There are currently 2600 users browsing this thread. (69 members and 2531 guests) kila sekunde wanaongezeka hapa mwendo wa kimya kimya
Ndio shida ya Tanzania alivyokufa huyu msanii cowobama clouds walituma haraka mtangazaji wao kule ili kusheresha umbea na kuandaa mazingira ya kutafuna rambirambi.Kwa Tanzania sijui hata kama kuna sheria.
Although rarely prescribed, methamphetamine hydrochloride is approved by the U.S. Food and Drug Administration(FDA) for the treatment of attention deficit hyeractivity disorder and obesity under the trade name Desoxyn.
Dah huo mpododo bwana jela anaenda kufaidi.
kwenye hili media za Tanzania zinatakiwa zijifunze maana sidhani kma wanashindwa kumtuma mtu kwenda kuleta habari kamili kuliko kuandika tuuu.Ndio shida ya Tanzania alivyokufa huyu msanii cowobama clouds walituma haraka mtangazaji wao kule ili kusheresha umbea na kuandaa mazingira ya kutafuna rambirambi.
Lakini issue kama hii hao kina Shigongo wanaokesha usiku kucha kutafuta kufumania watu na starehe zao wanashindwa kutuma mwandishi makini na aende kule na kuja na full investigation report, na ninavyowajuwa mimi Polisi wa South Africa hawana tatizo na wanakupa faragha ya kuongea na mtuhumiwa mkiwa kwenye chumba cha peke yenu.
Kama hizi media zetu zingekuwa zinawaza sawasawa hawa watuhumiwa ni muhimu sana kuwahoji wakiwa kule kwa kuahidi kuwasaidia na ni lazima watasema then Tanzania kama Taifa mnapata kujuwa hii chain ikoje, lakini kwa ukilaza wa waandishi na hasa wamiliki wa media kwa nchi hii basi ni halijojo.
Labda tumtumie Pasco hapa anaweza akawa na reliable source za kule South Africa atumegee taarifa maana mimi mpaka sasa hapa naona chenga tu hasa hizo kilo 150.
mkuu masogange si jina lake bali video iliyomtoa inaitwa masogange ya belle 9 jina lake agnes gerald
Who is behind this? Any connection with dearth of Ngwair(R.I.P)??
Kama Mamlaka za Tanzania na vyombo vya habari vinachukulia jambo hili kimzaha basi tujiandae na janga kubwa sana mbele ya safari.huyu kumbealikuwa container ya kubeba mizigo daaa bora ange endelea kupiga zile picha zake na kuziuza.