Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

Dawa ya hawa ni kunyonga ama kuwachoma moto ili liwe fundisho kwa wenzao kwani hawa ndiyo wanaoangamiza jamii bila hata huruma, kwanini tuwaonee huruma wao?
 
Ndo tatizo la kutaka kupata pesa harakaharaka, mbona kuna njia nyingi za kupata pesa kwa njia halali na kwa amani kabisa?


Enhee, kumbe Koffi unajuwa kiswahili siku hizi...basi hongera. Kwa kuchangia mada yako Papa Mopao, vijana wengi hapa Tanzania ni wauzaji unga. Wasichana na kina mama wengi wajiitao mafashionista na wenye viboutique mjinga wote wale (asilimia 99.9 yao) ni wauzaji unga kwa namna moja ama nyingine. Utakuta mtu hana kazi ya maana au anaishi maisha yake tofauti na kipato cha kazi yake kama vile kumiliki Range Rover, magali ya nguvu na kila siku yuko south afrika, nigeria, india, far east, na ulaya, hawa wote ni wauzaji unga. Kama kweli serikali iko makini kuwasaka na kuwachunguza hawa basi vijana wengi wataishia rumande, pia wafadhili wao ni vigogo serikalini. Mi nashangaa serikali inakuja kuhamka leo hii wakati nchi imeshatiwa doa na hawa Punda.
 
Last edited by a moderator:
Sasa tujiandae watz kupata usumbufu mkubwa kwenye nchi za watu,maana sasa imeshaonekana kama Tz ndio kituo cha kusambazia unga duniani,tutasachiwa kila sehem na kero zitakuwa kubwa sana upande wetu,
Hivi kweli hapo air port dar mmeshindwa kweli kudhibiti kitu hiki? Mbona airport za wenzetu wanagundua mara 1 mizigo hii?
 
Kwa ukubwa huo wa mzigo, kwa vyovyote kuna system ambayo imekuwa ikifanikisha zoezi mara zote ila wakati huu mambo yameenda ndivyo sivyo, labda kwa kusalitiwa ama vinginevyo...kina dada kazi yao ilikuwa ni kusindikiza tu.

Any way kufa siku moja, kuzaliwa siku moja.....wanapofanikiwa ni sisi sisi hujikuta tukiwaabudu, na wala tusingejali wametoa wapi hiyo mihela.......sasa kwa kuwa dili imebuma tutaanza kuwazodoa.
 

kwa akili zako za pentium one nakubaliana na wewe
 
usiniudhi...nimeweka thread yenye akili kuhusu hiyo kitu red hapo mods wameifukia wanaisoma wao tu na mademu zao na watoto wao.....hawakutaka mpate madini....

enewei mods endeleeni kusoma thread yangu ile muikariri muje muwadithie mademu zenu.....

aiseee hii shori aisee

 

Matola, kuna sampuli nyingi sana za madawa ya kulevya. Kuanzia zinazotumika kihalali hosptalini mpaka zinazotengenezwa locally na wafanya biashara. List na categories zake ni ndefu: eg narcotics, stimulants, depressants hallucinogens and cannabis. Sasa ukija ndani ya hizi categories ndio unakuta dawa za aina nyingi kweli kweli.
 
Mbna yuko uraiani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwanamke mwenyewe hata lugha hajui, eti "am look for money". Kweli ukiwa mwanamke bomba, huna haja ya kusoma, hela zitajileta zenyewe too.
 
umenena wangefaulu hawa wote tungewasifia kama wamefanikiwa kimaisha na kuwapa sifa mbali mbali bila ya kujali wanachofanya na najiuliza hivyo inakuwaje mzigo mkubwa hivi haujaonekana JNIA???????
 
