Watanzania watu wa ajabu, wanapenda maendeleo lakini hawataki kugharamia hayo maendeleo kwa kodi

Unazo akili nyingi mno Kama umenijua kuwa Sina za kunitosha. Fanya hivi lete tin number tucheki ama ndio Ile talk is cheap and is affordable to majority even dog talks but actions remain for few.
Hiyo inaitwa phising.
Una misdirect mada kwa kuifrustrate kulipa kodi. Nimeajiri watu zaidi ya watu kumi wa aina yako.
Calculate kodi unayolipa, add makodi yote ya kampuni na utapata kodi yangu, kama una akili ya kukutosha.
In the meantime, LIPA KODI YAKO.
 
Mkuu toa jina lako na tin number yako pia na nida namba yako ili tuone wewe umeshalipa Bei gani ama ndio waliovimbewa
Toa yako kwanza ili tuelewane kodi unayolipa.
Ninyi ndio mnaifilisi nchi kwa kutumia zaidi ya kodi mnayolipa.
 
We kidampa wa TRA, lipa kodi ili ujijengee heshima yako na nchi yako.
Kujamba jamba na kushindana hakukusaidii kuongeza urefu wa barabara za nchi.
 
We kidampa wa TRA
Ongea lugha zote Ila toa details zako tuone kama kweli unalipa ,Naona umeanza kutumia lugha ulizofundishwa nyumbani kwenu ukiwa mdogo ama Ni shuleni ulikosomoea. Ama Anza kutukana ili utumie skills ulizofundishwa sijui Ni wazazi walikufundisha namna ya kuonyesha mawasiliwano na walimwengu
 
Piga kodi yako mwenyewe, halafu zidisha kwa watu ishirini wa aina yako, kodi yangu umeipata.
Naona ulikuwa unaongea kuonekana Mana talk is cheap mkuu even nzi anaongea sema vitendo kila kiumbe kinakimbia. Naona nawew Ni mbinu zako za kukimbia. Sasa ilitakiwa uhamasishe tulipe Kodi huku ukituonyesha unavyolipa kumbe unasukuma wenzako na ilhali hata sh zero hujawahi lipa bado uko minus
 
Si kukimbia mkuu, sasa wewe ambaye unajua. basi tupe kodi anaazolipa Mwigulu Nchema , mwanzilishi wa Tozo.
Una jaribu ku side track mada na kuingia shimo unalolijua vizuri.
Lipa kodi acha tontoriro.
 
Hujatoa mchango wowote kulisaidia Taifa namna ya kuongeza kipato kama Taifa.
Sasa wewe unayetaka ID ya mtu humu mtandaoini, kwanza huna akili, pili wewe kidampa unaye anza kazi TRA.
 
Hujatoa mchango wowote kulisaidia Taifa namna ya kuongeza kipato kama Taifa.
Sasa wewe unayetaka ID ya mtu humu mtandaoini, kwanza huna akili, pili wewe kidampa unaye anza kazi TRA.
Naona Kama umedandia mbele ya treni ama jump the gun. Yaani risasi haijatoka Ila wewe umewahi. Fuatilia mazungumzo tokea nilivyoanza mlipa Kodi mmoja. Otherwise tufanye wewe mjanja mie mjinga.
 
Si kukimbia mkuu, sasa wewe ambaye unajua. basi tupe kodi anaazolipa Mwigulu Nchema , mwanzilishi wa Tozo.
Una jaribu ku side track mada na kuingia shimo unalolijua vizuri.
Lipa kodi acha tontoriro.
Umedandia treni ama jump the gun ama una haraka zaidi ya goli lenyewe. Mie Kuna mtu nazungumza naye alijidai kuwaambia watu walipe Kodi Sasa nikamuomba atoe details zake tuone anavyolipa Kodi ili tujifunze kwake. Ama brain Ni yako hupangiwi Cha kuongea
 
Naona Kama umedandia mbele ya treni ama jump the gun. Yaani risasi haijatoka Ila wewe umewahi. Fuatilia mazungumzo tokea nilivyoanza mlipa Kodi mmoja. Otherwise tufanye wewe mjanja mie mjinga.
Kweli wewe mjinga, hujaonyesha Taifa litaongeza vipi pato lake kwa ujinga wako.
 
Una matatizo yanayohitaji uangalizi wa karibu!
 
Asante sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…