikamatwa na watanzania unadhani ni lazima awe mtanzania[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Usilipe ubaya kwa adui yako mlipe upendo.

Sisi
Vifaranga.jpg

Wao
FB_IMG_1564010734395.jpg

Mwaka juzi Nov 2017 tulikamata ng'ombe 1,100 wa Masai wa Kenya waliovuka mpaka wetu kuja kutafuta malisho, serikali ya Kenya ikatuomba tuwarudishe tukakataa tukawapiga mnada.

Mwaka jana Feb 2018 tulikamata vifaranga vya kuku 5,000 kwenye mpaka wa Namanga vyenye thamani ya Tsh.12m tu vilivyokuwa mali ya mfanyabiashara kutoka Kenya, wakatuomba tuvirudishe tukakataa tukavichoma.

Mwaka jana huo huo na mwezi huo huo wa Feb 2018 polisi ya Kenya ikakamata dhahabu kilo 35 na pesa taslim karibu Tsh 500m mali ya mfanyabiashara kutoka Tanzania, hatujawaomba wameturudishia.

Nini Rais Uhuru Kenyatta anataka kutuonyesha.

1. Uimara wa polisi ya Kenya ukilinganisha na polisi wetu.
2. Ulinzi wa viwanja vya ndege vya Kenya uko imara ukilinganisha na viwanja vyetu.
3. Jinsi Diplomasia inavyotakiwa ifanye kazi.
4. Ujirani mwema siyo maneno ni vitendo.
5. Si kila tukio lazima Rais ahusike au lirushwe Live, balozi au DPP wa nchi husika wanaweza kushughulikia.

Tujifunze na tubadilike.
 
Mwaka juzi Nov 2017 tulikamata ng'ombe 1,100 wa Masai wa Kenya waliovuka mpaka wetu kuja kutafuta malisho, serikali ya Kenya ikatuomba tuwarudishe tukakataa tukawapiga mnada.

Mwaka jana Feb 2018 tulikamata vifaranga vya kuku 5,000 kwenye mpaka wa Namanga vyenye thamani ya Tsh.12m tu vilivyokuwa mali ya mfanyabiashara kutoka Kenya, wakatuomba tuvirudishe tukakataa tukavichoma.

Mwaka jana huo huo na mwezi huo huo wa Feb 2018 polisi ya Kenya ikakamata dhahabu kilo 35 na pesa taslim karibu Tsh 500m mali ya mfanyabiashara kutoka Tanzania, hatujawaomba wameturudishia.

Nini Rais Uhuru Kenyatta anataka kutuonyesha.

1. Uimara wa polisi ya Kenya ukilinganisha na polisi wetu.
2. Ulinzi wa viwanja vya ndege vya Kenya uko imara ukilinganisha na viwanja vyetu.
3. Usilipe ubaya kwa ubaya.
4. Jinsi Diplomasia inavyotakiwa iendeshwe.
5. Ujirani mwema ni vitendo siyo maneno.
6. Si kila tukio lazima Rais ahusike au lirushwe Live, balozi au DPP anaweza kushughulikia.

Tujifunze na tubadilike.

View attachment 1162058

View attachment 1162059
Tumepigwa kofi la uso mbele ya kadamnasi... Tumevuliwa nguo hadharani kisha tunashangilia... Siku tukiondoka kwenye TV tutauona uhalisia
Between hicho kilichobebwa kwenye hayo makasha sidhani kama kinatimia kilo 30 za dhahabu... Hiyo kitu ni nzito isikie hivyo hivyo
 
Uwe na heshima wewe
Unataka nani ajirekebishe, kwani sisi wananchi wa kawaida tulichoma vifaranga?

Acha kuogopa mtaje aliyechoma na kutaifisha mifugo

Kama mtu mzima muheshimu kama unavyotaka sisi rafiki na majirani tuwaheshimu wazazi wako

Ila kama ni kijana kama wale wapumbavu wapya aliowataja katibu wa kijana hao wataje tu kama walihusika kuharibu diplomasia na kenya
 
Vifaranga walishanunuliwa. Mnunuaji akuwa na vibali wa wanganga wa mifugo. Kwa hiyo vifaranga avikuwa vya kwenu. Mlishauza tayari, na kuvuka mpaka. Hasara kwa Mtanzania aliyenunua
 
Tumepigwa kofi la uso mbele ya kadamnasi... Tumevuliwa nguo hadharani kisha tunashangilia... Siku tukiondoka kwenye TV tutauona uhalisia
Between hicho kilichobebwa kwenye hayo makasha sidhani kama kinatimia kilo 30 za dhahabu... Hiyo kitu ni nzito isikie hivyo hivyo
Kilo 30 ya chuma vs kilo 30 ya pamba, ipi nzito? Unataka kusema dhahabu ni less dense kiasi kwamba masanduku ni madogo kuweza kubeba kilo 30? Hoja yako inakinzana.
 
Mama aombe msamaha, sio kukemea tu wakati alikuwepo serikalini, wakati huo uhuni ulikuwa unafanyika. Kisa eti upumbavu wa chuki na wivu wa kitoto dhidi ya Kenya. Tena mtanzania aliyetiwa hasara kwasababu ya 'ugomvi' huo ambao haukuwa unamhusu alipwe fidia. La sivyo hii laana itaiandama GoT milele bure tu, wakati aliyesababisha haya yote ni mwendazake sasa hivi.
 
Back
Top Bottom