jamani tunakoelekea ni kubaya
labda tupitishe adhabu ya kifo kwa atakaye kamatwa cz watu hawaogopi
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
 
hawa Madada ni Ndugu nawajuwa toka wanaingia Bongo mwishoni mwa Mwaka 2008 wakafika Hostels za KAM Mwananyamala wakawa wanazuga wanasoma CBE mara wakisema wapo Tumaini University siku Mmoja wakatibuwana Na Rafiki yao waliokuwa wanaishi nae Somebody Magige akaniambia hawa waongo Mmoja anatoka na Jamaa wa hotel flan maarufu mitaa ya kwa Hayati Baba wa Kaya Mikocheni Ndie Good father wake Wewe anakuzuga tu Duh! Night yake nikampa kipondo huyo Mata.ko makubwa ikabidi aseme ukweli kumbe mdogo mtu Nae alikuwa akienda Rosse Garden kila jioni kupiga Deal Hostel KAM wakafukuzwa akiwemo Pia Elizabeth Michael Lulu Baada ya kubainika hawalali pale ikifika Usiku mlinzi anavuta chake watu wanabeba mizigo Melissa hatimaye akazichanga akapangisha Sinza jirani na Mori tokea kipindi hicho Agnes kashawabadilisha wabongo fleva wote kuanzia Mwanafatuma, Ndomo, Kiba, Tonya, Mnyalu, Blue na wengine wengi Ma Dj wa Clubs na Radio kibao.
Mungu atusitiri Mbaya zaidi Hapendi Kinga na Mchezo wake Ni Ule Ule Simu ya Mchina Line Mbili Ndio anaupenda Saana Mini Kabaaang Zamani alipenda kujiita Riziki Ila siri ikatoka siku moja Rafiki yake anafahamika kwa jina la Ms C Shirima alimwita mbele yangu Agnes hapo Ndugu ndipo nilipoanza kujuwa nipo na Msanii
 
Kwa hali halisi ya mtandao wa madawa ya kulevya wahusika hawawezi kupatikana kitakachofanyika kama sio kuwaokoa hao waliokamatwa basi ni kuhakikisha hawafikii hatua ya kutaja nikimaanisha watauliwa kabla.


Mkuu mimi huyu demu since aanze mahusiano na yule jamaa mimi nilikuwa naona kuna something na sio bure hapa, maana mienendo yao haikuwa bure kulikuwa na kitu tu, show off sana na ujinga na alikuwa anaonekana mshamba wa pesa huyu demu, naona sasa mwishoni anaishia kwenye nondo na jamaa yupo free, na safari za huko SA zilikuwa ni kila siku lazima waende huko...
 
Kwa hali halisi ya mtandao wa madawa ya kulevya wahusika hawawezi kupatikana kitakachofanyika kama sio kuwaokoa hao waliokamatwa basi ni kuhakikisha hawafikii hatua ya kutaja nikimaanisha watauliwa kabla.

Huku afrika kusini Wabongo wengi wapo mitaani wakiuza madawa. Jamani watu msikimbilie afrika kusini hata nchi yeyote kama hauna complete plan of what you will do ukiwa huku. Haya si mambo mazuri. madawa yanaua watu yanavunja familia etc.

Kama ni kweli pole sana Agnes😡


Alipangishiwa hiyo nyumba ndani ya week moja na huyo jamaa, na picha BBM walikuwa wanakula raha pamoja muda wote mara whatsapp wanatanua tu, yule jamaa me niliona kuna jambo analitaka kwa huyu dada, alafu cha zaidi huyu shori alipelekwa mpaka SA kwa mama mkwe wa jamaa
 
Hivi tanzania agness gerard ni mmoja tuu hamna wengina nan anapicha za usibitisho kuwa ni huyo video qeen...nawasilisha

Ni yeye mkuu hamna mwingine, tunajuwa background ya huyu mwanamke...
 
Mkuu Matola hebu tusaidiane why inakuwaga nguvu sana watu kama hawa wakikamatwa inakuwa ngumu kuwataja waliowatuma pamoja na sehemu wanazoishi hao watu??Maana nasikia wapo tayari kuuliwa ila huwa hawataji hata chembe hivi ni kwa nini huwa wana guts za namna hiyo??
 
Last edited by a moderator:
Si ndo alikuwa anasema oooh naendaga south kupumzika sababu wananaume wa bongo wanamsumbua sababu ya makalio yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…